Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Dk 78, Martin anawatoka Mkude na Muzamiru wanaogongana na yeye anaachia mkwaju mkali hapa. Agyei anaonyesha umakini na kudaka vizuri hapa

SUB Dk 77, Simba wanamtoa Luizio nafasi yake inakwenda kwa Pastory Athanas

Dk 76, mpira bado unachezwa sana katikati ya uwanja na Yanga wanaonekana kuanza kukontrooo mpira zaidi ya Simba
 
Dk 83 Simba wanachonga kona nyingine lakini Dida anafanyiwa madhambi hapa

Dk 82 Simba wanapata kona nyingine baada ya Mwinyi kuokoa, inachongwa, inachongwa hapa, kona tena.

Dk 81 Mo Ibrahim anageuka vizuri na kuachia shuti kali hapa, goal kick
 
Back
Top Bottom