Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Nacheki hapa mbona makomandoo Wa mwaka huu wana vitambi sana imekuwaje[emoji2]
 
Hivi najiuliza Rais, Makumu wake na PM hawawezi kupanda gari moja kwenda uwanjani? Tuna bana matumizi pamoja na kupunguza foleni.
Mkuu huwatakii mema! Sidhani kama imewahi kutokea hiyo.
 
MAULANA MOLA WANGU RHABUKA IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE MILELE YOTE AMEN RA
 
Hahahahah kumbe wachina wote makomado
 

Zamani walikuwa wanakatwa mitama sijui kwanini siku hizi hiyo kitu haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…