Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Hahahaha!, alivuja damu balaa!, akaja Na kaulimbiu ya "Damu ya Chama!".
 
Nadhani ni kumbukumbu ya uhuru wa TANGANYIKA.
Tanganyika imekufa.ilipozaliwa tanzania.ndo maana hata Zanzibar Leo wamepumzika.tukitaka tuite Uhuru wa Tanganyika tuwaondoe Zanzibar ibaki tanganyika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wanaume wanapita, hawa ndio nilikuwa nawasubiri
 
Mambo yanazidi kunoga,Makomandoo wa Jeshi la Majini na Jeshi la Nchi kavu wanapita mbele ya Rais kutoa heshima yao
 
Huyu mhindi wa mwanza cable mbona anatuzimia tunashindwa kuona sherehe za uhuru Dar ?
 
Kumbe UKAWA mnafuatilia hizi sherehe bora zilizoandaliwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…