Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Wajumbe wameamua??!
 

Attachments

  • IMG-20200803-WA0009.jpg
    48.3 KB · Views: 1
Kumbe wajumbe wa CCM na CHADEMA hawana tofauti!! Nilikuwa naona Nyalandu anapita huko na huko anashangilishwa Rais, Rais, Rais lakini matokeo yake amepata namba za mkanda wa suruali ya vijana wa miaka 30! Hawa wajumbe hawa hawana hata huruma kwamba mtu ametumia hadi basi maalum. Wajumbeeeeeeeeee
 
Niliahidi kwamba lisu asipopita chama kitajiangusha chenyewe na lisu akipita kadi yangu ya kupigia kura nitaisaka kwa nguvu zote....

Napenda kuwataarifu kwamba kadi tayari nimeipata muda mfupi baada ya matokeo huko mlimani city kumtangaza lisu kuwa mgombea kupitia chadema

Nawomba wale wote mlioungana na mimi kumuombea lisu apite muandae kadi zenu za kupigia kura, October tukamalize kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…