NGANU
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,919
- 393
Unavyoongea utadhan hata danadana unaweza kupiga
Kumbe hajui hata danadana,
hii kali sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavyoongea utadhan hata danadana unaweza kupiga
Said Makapu anajua ila kwa leo angesubiri kdg
Mpira umeanza...
Kufungwa kubaya jamani we acha tu toka tumefungwa na mtani nilipotea kwenye jukwaa hili kama nipo kifungoni.
Ila YANGA naombea leo msituangushe maana naweza likimbia jukwaa hili kwa muda mrefu.
Pamoja sana mkuu, hao Diamond lazima wachezee kichapo cha haja.Tusubiri tu time zenyewe ndio zishakaribia.
Japo sipendi Yanga washinde lakini kwa hiki kikosi naona kwa mbali kuna ushindi. Mabeki wa kati wajitahidi tu kutoa back up inapotokea mabeki wa pembeni wamepanda hasa beki mbili huwa anapenda sana kupanda ingawa yeye huwa anajitahidi kurudi mapema wakati timu inashambuliwa, beki wa kushoto huwa ni mzito kidogo na kwa sababu hiyo kama atakuwa akipanda sana itabidi Kelvin na Twite wafanye kazi ya ziada kumpa cover up la sivyo kufikia saa 12 tutakuwa tunaongea mengine.
Ikitokea Makapu kazidiwa itabidi kocha aue winga moja na kubakia winga ya wizi wizi ili Niyonzima awe anacheza muda mwingi kati na Telela kuja kumlinda Makapu ili kuimarisha kiungo wakati timu inashambuliwa.
Pamoja na hayo bado sisi watu wa kwa Mugabe tunawatakia ushindi Platinum.
Kama we ni kijana ukiwa mtu mzima utakuwa mchawi..game la leo sio mtani jembe support kitaifa bwana
Platnum wameonana kdgo hapa!
platinum watoto wa diamond msiniangushe
Marhabaaaaaa...........Shikamoo, nimekupenda ghafla