Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Nipo hapa KiembeSamaki (Nyerere road), umati wa waombelezaji unajivuta taratibu kwenda kando ya barabara...
 
Uwanja wa Amani Zanzibar umefurika hasa
 
Mimi nipo zangu huku nchini Herzegovina Ndugu hiyo namba ya Mrembo Ruth niitoe wapi?

Na kwanini unaitaka ya Ruth ila za Warembo wengine akina Suzana, Edna na Jesca huzitaki na wala hujaziomba?
Karibu hapa chechnia ... Tupo na Tunasheherekea sikuku ya wakalimani
 
Yaani msiba wake alafu wamlipe?.
msiba wake yeye aende chato akafanye nini?.
huyo ni mume wake acha azunguke nae.
Labda kama atasema mwenyewe anataka kupumzika.hapo sawa
Hivi na mjane wa marehemu wanavyompeleka peleka kila sehemu wanamlipa? Kwanini wasimpeleke Chato asubiri siku ya mazishi?
 
Uwanja wa Amani umejaa full walio nje ni wengi kupita kiasi ila wamepewa maelekezo wasisukumane wala kuvunja mageti watapata nafasi ya kuaga baadaye wataingia kupitia majukwaa kuaga
 
Uwanja wa Amani umejaa full walio nje ni wengi kupita kiasi ila wamepeea maelekezo wadikumane wala kuviunja mageti watapata nafasi ya kuaga baadaye wataingia kupitia majukwaa kuaga
The end of something good....πŸ’”πŸ’”πŸ’”
Inauma ila tunamshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli
Inatia nguvu sababu aliyoyafanya yanaendelea kuishi....... rais wa karneπŸ’£πŸ’₯πŸ’”πŸ’”πŸ’”
 
Watu wa ufipa wanamuonea hadi marehemu wivu jamani si nanyie mfe
Mshahara wa dhambi ni......bali karama ya Mungu ni..........sijui huko kanisani!!! hivi mnaendaga kushinda????
 
Uwanja wa Amani kuna wimbo kwaya inaimba mida wamevaa nguo nyeusi nafikiri kwa maoni yangu huu wimbo ndie wimbo mzuri kuliko zote zilizotungwa za huu msiba
 
ACT hawapaswi kujipendekeza, hakuna aliewaita. Kwahiyo hii hoja yako sioni kama ina mantiki.
 
Mwili ndio unatua Zanzibar kiwanja cha Abeid Aman Karume International Airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…