Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Mkuu uliposema watu wameanza kufurika ilikuwa saa 11:27 adhuhuri, wazanzibari siyo wa kuwakurupusha hivyo eti saa 11 wakimbilie uwanjani.

.
leo imetokea kwa mara ya kwanza
 
Yaani sisi ni mwendo wa kulalamika tu

Ova
 
Mimi nimeacha wosia Jeneza langu lizungushwe kitaa hadi kwenye kijiwe chetu cha Chadema halafu ndio nikashushiwe tani saba.
 
Naomba nitoe ufafanuzi tumepitia Post mbali mbali hapa kwenye jukwaa tumeona watu wengi wakihojii kwanini hatumpumzishi mpendwa wetu.

Majibu ya maswali yenu tumeona tuyajibu hapa kwanza tukianzia kwenye Dini; Ukristo kwenye maandiko yake haujatanabaisha kupumzishwa kwa uharaka Mfu.

Kwenye Uislamu wenzetu Dini yao imewataka kwaupesi Mfuu apate pumziko lake la milele hapa Protocol zinaweza kubadilika kulingana na Imani za Dini

Ratiba itaendelea Kama kawaida yakumuaga mpendwa wetu Hayati JPM

Ahsante....
 
Wimbo wa taifa la Zanzibar umemalizika kuimbwa sasa unaimbwa wimbo wa taifa la Tanzania.
 
Maelfu ya Wakazi wa Zanzibar leo wameuaga mwili wa Hayati John Pombe Magufuli kwa heshima kubwa huku wakifurika barabarani.

Makundi ya Vijana na watu wazima wakisimama barabarani njia ambazo msafara uliyobeba mwili wa hayati Magufuli ulipita.

Umati mkubwa umeonekana leo Zanzibar kuliko Dar na Dodoma kuanzia waliosimama barabarani mpaka makundi makubwa yaliyokuwa yakisindikiza msafara kwa kukimbia.
 
Mimi nimeacha wosia Jeneza langu lizungushwe kitaa hadi kwenye kijiwe chetu cha Chadema halafu ndio nikashushiwe tani saba
Unajuaje kama utakufa kifo cha maiti kupatikana? waweza zama melini maiti isipatikane au ukaungua moto mfano kama wale waliiba mafuta kwenye lori l likalipuka maiti zikashindwa kutambuliwa au ukapotea kama ndege ile ya malyasia iliyopotea hadi leo na abiria wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…