Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Huyo jamaa kaanzisha mada ili kupata developing story kutoka kwa wengine.

YEHODAYA
Although Zanzibar siyo bara eti watu wakimbizane uwanjani, ni uwongo mkuu kusema asubuhi ya saa 11:30 wazanzibari wajaze uwanja.
Angalia Tv sasa hivi
 
Siamini macho yangu kwa hiki ninachokiona Zanzibar....!!!

Rum 8:31-39 SUV​

Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu? Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote, atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye? Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki. Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye anayetuombea. Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga? Kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa, Tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa. Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda. Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo, wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu.
 
Kwa jinsi "Hayati Mwenyekiti Wa CCM" alichowafanya wazanzibari kwenye uchaguzi mkuu 2020 miezi michache iliopita, "VIRUNGU/FIMBO/MAKOFI/MITAMA kolabo "MABOMU/RISASI", visiwani walichezea baikoko wakachezeka kweli kweli.

Sijui kama boat za bakhresa hazijajaa waombolezaji waliokatiwa ticket za bure tokea "MFUKO MAALUM WA MAAFA WA LUMUMBA".

Kuna watu huko kila wakisikia jina lake wanakumbuka sura za ndugu/watoto/marafiki waliokua wakiokotwa maiti zao mitaani waliopoteza maisha. Wenye matundu ya risasi vifuani/tumboni/vichwani.

Mungu awape subira wahanga, na maisha ya amani waliopoteza maisha yao kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Tazama nyomi barabarani acha kuropoka mkuu
 
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke kwanza? Nina mashaka na jinsia yako kabla sijakujibu unacho stahili kujibiwa.

Nimekuuliza hivo kwasababu mimi ni mtu mwenye huruma sana kwa jinsia za kike, sina rekodi ya kumkosea heshima mwanamke achilia mbali hata ya kumpiga kibao. Licha ya vitimbi na maudhi yao ya kiwango cha "LAMI".
Tazama watu waliokodiwa uwaone sasahivi.
 
Angalia Tv sasa hivi.
Mkuu uliposema watu wameanza kufurika ilikuwa saa 11:27 adhuhuri, wazanzibari siyo wa kuwakurupusha hivyo eti saa 11 wakimbilie uwanjani.

Hii unayosema "angalia tv sada hivi" ni continue sentensi so watu walishajiandaa ndiyo wanaendelea kuja hapa uwanjani.
 
Mitaa za Zanzibar inazizima kwa sauti za vilio, parapanda, na jeshi vikisikika kote convoy inapopita iliyobeba mwili wa Magufuli! Yaani wamefunika utafikiri ndio Chato huko! Asante Magufuli kwa kutuungsnisha kama taifa moja la Tanzania 😭,
Rest in peace and power💪 oúr hero Magufuli😭!
 
Back
Top Bottom