Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #101
Choka...Shida kubwa mzee wangu kila kitu unakihusisha na uislam naona kuna shida kubwa hapo. Nadhania ndio mjumbe hapo akkatumia neno uchawa.
Msitake tuwakumbushe yale mapicha ya magono yaliyochapishwa UDSM miaka ile tulikaaa kimyaaa1988 Kwny Halmshauri kuu Hayati Mchungaji Mtikila alitoa waraka wa matusi ya nguoni kabisa kwa Mzee Ally Hassan Mwinyi
tulishangaa kabisa tena alikuwa akiungwa mkono na wahafidhina
Nan...Kwa nini nijisumbue kiasi hicho?Unachokiongea mbona kiko wazi sana.Kwako viongozi wa Kiislam ndo viongozi wazuri na walioleta maendeleo katika nchi hii na hawakufanya maovu.Wakikosea.unasema.wanasakamwa kwa ajili ya uislam wao.No.wonder ukasema ushindi wa dp world ni ushindi wa ccm na waislam
Vishu...Uko bias sana ndo tatizo hilo mkuu.
Ni kwamba huujui upande wa mazuri kwa wakristo au unapambania uislam hivyo mambo ya ukristo hayakuhusu??
Nadhani majibu mabaya na kukosa heshima ya wadau humu yanatokana na wewe kuegemea upande mmoja tu ambao ni uislam.
Nelson...Ndio ukweli.....ww ni kibaraka wa waarabu kama alivyokua Malcom x
Hujaelewa.Vishu...
Niko bias kwa kurejesha historia iliyofutwa?
Aliyefuta historia ya babu yangu katika kuunda TANU na mie niliyeandika historia ya babu yangu nani aliye bias?
Hii kuwa sina heshima JF wewe umepata wapi?
Mimi Mwandishi Bora Jukwaa la Historia miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.
Nelson...Ulizungumza au ulidanganya na watu wakawa wanakutazama tu wapime upeo wa dhamira zako.
Maana toka vurugu za mwembe chai.....dhamira yako uliiweka wazi kuifanya Tanzania kua jamuhuri ya kiislamu na kuweka utamaduni wa kiarabu kwenye utamaduni wetu wabantu....!!
NB: TUNAJUA UMESAFIRI NA SISI TUMESAFIRI PIA.....AU UNATAKA TUTAMBIANE HAPA KILA MMOJA ALIPOSAFIRI..???
Kujibu bila adabu ni ukosefu wa elimu ya somo.Hujaelewa.
Nilimaanisha watu kukukosea heshima kwa majibu yao mabaya, yasiyo na staha.
Na kwa maana hiyo hii ni vita binafsi ya kutaka babu yako atambuliwe mchango wake?
Uislam umeingia vipi ilhali aliepigania uhuru ni babu yako??
Babu yako aliuhusisha vipi uislam na uhuru??
Hizi mada zenye mlengo wa udini huwa najiuliza sana lengo lake nyuma ya pazia ni lipi.Shida ya mleta mada ni udini, karibu kila kitu anakileta na kukitetea kwa mrengo wa dini ya kiislamu. Hii sio sawa na sio sahihi. Leo anamzungumzia Mwinyi hapa kwa misingi ya kidini, hivyo atampamba kwa lolote kwa sababu Mwinyi ni muislamu.
Kweli mkuuHii [emoji115] sababu ina mashiko zaidi.Aibu: Viongozi wote wa CCM, wastaafu na sasa wanaogopa kusema hadharani kwamba Lowassa alihamia Chadema na kugombea Urais 2015
Mchonga anatuhumiwa sana na Mohamed Said kufuta historia ya "wazee wake"[emoji16] Mohamed Said ubaya wake ana exaggerate mambo, anajenga narrative nzima kwenye issue moja, anapiga hapohapo over and over, anakosa proportionality. Lakini, kimsingi anachosema ni ukweli. Kwa mfano suala la...www.jamiiforums.com
Mnafanana utumwa wa akili kwa wakoloni wa kiarab...!!!Ungekua genius usingehamasisha vurugu za mwembe chai mzee wanguNelson...
Hili kwangu ni jipya.
Unanifananisha mimi na Malcolm X?
Nitampata wapi mimi huyu genius.
Umekosea kuandika jina lake.
Angalia spelling.
Wewe umealikwa na mabepari wa kizungu....basi umevimba kichwa😂🤣🤣🤣 athari za ukoloni wa elimu!!!!Nelson...
Inaelekea huijui Northwestern University na ni watu gani wanaalikwa kuzungumza kwenye chuo hicho.
Si suala la kusafiri hili.
Ni suala unaalikwa kuzungumza chuo kikuu.
Vyuo havialiki ovyo.
Kuna vigezo.
Mwembechai huijui historia yake.
Unahitaji kusoma historia yake.
Serikali imejifunza na haitarudia tena kosa lile.
Nina paper nilizungumza Kenyatta University, Nairobi.
Babu yako yule mzulu ambae baba yake aliyeletwa na wajerumani???Vishu...
Niko bias kwa kurejesha historia iliyofutwa?
Aliyefuta historia ya babu yangu katika kuunda TANU na mie niliyeandika historia ya babu yangu nani aliye bias?
Hii kuwa sina heshima JF wewe umepata wapi?
Mimi Mwandishi Bora Jukwaa la Historia miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.
Nelson...Mnafanana utumwa wa akili kwa wakoloni wa kiarab...!!!Ungekua genius usingehamasisha vurugu za mwembe chai mzee wangu
TYPING ERRORS KAWAIDA...AU WEWE HUKOSEI???
Nelson...Babu yako yule mzulu ambae baba yake aliyeletwa na wajerumani???
Mwandishi bora wapi?????
Na historia ipi ya wabantu unaijua wewe mzee wangu zaidi ya udini??
Nelson...Wewe umealikwa na mabepari wa kizungu....basi umevimba kichwa😂🤣🤣🤣 athari za ukoloni wa elimu!!!!
KUHUSU MWEMBECHAI
Wewe ndio ulihamasisha vurugu za mwembe chai......ila unakataa unadai ulikua Saudia.....!!!!
Ukawaponza watanzania wasio na hatia
Basi historia hiyo irekebishwe bila kuhusisha udini. Tunayomengi sana kujifunza kutoka kwako ila sasa kila historia hiyo inapohusisha sana uislam inatutoa kwenye mood ya kufuatilia mafunzo unayoyatoa. Inakuwa kama vile unaugomvi na ukristo. Shida ndiyo inakuwa hapo mzee wanguVishu...
Niko bias kwa kurejesha historia iliyofutwa?
Aliyefuta historia ya babu yangu katika kuunda TANU na mie niliyeandika historia ya babu yangu nani aliye bias?
Hii kuwa sina heshima JF wewe umepata wapi?
Mimi Mwandishi Bora Jukwaa la Historia miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.
Rod...
Mwalimu hakuwa na shida ya wa kumtetea.