Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

Sifa tuu za kijinga za kujiona bora kuliko mwenzie! Ukute hata akiba hana lkn kushusha wenzie moto! Ila sishangai bukoba ndo zao!
 
Pole Sana Mkuu...
 
Tanzania kuishi na ndugu au mtu ambae anatafuta maisha ngumu sana mi kuna mshikaji wangu alitoka mkoani akanicheki anataka kuja kama week moja kufuatilia passport yake uhamiaji anaomba hifadhi basi nikakubali mwanzo alianza vizuri asubuhi nilikuwa namuachia hela ya kwa ajili ya chai gas ipo anachemsha chai anakunywa jioni tunadondosha ugali mkubwa siku imeisha kumbe jamaa mtu wa totoz kinoma siku ya kwanza alidai kapoteza,

simu nikaona isiwe kesi nikamtafutia kiswaswadu cha elfu 7 nikampa mi nilikuwa naagizia vitu zanzibar siku nikamwambia nifuatie mzigo wangu kuna sehemu nilikuwa nawahi nikampa elfu 50 kumbe hakwenda nikimpigia simu hapatikani jamaa wa mzigo ananipigia simu nikachukue mzigo maana ilikuwa jioni na asubuh anarudi tena zanzibar nisipochukua ataenda nao zanzibar ikabidi nijitihidi nifuate mzigo wangu ili usirudi zanzibar,

jamaa anarudi home anadai hela kapoteza hapo nikaanza kuwa na mashaka sasa hii komesha siku nimeweka laki 3 ya mzigo kwenye bag jamaa kaja kaona sipo kachukua laki moja kaamsha bila kuaga simu kazima anakuja kunitumia sms ya kuomba msamaha kesho yake toka siku hyo mpaka leo sipokei rafiki wa kulala geto mtu akipiga simu namwambia naishi na mwanamke full stop bongo ukiwa na huruma sana huendelei mda mwingine unatakiwa uwe dikteta.
 
Hivi hii kitu inawezekanae?,mm kuna marafiki nipo nao since nimewakaribisha kwangu na wenyewe kuanza kuwa wajanja mm mambo yangu yamekwama kinoma,mpaka kuna muda nawawazia vibaya.....
 
Mwizukulu kumbe unakaa ghetto?
 
Hilo jina la samwel lina laana ,
 
Nature ya WaTZ na blacks wengi si wa kuonewa huruma au kusaidiwa, haya mambo wanajua Wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…