Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

Kwamba kipaumbele chako ni kuolewa😀
 
A
Duuh! kumbe nadharau 520k huku sensa alikua anaihangaikia?
JF bhana,au yeye alikua anataka u-kamishna wa sensa taifa?
Alikuwa anatafuta ukalani. Ukija na tetesi yuko mbio kuuliza 'sema kweli'. Lawama kibao kuchelewesha majina, lawama kwa mtendaji wake hadi akapost picha yake
 
Kuna mshenzi mmoja nilimkaribisha kulala maana alichelewa kwake.
Asa kuna sehemu chupa flani ya glass nilikua kila nikirudi home masalia yote najaza humo na kuna siku nilitoa hela ya manunuzi cash mzigo flani bahati mbaya ikapungua nikalipa na card ile pesa cash kurudi home nikaijaza mle.
Aisee chupa ilikua peupe tu transparet maana sikuwa na idea angekuja mgeni hela zinaonekana.
Yule mjaa laani alikwapua zooote
Bahati asubuhi nikamwamsha aondoke niende job.
Ndio kaenda bafuni nikashtuka nicheki ile chupa.
E bana emptyyy sikuamini,ilikua km na laki 5+ mle ndani zimekwenda.
Niliangaishana na yule fala mpk nikaita polisi.
Da badae nikamuonea imani maana ni mgonjwa na alikua na issue na polisi pia muda.
Nikamwachia.
Ila yule laana-kum hela yangu atailipa siku moja kwa njia yoyote popote aliko.
 
Mkuu huoni id yake imeandikwa bukoba ina maana hujawazoea tu hawa watu wa lile kabila
 
Hivi hii kitu inawezekanae?,mm kuna marafiki nipo nao since nimewakaribisha kwangu na wenyewe kuanza kuwa wajanja mm mambo yangu yamekwama kinoma,mpaka kuna muda nawawazia vibaya.....
Yapo ndugu yangu yaani wanakurudisha nyuma nakukufungia riziki hii yote sijajua ila nimekuja kujua rafiki zako ndio maadui zako.
Nipo serious sikuwa najua haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…