DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mzee wa orodha katika ubora wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa orodha katika ubora wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!
You lost! Bastard..-Sasa wewe MUUZA JUICE(rejea uzi wako wa kuomba usaidiwe mashine) ya miwa unataka kusemaje?
-hii mitandao inaficha lkn uzi zako zinaakisi usokwe ulionao ww punga. Mbuu jike ww
The List
Tii kiu yako.
NilikulaUlikula mchana jana? Maanda mihangaiko ya kko inachosha sana mara nyingi husababishia mtu kuona wenge
Shem mimi siaminigi hivi vitu...yani sijui nipoje aiseeNilikula
[emoji23][emoji23][emoji23] kwakweliNimecheka sana hahahaha unaweza toak nduki
Sikuwahi kuwaza kama mchana pia yanatembea..nilijuaga usiku tu au yakitembea mchana hayaonekaniIla hata mchana wengine wanakumbana nao
[emoji23][emoji23][emoji23] niache na huo uhakiki wakoHiyo nakuhakikishia wewe kam kweli limekupenda utakuwa unaota ndoto muruwaah
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka..khaaa!!Tena nakuhasa unapo lala uvae mpira magonjwa mengi
StupidFemale anopheles mosquito.
Hilo nalo la muhimu sana.Ulikula mchana jana? Maanda mihangaiko ya kko inachosha sana mara nyingi husababishia mtu kuona wenge
AmenNamshukuru mungu mwingi wa rehema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SIONGEI NA MBWA NAONGEA NA MWENYE MBWA. NA MBWA UKIMJUA JINA HAKUPI TABU.
Na mara nyingi vinawatokea wanaoviamini.Shem mimi siaminigi hivi vitu...yani sijui nipoje aisee
Sijawahi onana nae live may be kwenye movieHujawahi kukutana na mademu wenye mamcho ya paka?
Mimi nitakua wa mwisho kuja kuamini ulimwengu wa majiniNa mara nyingi vinawatokea wanaoviamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbio za bolt hatariiMkuu, kwenye hatari kama hiyo mtu huwa anapata nguvu za ajabu, anakimbia balaa mpaka unayemtazama unaweza kushindwa kujua ni me au ke!
Lakini unatambua kwamba siku hizi wanawake wanaweka lens tofauti tofaut machoni ?Sijawahi onana nae live may be kwenye movie
Comment yakoNimefanyaje?