Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

Imagine kila goli wanalofunga yanga na simba Rais alikuwa anatoa million 5, pesa zote tulizochea kule zingenunua hata gari moja la uokoaji
 
Tofautisha uokozi we eneo la vita na uokozi kwenye domestic settings.
Gaza walianza kuwa effective baada ya matukio mangapi??
Ni mashirika mangapi ya kimataifa yapo kwa kazi hiyo??
Unakumbuka Ilichukua siku ngapi kumtoa Yesser Arrafat chini ya kifusi??
 
Hivi makomandoo wetu hawaezi kupenya penya kama miners taratibu kwa kutambaa na vifaa vidogo vidogo kama vya wachimbaji wadogo wadogo wa madini..... Taratibu sana kupenya kama nyoka.....
Sijui lakini... Nawaza TU. SI kwa ubaya
😅 😅

Hao wadau ndio mmoja wao alitumwa akabaka binti
 
Ina maana tusiwe na jeshi la akiba?...

Ni vyema hili jeshi la zimamoto na uokoaji liboreshwe zaidi...(Vifaa )
Hili Jeshi la Zimamoto halifai Wengi ni waoga Sana kufanya Uokoaji Wamezoea Luxury sana..

Unaposema kusiwe na Jeshi la akiba unamaanisha nini?

JKT sio Jeshi la Akiba..
Jeshi la Akiba Ni Mgambo na Mgambo wanaruhusiwa
 
Hoja ya msingi hapa ni maandalizi yetu katika majanga na allocation of resources.
 
Hili Jeshi la Zimamoto halifai Wengi ni waoga Sana kufanya Uokoaji Wamezoea Luxury sana..

Unaposema kusiwe na Jeshi la akiba unamaanisha nini?

JKT sio Jeshi la Akiba..
Jeshi la Akiba Ni Mgambo na Mgambo wanaruhusiwa
Jeshi la zimamoto lipo vizuri tu kwenye uokoaji tatizo ni vifaa tu.
 
😅 😅

Hao wadau ndio mmoja wao alitumwa akabaka binti
Dah. Inasikitisha sana. Maana mahali kama hapa ndio pa kuonyesha weledi.
Kuna mwamba namuona huko mitandaoni Jana kapenyapenya katoa watano. Kuamkia Leo saa sita ya usiku ameenda huko mpaka alfajiri katoa wengine watatu. Na ni msela TU wa huko mtaani, ,,Sasa unaona!!!!
 
Vile vifaa vina gharama mkuu
Vifaa Vyote Nchi nzima Havidi Trilion 3..
Kwa supply ya Kila Mkoa..
Ukiangalia Goli la Mama, Malipo Mechi za K.O za Ngumi na Pesa Nyingi zinazotumika Kwenye Vitu visivyo vya Msingi...

Juzi Juzi bunge linaidhinisha Manunuzi ya ndege Nyingine ya Viongozi inayocost Bilions of Money..
Bajeti ya Mwaka huu inakaribia trilion 40 kwanini Tusitumia trilion 3 Kuboresha Jeshi linaloweza Kuokoa Maisha?
 
Hivi makomandoo wetu hawaezi kupenya penya kama miners taratibu kwa kutambaa na vifaa vidogo vidogo kama vya wachimbaji wadogo wadogo wa madini..... Taratibu sana kupenya kama nyoka.....
Sijui lakini... Nawaza TU. SI kwa ubaya
Unaonaje ungeenda kupenya wewe mkuu...
Si kwa ubaya lakin
 
Vile vifaa vina gharama mkuu
nimejaribu kugoogle vifaa used

Hao mawaziri walioenda hapo kila mmoja gari lake ni angalau mara 10 ya Caterpillar moja hapa.

Tanzania hadi Kesho tumeshindwa kukubaliana dhidi ya wabunge 19 ambao mishahara yao ingetumika sehemu husika tusinge poteza baadhi ya watu jana
 
Yaani hilo balaa kama la Gaza kwetu tuombe lituepuke kwa sababu ikitokea jengo limepigwa bomu basi nyie mliofukiwa mjihesabu mmekufa hamtomuona mtu kuja kushughulika na nyie.
Hapa kwetu tukivamiwa na adui ndani ya saa 24 adui keshajichukulia nchi kiubwete kabisa tulivyokuwa waoga wa kufa utafikiri tutaishi milele ndiyo maana hata hawa vibwengo wanatutesa watakavyo kwa sababu wanajua Wabongo ni waoga sana.
 
Hapana Hilo Nitakupinga Mkuu..

Kuna Wakati tu tuseme Ukweli..
Kwenye matukio makubwa Jeshi la zimamoto mara zote husaidiwa na JWTZ na JKT sasa kwanini Tusirasimishe Uokoaji uwe Chinu ya Idara ya JWTZ kupitia Idara ya Jeshi ya JKT
Hili jeshi la zimamoto na uokoaji linahitaji maboresho tu mkuu hasa kwenye vifaa sio wabaya kiasi unachodhani.....huko kusaidiwa na majeshi mengine sio jambo baya ni kuongeza nguvu tu.

Hao zimamoto ndio wanapaswa kuwa mstari wa mbele kwenye uokoaji tatizo vifaa vya kutosha hawana isitoshe wanahitaji bajeti ya kutosha.
 
Unaonaje ungeenda kupenya wewe mkuu...
Si kwa ubaya lakin
Hii SI ligi Mangi. Embu kuweni na akili.... Hata kama wazo langu ni ujinga lakini angalau nimefikiria....
Kwani masharti ya kujiunga na hicho chama ni ubongo wako uutupe au..... Huwa siwaelewi.
 
Jeshi la Netflix ( Zimamoto ) halina maana kabisa Mana kwenye Moto maji hawana kwenye vifusi wanakuja Kama vibodi warriors.....Hawaeleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…