Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

Hii SI ligi Mangi. Embu kuweni na akili.... Hata kama wazo langu ni ujinga lakini angalau nimefikiria....
Kwani masharti ya kujiunga na hicho chama ni ubongo wako uutupe au..... Huwa siwaelewi.
Haikuwa kwa ubaya mkuu
 

Hivi likitokea Tetemeko Kabisa lililotokea Mwanza na Bukoba Miaka Fulani 2019 kama sio 20 au 18..
Likapiga Dar Kweli Kuna watu watapona??
Au Watakufa watu Milion kadhaaa??

Kwa Tukio la Kariakoo Tujifunze Idara ya Maafa isielekezwe kisiasa....

Kwa kifupi Waziri Mkuu Hapaswi kuisimamia kabisa..
 
Haikuwa kwa ubaya mkuu
Ok. One and one makes two. Haya mawazo watu wanatoa mitandaoni hao wachumia tumbo waunde Timu Sasa na kukusanya mawazo ya watu wote across all social media platforms then wachuje Yale mawazo mazuri wayahifadhi kama Hansard bungeni.
Mwisho wa siku likitokea tukio wakopi TU majibu maana tunapoelekea wanaofata kushika hatamu kutoka kwenye hicho chama watakuwa ziro kabisa kichwani...
 
Hii SI ligi Mangi. Embu kuweni na akili.... Hata kama wazo langu ni ujinga lakini angalau nimefikiria....
Kwani masharti ya kujiunga na hicho chama ni ubongo wako uutupe au..... Huwa siwaelewi.
Mkuu achana na Hao wapumbavu ambao akili zao wanahifadhi kwenye Viungo wanavyokalia...

Hivi unawezaje Kujibu Kijinga na Kipumbavu namna hiyo kuhusu Hoja Ya Msingi ambayo umeiweka mezani Hoja Inayoelewek kabisa..

Kuna watu wanakera sana
 
Yaani kama nchi tunatakiwa kujitafakari
 
Wazo zuri umetoa....

Ila ni vyema tuangalie namna tunavyojenga majengo yetu (ubora) na angalu ziwepo Barabara zinazopitika Ili kuepuka adhaa kama hizi.
 
Yaani kama nchi tunatakiwa kujitafakari
Sanaa Tumefeli pakubwa sana, Tumewaangusha watu sana..
Wananchi wanaumia kwa sababu ya Imani waliyoiweka kwa serkali yao..
Watu watashindwa Kuishi wakihosfia Usalama wao...

Juzi juzi watu walipoteza Imani na Jeshi la Polisi kwa Sababu walikuwa Wakitekwa..
Leo watapoteza Imani ya Kuendelea Kuwa salama na Kuishi Inaumiza Sana
 
Hivi makomandoo wetu hawaezi kupenya penya kama miners taratibu kwa kutambaa na vifaa vidogo vidogo kama vya wachimbaji wadogo wadogo wa madini..... Taratibu sana kupenya kama nyoka.....
Sijui lakini... Nawaza TU. SI kwa ubaya
Uokoaji unahitaji mitambo ya kusikiliza sauti za watu kama wengine wanaotumia mbwa
Mbwa anasikia sana na anaweza kupenya sehemu mbaya ila ndio hivyo mbwa wa polisi wa Africa ni kuwa nao kwenye viwanja vya mpira na maandamano tu

Wenzetu mpaka Robot zenye camera wanazo na kwa serikali sio vitu wanashindwa kuwa navyo bali wizi tu ndio wanajua
 
Hapa umeongea kila kitu kwenye maandishi machache sana, yenye thamani kubwa kuliko zile v8
 
Na hiyo kamati ya maafa iondolewe chini ya ofisi ya Waziri Mkuu maana hana tija iwe chini ya wizara nyingine, ni kazi ya lawama Rais hawezi kukubali iwe ofisi yake.

JKT huwa nawawazia atokee Rais serious wapewe kazi na tenda nyingi za kujenga na kufufua viwanda. Wangepewa uwezo zaidi wawe wanashirikiana na wakandarasi wa ndani kujenga barabara na hata reli wangewezeshwa wanaweza maeneo yasiyo korofi.
 
Yeah, nimeshaliongelea Hilo. Wenzetu Wana Yale maroboti ya mbwa... Maroboti mengine Yako kama nyoka n.k.
Kama Serikali ingekuwa inatujali hayo ndio yangenunuliwa kwa wingi wapewe wahusika wa uokoaji...
Lakini Sasa utaona V8 ndio kipaumbele then naona Kuna picha hapo WAHESHIMIWA wamefika wamepewa viti wanasogoa.... Na wamefika na MaV8 utakuta...

Vipaumbele vyetu ni vya hovyo sana.
 
Nimeshangaa sana kuona wamepewa viti kama wako wodini
Sasa walikuja kufanya nini hapo?
Kama Rais kasema nendeni mkasaidie basi wanakuja kupiga picha basi mama nae akaliangalie
 
Well said....

Haya mambo uliyotaja ni gharama sana chief...
Tatizo ni priorities sio gharama. Kununua helicopters za kama 7 ambazo ni multirole ikitokea moto zinazima, ikitokea airlifting ya waliozama kwenye boti au kuwawahishia maboya wakati wanasubiri meli za uokoaji zinafanya, kubeba wanajeshi wakaokoe mateka zinafanya, kubeba misaada kwenye mafuriko na kuokoa watu, ku sio kuvunja kabati hata sasa tunazo Airbus mpya naziona zikiongezwa chache na mafunzo juu zitasaidia.

Zana nyingine hapo hazina gharama kubwa na zinatumika makampuni ya ujenzi ila zinakuwa in military version. Mfano Israel demolition zao na kulipua improvised explosive devices njiani wanatumia Caterpillar D9 bulldozer ila za kwao ni armoured. Sasa mhandisi gani bongo haijui CAT D9
 
Nimeshangaa sana kuona wamepewa viti kama wako wodini
Sasa walikuja kufanya nini hapo?
Kama Rais kasema nendeni mkasaidie basi wanakuja kupiga picha basi mama nae akaliangalie
Na yule mwingine alileta roboti kichekesho bungeni.. Mimi sijui Huwa tunawazaga Nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…