Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

Sijui, Mimi nawaza TU. Hao wahanga humo kwenye kifusi wanatuma meseji zinaumiza sana mno... Nazisoma machozi yanatoka....
Message zao zinaumiza Sana Kwa kweli!
 
Reactions: rr4
Wanajeshi wenyewe wanavyopatikana kimagumashi,watu wanafuata mshahara tuu,mangine kazi iendelee,kwa mfano huyo Bibi aliefuata Per Diem ni tatizo kubwa sana kwa sasa,unaendaje Kwa wakora na wauza dawa za kulevya duniani huko Brazil na kuacha wahanga kwenye mashimo ya kkoo
 
Vichwa nazi
Wanashindwa kutatua ajali za barabarani
Yaani kuna wakati unasema wazungu wana haki ya kututukana na hapo hapo kutupa misaada maana huwa wanatuona hatuna akili kabisa
Sasa wewe waza Kuna huyo Yuko sijui Brazil....
Sasa kule akaulizwa TU na hao wakubwa How is Tanzania Madam President..... ( Maana mimi sijui wanavyoulizanaga!!)
ATAJIBUJE???????
Kwamba nimeacha Kuna mjumba umeanguka , watu wamenasa siku ya pili Leo (Leo..hatujui kesho na keshokutwa) na wengine wametangulia mbele za haki??? But it's not a big deal let's talk about mnikopeshe.. loan... grants... N.k
Sijui lakini, najaribu kuwaza.
 
Huwa wanachukulia vitu simple sana viongozi wetu
Kuna maraisi huwa hawasemi kuna makamu wangu wala nini
Wengine najua walikatisha holiday zao na kwenda kwenye majanga yalipotokea
 
CAG mwaka jana alisema jeshi la zimamoto lilionekana lina upungufu 91% katika zana za utendaji kazi.

Sasa kama yale majizi yanayotajwa kukwapua vitita na hayachukuliwi hatua hata mwaka mmoja baadae ripoti ya CAG usikute ilionekana kama gazeti la udaku.

Halafu 2021 account ya zimamoto ilipitisha malipo batili.


Hao hao zimamoto 2020 akina Thobias Andengenye waliingia mkataba kufanya manunuzi ya Trilion 1 vifaa vya zimamoto ila mkataba ulikuwa batili na hadi leo vifaa havipo na waliishia kuondolewa ofisi hiyo kuzawadiwa vyeo ofisi nyingine.

 
Kuna haja ya elimu ya uokoaji, elimu ya first aid na elimu ya self defense kusomeshwa mashuleni tangu nursery.
Tumekaa kizembe Sana
 
Hivi makomandoo wetu hawaezi kupenya penya kama miners taratibu kwa kutambaa na vifaa vidogo vidogo kama vya wachimbaji wadogo wadogo wa madini..... Taratibu sana kupenya kama nyoka.....
Sijui lakini... Nawaza TU. SI kwa ubaya
Eti kupenya penya haaaa hio haina formula wao wanapenya kwenye kundi la watu wasio na silaha ila sio hapo
 
Hapo hata kumpa kazi hawampi
 
Hi nchi hata tukimpa CHAUMA na wewe ukawa raisi hakuna kitu utafanya tukakupongeza
 
Tuikumbushe serikali juu ya hili ila sio kama watu wanavojadili kama wangekuwepo sujui nani wangefanya hivi au lile jamani uokoz ni professionals make mistake hakuna mwanajeshi kwakua tu kavaa uniform akaperfom role ya uokozi unless ndani ya jeshi namanisha jwtz na vitengo vyake kuwe na hyo equipped department sasa tukija wenye kaz yao wao hawana vifaa sasa hapa ndio pa kuikalia serikali kooni
 
Inasikitisha sana,tuna safari ndefu
 
Una uhakika walikufa Gaza ni elfu 40 tu au hao ndio waliotangazwa? Ikitamgazwa idadi halisi tutakimbiana.
 
Serikali ya hovyo sana eti mawaziri wameenda pale kuokoa 😁😁😁 wakaa tena wamekunja nne na posho watapeana. Ccm ikae tu pembeni zije akili mpya
 
Hapo utakuta mwamba hata pewa sifa zake au wamtumie kisiasa za ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…