Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

Kifo ni kifo tu alisema
 
Katika pumba hii ni pumba number moja, sasa unataka kutuambia nini? wewe unajuwa kwanini Gaza inakuwa hivyo, unaleta mifano kama hujasoma. Gaza Israel wanawaammbia kabisa kunakuwa na warning ondokeni hapo wanahamisha watu kabla ya kupiga kuepusha vifo vya watu, kuna wakati watu walihamishwa karibia wote north wanabaki wale wabishi tu. Kawaida ya vita wanatuma early warning iwe vikaratasi na audio kuondoa watu. Sasa Kariakoo wangeambiwa ondokeni kesho tunavunja nguzo moja angebaki mtu pale. Tofautisha ajali na vita.
 
Hivi makomandoo wetu hawaezi kupenya penya kama miners taratibu kwa kutambaa na vifaa vidogo vidogo kama vya wachimbaji wadogo wadogo wa madini..... Taratibu sana kupenya kama nyoka.....
Sijui lakini... Nawaza TU. SI kwa ubaya
Kupenya penya kwenye ghorofa namna ile 🤣
 
Reactions: rr4

Kusema ukweli Tanzania kwenye majanga bado tupo nyuma Sana.
 
Hivi makomandoo wetu hawaezi kupenya penya kama miners taratibu kwa kutambaa na vifaa vidogo vidogo kama vya wachimbaji wadogo wadogo wa madini..... Taratibu sana kupenya kama nyoka.....
Sijui lakini... Nawaza TU. SI kwa ubaya

Sidhani Kama Wana hayo mafunzo.
 

Kweli kabisa
 
AMANI HULEVYA UJINGA
 
Kwenye majanga asili tunaweza kufa wote tusiwezekujiokoa hata mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…