Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

CCM weanajua wazi kuwa hawakubaliki ndio maana wameamua kujiandaa kwa wizi kila eneo nchini.
Dawa ktk uchaguzi ni wananchi kulinda kura zai dhidi ya wezi hawa wa ccm
 
asante Mods kwa marekebisho mazuri ya heading. Maxence Melo
 
Msimamo imara ni kukataa kushiriki uchaguzi. Hili tukio la wizi wa kura na kukataa tume huru ni wazi CCM hawana nia nzuri.
Hata hayo maandamano inaonekana ni maagizo kutoka kwa wafadhili. Kwa hiyo kwa CCM inayatumia kupiga hela za wafadhili tu wala sio kusikiliza ajenda za maandamano
 
Ndio maana Samia anawaambia waache waandamane weeee...

Kumbe wao wanaingiza pesa!.
 
Very well-written thinking and analysis.

Nawashauri wawatayarishe wafuasi wao KUFA MSALABANI. Wajitayarishe kwa maumivu makali ambayo mwisho wake unaweza kuwa kifo kulinda kura zao

Kama kujitayarisha kufa,
1. Target No. 1 ya CCM kuua itakuwa Mbowe!
2. Target No. 2 itakuwa Lisu
3. Target No. 3 Wenyeviti wa majimbo..Lema, msigwa and the like.
4. Target No. 4 itakwa wenyeviti wa mikoa ........and the isy goes down to the root!

FOR SURE CCM WAKO TAYARI KWA LOLOTE AS LONG AS WASHINDE UCHAGUZI

JE WAKO/TUKO TAYARI KUFA? WAFUASI WAO TUKO TAYARI KUFA? /WANANCHI WAKO TAYARI KUFA?
Erythrocyte
 
Well spoken!
 
Nilikuwa nime ku block maana ni kupoteza muda na MB kusoma maaniko yako.
 

Mimi naomba nisamehewe kwa kuwabeza vikundi vya kwenye baadhi ya nchi vilivyoamua kuingia msituni kwa kukosekana kwa haki katika nchi zao. Niliamini kimakosa ile propaganda ya kuwa vikundi hivyo vina uchu wa madaraka, na propaganda hizo zilienezwa na tawala kama hizi za ccm. Sasa nimeelewa kwanini waliamua kuingia msituni.
 
Nilikuwa nime ku block maana ni kupoteza muda na MB kusoma maaniko yako.
kwahiyo umeni unblock tena 😀

kama si msomi na huna, muda, nia ya kusoma na kuelewa mambo, bali unapenda mzaha, vichekeshi na mipasho sawa...

lakin kama unataka kujifunza, kuelewa na kuongeza ufahamu wa masuala mbalimbali kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, huwezi kuchukua uamizi kama huo usio na maana yoyote....

by the way napingukiwa nini ukiniblock mimi au mwingine....

mie namwaga madini tu sio kufurahisha mtu...
 
Nimeshasema tena, ni wendawazimu kuendelea kushiriki chaguzi hizi za kipuuzi kwa mazingira haya. Mnakubaliana tume huru, wezi wanagomea yote kisha mnaendelea kushiriki kwa lugha eti mama ana Nia njema. Machafuko tu, ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli. Huo utapeli wa 4Rs huwa wanaamini watu wajinga.
 
Shida ya vyama vya upinzani ni tamaa, ila kiukweli mimi ambaye nimekuwa kama wakala wa vyama kadhaa, mfumo wetu wa uchaguzi ni mbovu mno, na unaegemea upande mmoja wa CCM ukiona mahali wapizani wameshinda ujue kuna nguvu ya wananchi imetumika lakini hivyi hivyi ni vigumu mpinzani kushinda!! Inabidi wapinzani waelewe hivyo
 
Ccm bwana
 
I need not learn from you anyway if your arguments are presented in that thinking and reasoning! Kuna wana CCM wengi humu we do discuss issues based on logic, intuition, reasoning, and the like! Lakini unapoona mtu analeta uchawa, you need not waste time and MBs!

Have a nice day and enjoy your JF discussions!
 
Samia naye ni wale wale tu
 
Kwa upinzani huu wa Tanzania CCM italalamikiwa kuiba kura kila leo, HAKUNA kiongozi wa upinzani mwenye ushawishi, uchaguzi wa mwakani wapiga kura watakuwa wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…