Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku siyo Jumapili , mkitaka tugawane mbao mjiandaeErythrocyte hatutarajii November 2025 utujazie servers za JF ukilalamika mmeibiwa kura. Mmeshapewa tahadhari mapema.
Hivi Kikwete si amestaafu yule , au amechoka kuheshimiwa ? tukianza kumuanika tusilaumianeNa ndivyo itakavyokuwa! Mzee wa Msoga amesema labda yatokee Maajabu.
Ndiye Baba wa Taifa aliyebaki!Hivi Kikwete si amestaafu yule , au amechoka kuheshimiwa ? tukianza kumuanika tusilaumiane
Basi sawa , awe tayari kuanikwaNdiye Baba wa Taifa aliyebaki!
Kwa upande mwingine naona kama CCM wanajua nini watakachofanya, ujue haya mambo ya uchaguzi wakati mwingine ni kucheza na akili za wapiga kura tu, na bahati mbaya CCM tayari wanazifahamu akili zetu.Very well-written thinking and analysis.
Nawashauri wawatayarishe wafuasi wao KUFA MSALABANI. Wajitayarishe kwa maumivu makali ambayo mwisho wake unaweza kuwa kifo kulinda kura zao
Kama kujitayarisha kufa,
1. Target No. 1 ya CCM kuua itakuwa Mbowe!
2. Target No. 2 itakuwa Lisu
3. Target No. 3 Wenyeviti wa majimbo..Lema, msigwa and the like.
4. Target No. 4 itakwa wenyeviti wa mikoa ........and the isy goes down to the root!
FOR SURE CCM WAKO TAYARI KWA LOLOTE AS LONG AS WASHINDE UCHAGUZI
JE WAKO/TUKO TAYARI KUFA? WAFUASI WAO TUKO TAYARI KUFA? /WANANCHI WAKO TAYARI KUFA?
Erythrocyte
This time NEVER!Wakishaiba wanataka tufanye mazungumzo ya amani na kusema yaliyopita tugange yajao.
Ili neno linanikela kama wanatuona wajinga
Naunga mkono wizi wa kura.Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.
BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.
MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Huyu ni wa kumtolea uvivu, mpuuzi mkubwa sanaHivi Kikwete si amestaafu yule , au amechoka kuheshimiwa ? tukianza kumuanika tusilaumiane
Umeshapanic 😂🔥Hivi Kikwete si amestaafu yule , au amechoka kuheshimiwa ? tukianza kumuanika tusilaumiane
Mwacheni aendeleeUmeshapanic 😂🔥
Bwashee ile kitu Chadema walifanyia Julius Mtatiro 2015 jimboni Segerea ndio itawakuta na waoKwa upande mwingine naona kama CCM wanajua nini watakachofanya, ujue haya mambo ya uchaguzi wakati mwingine ni kucheza na akili za wapiga kura tu, na bahati mbaya CCM tayari wanazifahamu akili zetu.
Nachoona kitachoenda kutokea kwenye chaguzi mbili kubwa zijazo, haitakuwa CCM watapora complete kama ilivyokuwa 2020, No!, watachofanya this time ....
Huko majimboni, watahakikisha wanagawana majimbo yale yenye ushawishi na upinzani, hasa Chadema.
Mfano, kama Chadema itashinda Arusha Mjini, basi sitashangaa CCM kulazimisha washinde Moshi Mjini, kama Chadema itashinda Iringa Mjini, basi sitashangaa CCM kulazimisha washinde Mbeya Mjini hata kama kura zao hazitoshi.
Ile maana ya nusu mkate ambayo alikuwa anaipinga Lissu huku baadhi ya wapinzani wengine wakiifurahia ndio itakwenda kutokea hapa, unapewa hapa, unanyimwa pale hata kama ulistahili, then unakosa mandate ya kudai umeibiwa, ukilalamika watakujibu mbona pale mmeshinda kwa tume hii!, mchezo unaishia hapo.
Na wala sio ile nusu mkate wapinzani wanadhani watapewa tu majimbo yote wanayokubalika ilimradi CCM irudi ikulu, No, hii nusu mkate itagawanywa kote hata hadi majimboni, Samia ataambiwa na CCM wenzake mama wewe tulia pale utazame mchezo..
Huu mchezo utachezwa ili kuepusha kelele nyingi za tumeibiwa kama ilivyokuwa 2020. This time itakuwa mnapewa nusu, mnatuachia nusu mpende au msipende.
So, at the end of the day itakuwa aliyepata amepata, na aliyekosa amekosa, maisha yanaendelea...
CCM huwa hawana fadhila !Shida kubwa ya bwana kabwe( licha ya kuondoka Kwa mchongo) ni msalti wenzake wanaongoza mapambano ya kuhakikisha mambo yanawekwa sawa yeye na watu wake wanakwamisha..
Note: kwenye siasa hakuna urafiki zito na viongozi wake walijue hili..
Nikiona posts zako November 2025 nitakukumbusha.Kila siku siyo Jumapili , mkitaka tugawane mbao mjiandae
No way Nusu mkate ni lazima watapewa wale ambao wanaogopewa kwa influence zao kwa wapiga kura !!Bwashee ile kitu Chadema walifanyia Julius Mtatiro 2015 jimboni Segerea ndio itawakuta na wao
CCM majimboni hawakubali kabisa habari za Nusu mkate na hakuna wa kuwalazimisha
Ndio sababu Sugu atagombea Makete 😂🔥
uh 🙄 !Nikiona posts zako November 2025 nitakukumbusha.