Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

Kama una elimu ya chuo basi nisikufiche, una uwezo mdogo sana kiakili.
Nimesoma maelezo yako hamna kinachoeleweka. Umesimulia kwa kuficha mambo muhimu na kuelezea kama vile tunajua ulipo na baba yako alipokuwa anakwenda.
Nina hakika baba yako anaona haujakuwa kiakili ndio maana anashindwa kukuchukulia kama mtu mzima anayeweza kujitambua.
Nisamehe kwa kutokuwa mnafiki..
 
Najua bado wewe ni mdogo na hujaona mengi ama kuexperience vingi.lakini chukua ushauri wangu.

1.Kwa udi ama uvumba, Anza kujitegemea completely kwa sababu wewe ni mtu mzima, bila kutegea ama kumlaunu mtu yeyote..ujenzi wa maisha yako uliofanywa na familia yako ni sababu pekee ya kukufanya uwe mtu mwenye shukrani sasa Anza walipoishia endelea mbele.

2.ukitaka kufanikiwa zaidi, jipange kimtaji au jichomoe betri nenda mbali kahustle kwa jitihada, aga officially, usiondoke kwa kinyongo coz hakuna atakayekuzuia.

3.kumbuka, ndugu hakopeshwi Huwa anasaidiwa...kumbuka Hilo kila siku
 
Nimekuelewa ndugu,pole.
Usishindane naoo,umri wako unatisha kujitegemeaa ikubali Hali then ishi nayo.
1.Ondoka nyumbani kwa Amanii wambie unaenda kutafuta maisha;unaweza ukaanzia sehemu ambayo sio mbali kuepusha garama za nauli na ugeni wa mazingila,ukipata hata Million 2...nenda mbali wasikokuona Nini unafanya kwa Kila siku.

2.Ongeza moyo wa upambanajii,tambua kua wewe umeanza maisha 0 2 afu game ugenini ( kisoka utanielewa) hivyo yakupasa kujituma haswa Ili kuset mfumo wako wa maisha. Nikutie moyo pambana utatoboa na watakupenda sana, usizarau watu maisha Bora yapo kwa watu wasokujua ingawa kwa Dunia ya Sasa nenda kwa umakini na hao Binadamu sio wote ni wema.
 
WAHUNI NA WACHAWI nao pia WANAZAA.

Kuzaa ni kitu rahisi tu, unaingiza KOJOLEO LA KIUME kwenye KOJOLEO LA KIKE kisha mtoto anazaliwa. NI RAHISI SANA.

Ndio maana hata PANYA ANAZAA pia. Kuzaa sio ishu, ni kitendo tu.

Cha msingi na cha sekondari ACHANA NA HILO LIBABA, tafuta maisha yako wala usihangaike nae. FUTA HATA MAWASILIANO YAKE.

Ukitengana nae utaona utakavyoanza kuwa na furaha. Si ajabu MCHAWI HUYO anakuloga nyakati za usiku. ANA MAPEMBE SABA.

NENDA MBALI, KATAVI HUKO NDANI NDANI AU MTWARA ufurahie maisha.

Cc: Lamomy Poor Brain mshamba_hachekwi cocastic Extrovert
 
Sherehe sio issue kubwa kwasababu mimi pia nimepita kote huko na sijawahi kufanya hiyo Sherehe ila hapo changamoto ni huyo mzee wako maana anabehave kama wewe sio mwanae wa kumzaa.

Ushauri wangu inabidi ukae na wazee uongee nao na uwape hayo yote ili waangalie namna ya kuongea nae kwa maana kukimbia pekee haiwezi kuwa suluhisho ila solve hilo tatizo kwanza na option nzuri ni hiyo ya kuongea na wazee wa ukoo wenu ambao wanaheshimika na kusikilizwa then wao watajua namna ya kuongea nae kisha muafaka unaweza kupatikana.

Pole sana mkuu, kwa maana watu wote duniani wanaamini dunia nzima inaweza kukuacha uangamie ila wazazi pekee ndio wanaoweza kukukingia kifua na kukusaidia kwa namna yoyote ambayo inafaa kwao ila kwako wewe naona imekua tofauti sana though nnauhakika hauko pekee unaepitia changamoto za namna hii.

Jipe moyo na utafute suluhisho kwanza then ikishindikana ndio uchukue hatua za kupambana kivyako kwa maana unaouwezo coz kama umeweza kupambana kwenye elimu hadi umemaliza now huwezi kushindwa kupambana na maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…