Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
- Thread starter
- #61
Ndiyo mkuuHivi huyo babaako mzazi kweli!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mkuuHivi huyo babaako mzazi kweli!??
Sawa mkuu,,, ila mimi nia yangu nilikuwa napenda tu ushirikiano wa kifamilia ndugu,,,imagine hela ni yako alafu wewe unamuomba tu kukusaidia labda akanunue huko anakojua ni rahis kupata icho kitu anakukunjiaWewe ondoka hapo kwenu sio kujiliza jiliza,kama unataka kuwasaidia utawasalimia na kuwasaidia Ukiwa mbali
Hatua nimechukua mkuu ila ivo vitu ninavyofanya ananikunjia kiufupi ni mtu hataki ushirikiano na mimi,,,huyu mshua anafani moja ivi namimi najua iyo fani kwa kuwa yeye yuko bize mda mwingi nikasema bas akipata kazi ya iyo fani akutage nimeweka sawa ivyo vitu akakunja labda ukimuuliza hiki kifaa vipi napataje anakwambia katafute vyako wakati mi nilikuwa najua yeye ni mzoef anajua wap vinapatikan kirahis,,,mwisho wa siku akanambia niache kutengeneza vitu walivyomletea yeye kwa kuwa alikuwa anajua mimi sijulikani wanaleta ivyo vitu kwa sababu yakeUmri wa miaka 26,,,
Acha kulaumu chukua hatua
Ni watu wa kurushiana mpira kila mtu anasema huyo ndo inabidi awajibike huku mimi ninayetakiwa nitimiziwe nabaki njiapanda pasipo msaada wowotePole mkuu.Sasa inakuwaje mpaka mama unakosa sapoti yake?Hii inafikirisha kidogo.Au wali ku adopt bila ya wewe kujua ?Mana wakina mama huwa wako tayari kufa na watoto wao,sasa kwako inakuwaje baba na mama lao liwe Moja?
Hili huwa naliona ndo bora lakin kwa ninavomjua ndo atanipa makwazo makubwa ,,,,kinachoniuma ni kuona aman na baba yangu haipoNa hiyo ndio best option ever.
Atafute sehemu akaanze maisha yake yeye mwenyewe.
Mimi sijui ila mimi ndo namjua ndo baba yanguWell, una hakika kwanza kuwa huyo unayemuita baba yako ni mzazi wako kweli?
Ahsante mkuu,,,ila najua ningeweka wazi sana kuna watu watajua tu ni mimi hii kitu known sana mkuuKama una elimu ya chuo basi nisikufiche, una uwezo mdogo sana kiakili.
Nimesoma maelezo yako hamna kinachoeleweka. Umesimulia kwa kuficha mambo muhimu na kuelezea kama vile tunajua ulipo na baba yako alipokuwa anakwenda.
Nina hakika baba yako anaona haujakuwa kiakili ndio maana anashindwa kukuchukulia kama mtu mzima anayeweza kujitambua.
Nisamehe kwa kutokuwa mnafiki..
Ahsante ndugu hata hapa nilipo asset zangu zinaniwezesha kujitegemea kinachonitesa ushilikiano na aman na wazaz haipoNajua bado wewe ni mdogo na hujaona mengi ama kuexperience vingi.lakini chukua ushauri wangu.
1.Kwa udi ama uvumba, Anza kujitegemea completely kwa sababu wewe ni mtu mzima, bila kutegea ama kumlaunu mtu yeyote..ujenzi wa maisha yako uliofanywa na familia yako ni sababu pekee ya kukufanya uwe mtu mwenye shukrani sasa Anza walipoishia endelea mbele.
2.ukitaka kufanikiwa zaidi, jipange kimtaji au jichomoe betri nenda mbali kahustle kwa jitihada, aga officially, usiondoke kwa kinyongo coz hakuna atakayekuzuia.
3.kumbuka, ndugu hakopeshwi Huwa anasaidiwa...kumbuka Hilo kila siku
Ahsante ndugu ubarikiwe kwa ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwiliNimekuelewa ndugu,pole.
Usishindane naoo,umri wako unatisha kujitegemeaa ikubali Hali then ishi nayo.
1.Ondoka nyumbani kwa Amanii wambie unaenda kutafuta maisha;unaweza ukaanzia sehemu ambayo sio mbali kuepusha garama za nauli na ugeni wa mazingila,ukipata hata Million 2...nenda mbali wasikokuona Nini unafanya kwa Kila siku.
2.Ongeza moyo wa upambanajii,tambua kua wewe umeanza maisha 0 2 afu game ugenini ( kisoka utanielewa) hivyo yakupasa kujituma haswa Ili kuset mfumo wako wa maisha. Nikutie moyo pambana utatoboa na watakupenda sana, usizarau watu maisha Bora yapo kwa watu wasokujua ingawa kwa Dunia ya Sasa nenda kwa umakini na hao Binadamu sio wote ni wema.
Ahsante ubarikiwe piaPole mpenzi Mungu awe faraja yako
Ahsante sana mkuu ubarikiwePoleeeee sanaaaa!!
Hili nalo ndo huwa linaniumiza kichwa nduguSi uondoke ukakae mbali ufanye maisha yako
Au kwa vile unaumwa
Ahsante mkuu ubarikiwe nimekuelewaWAHUNI NA WACHAWI nao pia WANAZAA.
Kuzaa ni kitu rahisi tu, unaingiza KOJOLEO LA KIUME kwenye KOJOLEO LA KIKE kisha mtoto anazaliwa. NI RAHISI SANA.
Ndio maana hata PANYA ANAZAA pia. Kuzaa sio ishu, ni kitendo tu.
Cha msingi na cha sekondari ACHANA NA HILO LIBABA, tafuta maisha yako wala usihangaike nae. FUTA HATA MAWASILIANO YAKE.
Ukitengana nae utaona utakavyoanza kuwa na furaha. Si ajabu MCHAWI HUYO anakuloga nyakati za usiku. ANA MAPEMBE SABA.
NENDA MBALI, KATAVI HUKO NDANI NDANI AU MTWARA ufurahie maisha.
Cc: Lamomy Poor Brain mshamba_hachekwi cocastic Extrovert
Sawa mkuu nimekuelewaUshakua mtu mzima! Hama hapo na ukajisimamie.
First born mkuuSa 26 mtoto wa kiume unakua kama kibinti cha la nne, we ni last born?????
Nashukuru sana kwa ushauri wako ubarikiwe sana mkuuSherehe sio issue kubwa kwasababu mimi pia nimepita kote huko na sijawahi kufanya hiyo Sherehe ila hapo changamoto ni huyo mzee wako maana anabehave kama wewe sio mwanae wa kumzaa.
Ushauri wangu inabidi ukae na wazee uongee nao na uwape hayo yote ili waangalie namna ya kuongea nae kwa maana kukimbia pekee haiwezi kuwa suluhisho ila solve hilo tatizo kwanza na option nzuri ni hiyo ya kuongea na wazee wa ukoo wenu ambao wanaheshimika na kusikilizwa then wao watajua namna ya kuongea nae kisha muafaka unaweza kupatikana.
Pole sana mkuu, kwa maana watu wote duniani wanaamini dunia nzima inaweza kukuacha uangamie ila wazazi pekee ndio wanaoweza kukukingia kifua na kukusaidia kwa namna yoyote ambayo inafaa kwao ila kwako wewe naona imekua tofauti sana though nnauhakika hauko pekee unaepitia changamoto za namna hii.
Jipe moyo na utafute suluhisho kwanza then ikishindikana ndio uchukue hatua za kupambana kivyako kwa maana unaouwezo coz kama umeweza kupambana kwenye elimu hadi umemaliza now huwezi kushindwa kupambana na maisha.
Ahsante ndugu ubarikiwe umenena vizuri kinachoniumiza niyeye kutokufurahia ninavyovifanya yan anakunja sana mkuuKwa nilivyosoma baba yako kuna namna anazingua ila wewe pia nawe unazingua sana.
Umeshakuwa sasa pambania maisha yako, ukitaka kuijenga kesho yako achana kabisa na kuwaza yaliyopita kwa sababu hutobadili kitu utaishia kulaumu tu.
Be a man, be strong hao ni wazazi wako kumbuka msaada sio lazima wewe ni mtu mzima unapaswa ujitegemee kwenye mambo mengi. Ukingoja upewe sapoti kwenye kila linaloendelea kwenye maisha yako kuna siku haitokuwa hivyo kutokana na uhalisia wa maisha. Ukishavuka miaka 18 wazazi utawaonea bure kuwabebesha lawama.
Ishi na hili kichwani mwako "HAKUNA WA KUJA KUKUSAIDIA KUISHI MAISHA YAKO". Pole sana kwa unayopitia usikate tamaa.