Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

Acha kulalamika humu watu wanapitia magumu lakini wameamua kukomaa kulalamika hakusaidia hata kama huna kitu Ondoka tafuta ustaarabu wako tu. Kulalamika hakukusaidii wala hakubadilishi kitu. Ondoka hapo nenda kwingine kaanze maisha mapya. Usilazimishe mahali ambako hupendwi. Mimi nilitelekezwa nimetoka kupata skull fracture na nilipambana tu. Ondoka hapo
Ahsante mkuu nimeupokea ushauri wako
 
Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu?

Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona ambao niliamini wanaweza simama na mimi kwenye haya nayopitia kuchukulia kawaida sana.

Siku moja hawa wazazi niliwaambia inabidi nienda hospitalini wakakaa kimya kwa kuwa nilikuwa nawajua nikajipanga hata kama hawatanisaidia pesa yoyote mimi ntaenda tu, siku ya kwenda ikafika nikajiaandaa wananiangalia tu.

Nikawa naenda hospital ya rufaa hiyo siku naye baba alikuwa anaelekea huko ila sio hospitalini tukawa tupo gari moja tukashuka tulivofika huka nikashangaa aniniuliza unaenda wapi nikamwambia hospitalini akakaa kimya tu tukaachana kila mtu akashika njia yake.

Cha kushangaza akarudi nyumbani na kuniacha huko alafu akaenda kumuulizia mama mimi apa nimeenda wapi?

Sikuona ata simu yake wala ya mama maana vipimo vyangu vilikuwa vinachukua sio chini ya siku 5 kulingana na tatizo langu lipo complicated sana. Basi ndugu zangu nikaendelea kuishi nao hivohivo wala si kusema kitu chochote.

ikatokea tena mda mwingine nataka niende hospital na wala nilikuwa siwategemei tena wakinisaidia sawa wasiponisaidia sawa lazma mimi mwenyewe nijipange kwanza hii time baba akanambia hela hana ila ambayo ipo anataka anunulie mashamba kwanza picha linaanza iyo tulipanga tutakuwa safar moja akaniacha.

Ila mi nilizoea toka niko shule nimefanyiwa mikwazo mingi sana nilienda chuo sikuwahi pewa ata 100 mbovu kabisa maana nauli toka nyumban had huko nilikuwa nasoma ilikuwa haipungui 40000,,,kuna kipindi niliwahi kaa njian wiki 2 kwa kujishikiza kwa dogo fulani ivi ndo nikafika huko chuo.

Hapo niligundua hata nikimaliza chuo sina msaada na huyu baba ikabidi kule chuo nijibane sana bas pesa niliopata kwa kusevu nikawekeza kule nyumbani.

Kuna kipindi wakati nasoma nilijitahidi nikawekeza kwenye kitu cha msimu ile pesa baada ya kupatikana baba akaichukua huku akasema atanipa ndo ikawa mazima.

Wakati namaliza chuo wote wawili wakaniagiza simu kama nina balance niwanunulie simu watanipa ela nikifika nyumbani ikawa ndo bas tena wakati mi nilikuwa nawaza hizo ndo hela zitanisaidia ninavoingia mtaani hii yote nilikuwa najua nafanya wema kumbe najimaliza.

Life la mtaa likaanza sasa nikajiingiza kwenye moja ya zao kama mnavojua haya mazao yanataka mbolea sasa mimi nikamwomba uyu baba siku unaenda huko tutaenda wote nikaangalie mbolea maana kule bei nafuu kuliko sehemu ninakoishi nikafos maana iyo siku nayo alikuwa anataka kuniacha.

Nikaenda kutafuta zile mbolea na kuuliza bei na yeye nikamwambia akasema zimepanda zilikuwa haziuzwi hivyo, basi akaniambia kunamtu huwa namubebea anajumuaga labda tukaunganishe naye nikasema sawa bas inabidi uwasiliane naye kama inawezekana ili niwe na uhakika chenga zikawa nyingi kiufupi ikawa haeleweki bas nikamwambia mimi ntaenda kuchukua kwa bei nilizozikuta siku ukiwa unaenda uniambie akapata safari ya kwenda tena uko cha ajabu hata hajaniambia.

Hapa nina maswali sana kwani ipo wazi huyu baba yangu furaha yake ni kuniona nateseka hilo ameanza kitambo sema mi najishobokesha tu niliamini atabadilika hapa nawaza kumkimbia kabisa huku nikiumia hilo zao nimewekeza kwa miaka isiopungua mi5 ila naliacha iviivi kisa visa vya baba ambaye niliamini ndo anaweza kuwa nguzo yangu na mshauri ila ndo mtu wa kwanza kunipiga vita, niliamini atabariki kazi zangu ila imekuwa tofauti sana😭😭😭😭 sina mpango wa kuuza ayo maeneo ili niondoke ni bora nimkimbie na nimuachie ilo zao kama atakataa kuliendeleza acha life tu sina namna.

Hivi na nyie mmewahi yapitia haya nishaulini jamani nafanyaje jamani kunamda huwa nawaza nijitoe dunian kabisa.

Nina mengi haya ni machache sana . Yani hapa ninavoongea licha ya kupita huko shule ya msingi, sekondari, advance had chuo kikuu sijawahi fanyiwa sherehe hata moja ndugu zanguni naombeni ushauri wowote kulingana na maelezo ya hapo juu
Ulisoma chuo gani wewe?
 
I’m

upo sahihi jana kuna mtu alimieleza mama yake alimtelekeza kwa bibi yake bila sababu na yupo hai
Akaona haitoshi akamtumia na majini
Yaani ulimwengu huuu
Wazazi wengine sio kama wazazi
Acha tu mpaka unaanza kufikilia au kuna kitu kinawaendesha sio wao
 
Kina mwantum ndio wana hurka za kulia lia.
Ila kina hamdala kiuno kazi yetu ni kuamua panapostahiki.
Umri wake jamaa mie nishaoa na natizama maisha mengine.
Yeye anakaa kulialia nini afanye!??
Anatakiwa atambue anapaswa kujenga maisha yake na legacy yake kuanzia sasa.
Maana hapo anaishi katika legacy ya wazee wake achomoke akajenge legacy yake awe na uhuru wake.
Wakimtaka watamtafuta,haina haja ya yeye kukaa nao kikao wala nini.
Ila akiondoka aondoke kwa wema tu.
Ahsante Nimekuelewa mkuu
 
Nilitaka kutumua lugha ngumu sana, ila kwa vile umesema unaumwa ngoja niache.

Muhimu, sepa hapo home. Kama umekaa kwa wazazi wako, ukala na kukua mpaka kufikia miaka 26 unawadai nini hao watu?

Sio kila mtu anaweza kukuonyesha upendo, na sio lazima, Amini ya kua washatimiza majukumu yao na kilichobaki ni wewe kuamka na kutimiza majukumu yako no matter how hard they are.

Workup nigger, Acha kulia lia, acha kubembeleza hao wazee washenzi, Huenda unavo teseka wao ndo wanapata relief.
😁sawa mkuu nimekuelewa
 
Alitokea folk alikuwa anaumwa pancreatic cancer ambayo imefika stage four
Moja ya AHADI aliyo iacha hapa jf ni kuwa akipata dawa kutoka Kwa mtu humu atampa 1M folk

Umesema kuwa vipimo vyako vinachukua more than 5 days

Je! Ni wewe tukujuaye umerudi kutoka kuzimu??
Sio mimi ila hili jina nimelitoa kwa huyo folk unayemzungumzia ndo maana nikajiita Folk Part II baada ya kuona aliyoyapitia namimi nayapitia kama kuumwa nayeye ikampelekea had kutokupendwa tena
 
Muhimu ni kukubaliana na Hali iliyopo, halafu jipange uweze kusonga mbele, watu wa muhimu katika maisha yako wanaweza kukufanya ukayachukia maisha lakini kama una afya nzuri jikung,Ute nyanyuka uende zako,maana mpaka kufika umri wako hakuna kitu usichokielewa.
Ahsante sana mkuu ubarikiwe kwa ushauri wako
 
Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu?

Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona ambao niliamini wanaweza simama na mimi kwenye haya nayopitia kuchukulia kawaida sana.

Siku moja hawa wazazi niliwaambia inabidi nienda hospitalini wakakaa kimya kwa kuwa nilikuwa nawajua nikajipanga hata kama hawatanisaidia pesa yoyote mimi ntaenda tu, siku ya kwenda ikafika nikajiaandaa wananiangalia tu.

Nikawa naenda hospital ya rufaa hiyo siku naye baba alikuwa anaelekea huko ila sio hospitalini tukawa tupo gari moja tukashuka tulivofika huka nikashangaa aniniuliza unaenda wapi nikamwambia hospitalini akakaa kimya tu tukaachana kila mtu akashika njia yake.

Cha kushangaza akarudi nyumbani na kuniacha huko alafu akaenda kumuulizia mama mimi apa nimeenda wapi?

Sikuona ata simu yake wala ya mama maana vipimo vyangu vilikuwa vinachukua sio chini ya siku 5 kulingana na tatizo langu lipo complicated sana. Basi ndugu zangu nikaendelea kuishi nao hivohivo wala si kusema kitu chochote.

ikatokea tena mda mwingine nataka niende hospital na wala nilikuwa siwategemei tena wakinisaidia sawa wasiponisaidia sawa lazma mimi mwenyewe nijipange kwanza hii time baba akanambia hela hana ila ambayo ipo anataka anunulie mashamba kwanza picha linaanza iyo tulipanga tutakuwa safar moja akaniacha.

Ila mi nilizoea toka niko shule nimefanyiwa mikwazo mingi sana nilienda chuo sikuwahi pewa ata 100 mbovu kabisa maana nauli toka nyumban had huko nilikuwa nasoma ilikuwa haipungui 40000,,,kuna kipindi niliwahi kaa njian wiki 2 kwa kujishikiza kwa dogo fulani ivi ndo nikafika huko chuo.

Hapo niligundua hata nikimaliza chuo sina msaada na huyu baba ikabidi kule chuo nijibane sana bas pesa niliopata kwa kusevu nikawekeza kule nyumbani.

Kuna kipindi wakati nasoma nilijitahidi nikawekeza kwenye kitu cha msimu ile pesa baada ya kupatikana baba akaichukua huku akasema atanipa ndo ikawa mazima.

Wakati namaliza chuo wote wawili wakaniagiza simu kama nina balance niwanunulie simu watanipa ela nikifika nyumbani ikawa ndo bas tena wakati mi nilikuwa nawaza hizo ndo hela zitanisaidia ninavoingia mtaani hii yote nilikuwa najua nafanya wema kumbe najimaliza.

Life la mtaa likaanza sasa nikajiingiza kwenye moja ya zao kama mnavojua haya mazao yanataka mbolea sasa mimi nikamwomba uyu baba siku unaenda huko tutaenda wote nikaangalie mbolea maana kule bei nafuu kuliko sehemu ninakoishi nikafos maana iyo siku nayo alikuwa anataka kuniacha.

Nikaenda kutafuta zile mbolea na kuuliza bei na yeye nikamwambia akasema zimepanda zilikuwa haziuzwi hivyo, basi akaniambia kunamtu huwa namubebea anajumuaga labda tukaunganishe naye nikasema sawa bas inabidi uwasiliane naye kama inawezekana ili niwe na uhakika chenga zikawa nyingi kiufupi ikawa haeleweki bas nikamwambia mimi ntaenda kuchukua kwa bei nilizozikuta siku ukiwa unaenda uniambie akapata safari ya kwenda tena uko cha ajabu hata hajaniambia.

Hapa nina maswali sana kwani ipo wazi huyu baba yangu furaha yake ni kuniona nateseka hilo ameanza kitambo sema mi najishobokesha tu niliamini atabadilika hapa nawaza kumkimbia kabisa huku nikiumia hilo zao nimewekeza kwa miaka isiopungua mi5 ila naliacha iviivi kisa visa vya baba ambaye niliamini ndo anaweza kuwa nguzo yangu na mshauri ila ndo mtu wa kwanza kunipiga vita, niliamini atabariki kazi zangu ila imekuwa tofauti sana😭😭😭😭 sina mpango wa kuuza ayo maeneo ili niondoke ni bora nimkimbie na nimuachie ilo zao kama atakataa kuliendeleza acha life tu sina namna.

Hivi na nyie mmewahi yapitia haya nishaulini jamani nafanyaje jamani kunamda huwa nawaza nijitoe dunian kabisa.

Nina mengi haya ni machache sana . Yani hapa ninavoongea licha ya kupita huko shule ya msingi, sekondari, advance had chuo kikuu sijawahi fanyiwa sherehe hata moja ndugu zanguni naombeni ushauri wowote kulingana na maelezo ya hapo juu
Kabla sijakushauri,nataka ujue tupo tuliowahi kuyaishi hayo,tukiwa na mama wa kambo na baba asiyejali na m'binafsi,mshirikina sana na anayetaka utajiri wa kafara ya mtoto wa kwanza kuzaliwa [wakiume].
Suluhisho lilikuwa ni kujitenga naye kwa maisha yote,bila kuonana hata kuwasiliana[hiyo ni pamoja na jamii yake yote {pamoja na kuwa tupo mkoa mmoja}na kumwachi kila kitu kisicho hamishika.
USHAURI;
Kwa umri wako huhitaji usimamizi wa baba., Kwa usalama wako,ondoka hapo uende asikokujua,badilisha simu[usiwasiliane na yeyote wa kwenu kwa muda ,ishi maisha yako.
Hata siku moja,usijione mnyonge hata kuwaza kujidhuru kwasababu za ujinga wa mtu [ni upumbavu], chukua hatua mapema na usiage kwa yeyote.
 
Ahsante ndugu ubarikiwe umenena vizuri kinachoniumiza niyeye kutokufurahia ninavyovifanya yan anakunja sana mkuu
Huyo hataki uwe karibu yake ila we hujamsoma, inawezekana anafanya hivyo ili ujiongeze.

Mzee wangu wakati fulani alikuwa anajenga chumba cha nje kwa ajili ya watoto wa kiume ila ilipofikia muda namalizia chuo alikibadili matumizi akafugia 😂(kwa sasa nimemuelewa). Hapendi kabisa maswala ya kukaa nyumbani muda mrefu na kutokomeza ilo akafanya hivyo. Kwahyo kuna mambo mengine bila kukua vya kutosha ni ngumu sana kuyaelewa.
 
Back
Top Bottom