Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

ingekuwa mimi tungeshuka kituo chochote hapo,tungeitafuta gesti ilipo chap kwa haraka
Katika bunge la kichwa changu jana mjadala ulikua mkali sana, chama cha upinzani kilikua na hoja nzito zenye mashiko kunitaka nishuke na tutafute mahali tukabanjuane. Hoja nzito kwel kwel, ila chama tawala kikasema noo, na hakikua na sababu nyiingi za msingi kama walivyo ccm, just one word, "hell no just stop that nonsense"
Nikaona acha nitii sheria bila shuruti
 
Aisee jamaa unalala kwenye daladala mpaka unaota ndoto,we endeleaga tu kulala tu kwenye daladala kuna siku utanzinduka huna hata mia wahuni wamekwala mpaka leso
Mkuu hiv huzijui kero za sisi watukia usafiri wa daladala, siku moja moja paki gari yako hiyo njoo uone jinsi ilivyo tabu.
Kwel route ya Mbagara Mbezi kwamfano utakosa kulala na joto hili la Dar
 
Yes uko sahihi ni hesabu ndogo tu.
Huwa wanacheza na akili tu za wanaume hasa hasa wanaangalia tu mwanaume ambaye yuko smart na matured enough 35+ years wanajua umeshajitafuta salio lipo ni rahisi kumuonga elfu 20 siku yake inaenda hawataki vijana wadogo wenye umri wao kwa sababu hela zao za kuungaunga.
Wako wengi sana wa staili hiyo wanapanda daladala kama wanaenda kazini kumbe wanavizia wanaume wajae kwenye 18
 
Hii ina make sense mkuu
 
Pole sana mkuu, pia na hongera kwa kumkataa shetani na kazi zake..... Ni vyema kujua kama Kuna kujenga, basi ujue kuna kuharibu,,, ili uharibifu usitokee katika kitu ulicho Jenga unatakiwa nidhamu ya kukitunza itawale....

Ukipenda tembea na hayo maneno mkuu....
 
Mkuu hiv huzijui kero za sisi watukia usafiri wa daladala, siku moja moja paki gari yako hiyo njoo uone jinsi ilivyo tabu.
Kwel route ya Mbagara Mbezi kwamfano utakosa kulala na joto hili la Dar
Ndio ulale mpaka uote majini mahaba yanakufanyia mitongozo
 
Mkuu hiv huzijui kero za sisi watukia usafiri wa daladala, siku moja moja paki gari yako hiyo njoo uone jinsi ilivyo tabu.
Kwel route ya Mbagara Mbezi kwamfano utakosa kulala na joto hili la Dar
Kuna siku nimepanda gari machinga nikasimama pembeni yangu kasimama mkaka handsome ana macho kama ya Tommy flavour
Kiti tulichokua tunakiangalia alikua amekaa binti upande wa dirishani na bibi upande wetu
Yule binti alikua anamuangalia huyu mkaka halafu anamkonyeza aibu naona mimi tuliosimama wote tunamuona
Yule kaka anamkazia tu macho
Bibi ake akashtukia mchezo akawa anamkataza anamwambia aangalie mbele
Nikahisi ana matatizo ya akili tho ni mrembo hata yeye
Kuna mabinti hawawezi kujizuia wengi hawa wanaojifunika kichwa nahisi majini mahaba yanawatesa
 
nitupie hizo namba pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…