Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

Amekuelewa sana ndo maana ameshindwa kuvumilia akaanza kuleta vituko ndani ya gari
 
Vidole vyake vya mikono ni ndizi iliyoiva sana..hii sio Mali Safi mkuu.
Nilisita kwa mengi sana
Ile kesi yako na mchungaji iliisha mkuu?
Kaka kwanza nashukuru. Pile yule bwana mchungaji aligoma kuchangia gharama za matibabu zilifikiwa ambazo ni 16Milion pale MoI
lakinnkubwa zaid bimkubwa tulimpambania na akaweza kufanyiwa procedure na alishatoka na sasa anatembea mwenyewe bado kwa kutumia magongo maana bado ana attend clinic ya madaktari bingwa
 
Kaka mkubwa nisamehe ila hiyo ni kauli general kwa harakati general. Kwa hiyo pambana tu na hiyo mama ya uswazi ili ipate wa kuinunulia vijora na abaya 😁
Tatizo mimi si mtu wa type hizo za kugonga watoto, napendelea watu wazima wenzangu.pia nachukia sana kufanywa chuma ulete
 
Wamewafuata mpaka kwenye Magari sasa Shetani Hana Akili

Muda huu kuna Malaya anachekelea kuingiziwa ulimi kwenye K yake na lidume limepanua tu mdomo kuokoteza VVU mdomoni likipata Kansa ya Koo lawama zote kwa Mama Kibonge wa Buza
Kwakwel inasikitisha sana kaka. Mambo yamekua mengi mnoo
 
Amekuelewa sana ndo maana ameshindwa kuvumilia akaanza kuleta vituko ndani ya gari
Asa haya ndio kuchoreshana kwenyewe. Imagine hupangi nani apande daladala nani asipande, mara ghafla ukutane na mtu mnayejuana na kuheshimiana inakuaje hapo? Ibilis mchonganishi sana!
 
Sasa badala yeye ashitaki ulivyomnyonyoa,we dume zima ndo unakuja kushtaki.
Wengine enzi zetu huyo angesosomolewa mpaka akome.
 
Kuna haja ya kuwa makini sana, sex inekuwa cheap sana, baadhi ya dada zetu wameamua kukitembeza bure(kwa bei raisi sana). Ndio maana hata oral sex kwa sasa inabidi pia mtu aachane nayo, unazama kwenye uchi unaoliwa na strangers kila siku. Strange!
 
Siye tunawakimbia
wewe wanak ukimbilia.

Kuiona kasha kwahitaji mapambano haswaa.
😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…