Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

Mila zetu hazikuwa hivyo, na ndiyo maana tunakaa kusubiri mtu wa kupropose kuoa
Hakuna ubaya kuonyesha hisia zako kwa mwanaume kama ilivyo mwanaume kwax mwanamke. Ila wengi wa wanaume wana tabia ya kukashifu wanapotakwa na mwanamke lakini si vibaya anayekashifu kwa sababu amependwa ndiye mjinga. Kama mwanamke amempenda mwanaume na akamfungukia ikiwa nwanaume hamopendi/ hamtaji basi amkatalie kwa ustaarabu bila kumkashifu wala kumhuzunisha huku moyoni akiappreciate kwa kupendwa.
 
Mpigie Ashraf Hakimi akupe msaada wa kimawazo,hizi kesi kwake ni ndogo sana!
 
Kukopesha ni kama ku bet (inategemea aina ya mtu unayemkopesha) kwenye ku bet wanasema always bet what you can afford to lose. me huwa i can afford to lose 1/3 ya hitaji la mtu anayehitaji kunikopa, So hapo kwenye laki 3 ningemkopesha 100K, then kama angeamua kunilipa kwa kunitunuku mechi 2 - 3 hiyo kwangu ingekua win-win situation, nisingeanzisha uzi hapa. Next time be a man
 
Back
Top Bottom