Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

Dai chako jomba. 250k ni nyingi sana. Kwa bei elekezi ya Tsh 3000/= pale Kimboka au Sewa, Buguruni unapata mabao mengi sana. Bao 3 kwa 250k ni uhujumu uchumi. Mimi pia nilitaka niandike uzi kuna manzi kanikopa Tsh 26000/= taslimu akaniambia narudisha kesho ila sasa wiki 2 zishapita. Kumla siwezi maana nilishawahi lala na demu lodge kumbe chumba kinachofuata kalala baba yake huyu manzi ninayemdai na tunajuana. Yule dingi aliona kila kitu.
 
Yaan mwenyew kuna demu analeta mazoea ya hivo wameyakanyaga😂😂😂😂🙌
 
Dai chako jomba. 250k ni nyingi sana. Kwa bei elekezi ya Tsh 3000/= pale Kimboka au Sewa, Buguruni unapata mabao mengi sana. Bao 3 kwa 250k ni uhujumu uchumi. Mimi pia nilitaka niandike uzi kuna manzi kanikopa Tsh 26000/= taslimu akaniambia narudisha kesho ila sasa wiki 2 zishapita. Kumla siwezi maana nilishawahi lala na demu lodge kumbe chumba kinachofuata kalala baba yake huyu manzi ninayemdai na tunajuana. Yule dingi aliona kila kitu.
dah, kijana kweli umepita mapito....
 
Usipomla hata hiyo 250 hutopata,
Kudaiana na mwanamke kazi sana,
Na akiamua hakulipi, huna la kumfanya
Zaid zaid ukimzonga atakugeuzia kesi[emoji4]
 
Dah, hiyo Sadaka ndugu yangu,.

umenikumbusha namdai best friend wangu 200k,kila nikimkumbusha tu "ananiambia kinyongeee hakuna mtu anaejua mapito yangu Kama wewe Joa,tafadhali nivumilie"ni miezi sita Sasa nimemsamehe Ila sijamwambia nimetegesha siku akinipa poa,asiponipa Sadaka.........
 
Inauma sana kubadilisha deni kuwa sadaka
 
Ushajua hana achana nae kwani mara ya mwisho kutoa sadaka lini?? Piga mzigo hiyo 250k utajipigia mzigo sana acha utoto
 
Back
Top Bottom