mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
inauma sana eti kumtega mtu umpe mbussu badala ya kumlipa hela yake, uchungu wa pesa ni kitu kingine....Jinsia tofauti si ndio mtakuja na malalamiko kama ya mleta mada [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
dah, kijana kweli umepita mapito....Dai chako jomba. 250k ni nyingi sana. Kwa bei elekezi ya Tsh 3000/= pale Kimboka au Sewa, Buguruni unapata mabao mengi sana. Bao 3 kwa 250k ni uhujumu uchumi. Mimi pia nilitaka niandike uzi kuna manzi kanikopa Tsh 26000/= taslimu akaniambia narudisha kesho ila sasa wiki 2 zishapita. Kumla siwezi maana nilishawahi lala na demu lodge kumbe chumba kinachofuata kalala baba yake huyu manzi ninayemdai na tunajuana. Yule dingi aliona kila kitu.
Inauma sana kubadilisha deni kuwa sadakaDah, hiyo Sadaka ndugu yangu,.
umenikumbusha namdai best friend wangu 200k,kila nikimkumbusha tu "ananiambia kinyongeee hakuna mtu anaejua mapito yangu Kama wewe Joa,tafadhali nivumilie"ni miezi sita Sasa nimemsamehe Ila sijamwambia nimetegesha siku akinipa poa,asiponipa Sadaka.........
Kweli,maana sio lengoInauma sana kubadilisha deni kuwa sadaka
Jamaa yake alijua kama umempa???Una mja ni demu wa jamaa yangu nilimpa 100k,akataka kuleta hizo pigo nikamtolea nje