Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Kwahiyo Magufuli angezuia maji kupungua!!? Tushajua unakoelekea hivyo tuna kupuuza.
Mlidanganywa Mil 50 kila kijiji mbona mlikaa kimya
 
Hawa jamaa sindowalikuwa wanapunguza maji kwa makusudi pale kidatu, kwahiyo kale kamchezo tunaendelea nako
 
Mkuu hapa issue ni kuanza kupanga kazi zetu Kama Tanesco walivyotushauri
Man,

Linapokuja suala la umeme hakuna cha kuanza kupanga kazi zetu kwa sababu ni wachache sana wanaoweza kuchukua tahadhali kutokana na ukosefu wa umeme!!

Watu huwa hawanielewi kabisa ninapowaambia bora kuwe na upungufu wa maji kuliko umeme kwa sababu, tahadhali hiyo ya TANESCO ingekuwa ni DAWASA, unaenda tu kununua madumu yako 20, unayaweka standby!

Siku yenu ya kupata maji ikifika, unajaza madumu yako yote, mnaanza kutumia kwa uangalifu!!

Yasipotoka, unaweza kununua hata kwa wasambaza maji kwa njia ya magari, na maisha yanaendelea!!!

What about umeme?!
 
Hawa jamaa sindowalikuwa wanapunguza maji kwa makusudi pale kidatu, kwahiyo kale kamchezo tunaendelea nako 🐸🐸
 
Bado tu watu tutapinga🤣🤣

Yaani mtu anaona kabisa JUA NA JOTO KALI......

Yaani mtu anaona kabisa WANYAMA kukosa malisho hata kwa majirani zetu Kenya.......

Yaani mtu anaona kabisa hata vimefereji huku mitaani vimekuwa vikavuuuu......ila bado tu anamlaumu mh.Makamba na serikali mpya duuuuh kweli PINGA PINGA FC 🤣🤣🤣


SIEMPRE JMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…