Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nawasilisha kama iliyotolewaView attachment 2015255
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawasilisha kama iliyotolewaView attachment 2015255
Fanyeni biashara ya majenereta si ndicho mlichokuwa mnakitaka na kukitafutiza?
RIP Magufuli....
Tunamtaka Magufuli mwingine fasta.
Waziri mkuu na waziri wa Nishati wajiuzulu, mbona Kenya umeme haukatiki
Wao ndo wamesababisha mabadiliko ya Tabia ya nchiWaziri mkuu na waziri wa Nishati wajiuzulu, mbona Kenya umeme haukatiki
Si kuna gesiKwahiyo Magufuli angezuia maji kupungua!!? Tushajua unakoelekea hivyo tuna kupuuza.
Mlidanganywa Mil 50 kila kijiji mbona mlikaa kimyaHuyu Waziri anayevaa mashati ya mikono mirefu kisha anayakunja mpaka kwenye viwiko kama Obama, si ndiye aliyetudanganya kuwa wako kwenye "maintenance", kumbe maji hakuna, kulikuwa na sababu gani watu wazima kudanganyana hovyo?
Kuna watu tangu awamu ya 4 utendaji kazi wao ni wa kisanii sanii, uongo uongo, wizi wizi, uswahili swahili tu.
Huyo zito ni taahira! Anachojali yeye kumtetea mama hata kwenye ujinga! Huyu kwamza ana udini na mnafiki mkubwa!Zitto anamaanisha hayo yote yalisuburi mwendazake afe?
Kalemani katoka tu mgao ukaanza hawa watu wapumbavu sana! Inamaana mwaka jana na mvua yote hiyo maji hamna mwaka huu itakuwaje? Mnamsingizia Magufuli kila kitu wapumbavu sana nyie akina Zito!Inawezekana maneno ya Magufuli kuwa kuna watu wanafanya hujuma kwa kufungulia maji kwenye mabwawa ni kweli kabisa.
Hawa jamaa sindowalikuwa wanapunguza maji kwa makusudi pale kidatu, kwahiyo kale kamchezo tunaendelea nakoWaswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao
View attachment 2015253
Man,Mkuu hapa issue ni kuanza kupanga kazi zetu Kama Tanesco walivyotushauri
Kalemani katoka tu mgao ukaanza hawa watu wapumbavu sana! Inamaana mwaka jana na mvua yote hiyo maji hamna mwaka huu itakuwaje? Mnamsingizia Magufuli kila kitu wapumbavu sana nyie akina Zito!Inawezekana maneno ya Magufuli kuwa kuna watu wanafanya hujuma kwa kufungulia maji kwenye mabwawa ni kweli kabisa.
Hawa jamaa sindowalikuwa wanapunguza maji kwa makusudi pale kidatu, kwahiyo kale kamchezo tunaendelea nako 🐸🐸Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao
View attachment 2015253
Vp BADO mpo kwenye pension ya kuzuia legacy?Kwahiyo Magufuli angezuia maji kupungua!!? Tushajua unakoelekea hivyo tuna kupuuza.
Zito anaona Watanzania wote hatuna akili,kwanini huo umeme usikatike katike ndani ya miaka 5 ,kina zito wanataka kuahalalisha wizi wao,wanajenga hojaZitto anamaanisha hayo yote yalisuburi mwendazake afe?
Watu wa MATUKIO semeni sasa kwani bila matukio huwa hamna hoja! Kuwepo au kutokuwepo kwa JPM, hakuna uhusiano na uhaba au kukatika katika kwa umeme. Wenye biashara ya MAJENERETA mtaponea hapa!