Yammi amekutwa na nini? "Siwezi kuishi tena bora nife"

Kafa Masogange na sambwanda lake, ndo ajabu iwe kwa kimbau mbau huyu?
Kuwa serious bas MM, [emoji23][emoji23][emoji23]
Msambwandaaaaa una maajabu gani coc,

Kuna mtu hapa kamtumia manzi ake 5k, baada ya muamala kusoma dada kasema hatotokea,

Jamaa anapiga simu kila saa bidada a-refund
 
Welcome to haven, your seat might be available if you deserve.
Whose Life Is It Anyway.
 
Vitoto vya 2000, pumbaf kabisa, si afe tu, kwanini atuambie, sumu ya panya tshs 500 tu, asisumbue watu, pumbaf
 
Mtu aliye serious na kifo hatoi matangazo na akitoa basi kaamua kufa in a style. Marafiki na ndugu wa karibu wamchunguze.
 
Msambwandaaaaa una maajabu gani coc,

Kuna mtu hapa kamtumia manzi ake 5k, baada ya muamala kusoma dada kasema hatotokea,

Jamaa anapiga simu kila saa bidada a-refund
Poleee yakee, au ni wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ajiue tu akawe mmoja wa mabikira wa kobazi huko upeponi
 
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,ndio kwanza namsikia huyo sijui msanii,

Ni msanii wa kitu gani huko Daslam?
Siku hizi kilq demu mweupe akishabandika kope, kubandika nywele na kubinuka mdomo anaitwa msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…