Yammi amekutwa na nini? "Siwezi kuishi tena bora nife"

Afe tu kimya kimya...

Hukawii kuambiwa sijui kuna project inakuja...

 
Walikuwa wanamsifia ana kitovu kizuri Yani kitovu mbonyeo.

Kumbe anataka kusepa
 
Waja hawapo nyuma kabisa, ktk kumpa counselling.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3386973

Nimeona amefuta post yake
Comments za wadau zimemfanya akili irudi

Lakini serious mtu akiweka post ya namna ile huwa kuna kitu kinamtatiza na kuna uwezekano ni kweli for a moment amefikiria kujitoa uhai

Pole yake kwa anachopitia na Mungu amsaidie avuke salama
 
Huyu dada kuna kitu kipo on serious note juu yake, ni vile waja huwa tumezoea kuona kiki kwa hawa celebs, thou tunahisi hivyo kwake.

Ila mie bado siamini sana kuhusu kiki, au bas tusubiri tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…