Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

Watz weng
I wangefanya sherehe
 
Hahahaa unamlaumu bure Makala, ingekua wewe ungefanyeje? Hahaaha akiwaza zile nyumba zake ambazo hazijaisha pale Bunju Magengeni kuelekea mbweni, anazidi kuwa kichaa. Muache tu usimlaumu.
Haa🤔
Una maana kuwa ameshaona kibarua chake Kiko hatarini kutoweka , au siyo
 
Kwani barua si ya Jana 18/7 Tamko limetolewa Leo! NRNE.
 
Dawa gani? Chadomo mtakuja hapa kusaga meno na kumlilia SSH nitakuwa nawakejeli Mwanzo mwisho 😁😁
Baada ya haya yote, hoja yetu Chadema ni Nchi ipate Katiba Mpya inayoipa nguvu mifumo dhidi ya Wanasiasa/Mwanasiasa

Hili likifanikiwa hata Rais akiwa Bambo nchi itaenda. Ndo mana unaona Marekani hadi wehu wanakuwa Marais na nchi inaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…