KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Kwani hujasikia kuwa hadi tarehe 28 july na hujasikia sababu?Kuandamana ni haki, ukiona taifa watu hawaandamani siyo kwamba kila kitu kipo sawa! Hawajui maana ya maandamano achilia mbali haki zao. Wewe ni wasiojua haki zako kwakuwa umejingishwa ukajingika
Katika ile press ulimsikia Mr. Mpox na ebola akitaja sababu?
Ilishawahi kutokea mara ngapi hii iwe ya kawaida ?
Chawa mtakula Mafi yenu safari hiiMimi sibababishwi Wala siishi Kwa kutegemea Wanasiasa wewe mbumbumbu wa Chadomo.
Harafu msipende sana uzushi mtawachanisha wenzenu mikeka Yao.
Pili mbona unalazimisha mambo shida ni nini?
Kuto kuandamana hakumaanishi kwamba siyo haki! Hilo lijulikane! Unategemea mapolisi kisha watu wasipoandamana unawacheka? Unatofauti gani na mtu anayepiga punyeto akihisi yupo na mke?Kwani hujasikia kuwa hadi tarehe 28 july na hujasikia sababu?
Au mnataka kujifungamanisha na ratiba za vyama vingne?
Mara ooh kakimbia, mara oo..
We hi nchi si kamati kuu ya chadomo na maudenda yake.
Ni ukweli mna haki ya kuandamana vichwani mwenu..
ETI HAKI YA KUANDAMANA, mbona hukuwahi kuandamana maudenda atoke gerezani?
Hapana tutakula mafi Yako wewe nyumbu.Chawa mtakula Mafi yenu safari hii
Chadomo wameshupaa na uzushi si ajabu yanaitwa manyumbuKila tukio wanalidandia na kulitengenezea upuuzi wanaouona wao. Hao ni km fisi wakisubiri mkono wa binadamu kudondoka, CCM mpaka miaka 100 ijayo itakuwepo
Chawa safari za chooni zinaenda kupungua mjiandaeKila tukio wanalidandia na kulitengenezea upuuzi wanaouona wao. Hao ni km fisi wakisubiri mkono wa binadamu kudondoka, CCM mpaka miaka 100 ijayo itakuwepo
Kwani Jana ni Leo?Mara ya mwisho uliona tukio hilo la kuqhirishwa kwa vikao linatokea lini ili hii iwe ni jambo la kawaida tu.
Jibu kama mtu mwenye akili na SIYO CHAWA
Safari za chooni zinaenda kupungua Mafi nyieHapana tutakula mafi Yako wewe nyumbu.
Kwa nini wewe nyumbu?Safari za chooni zinaenda kupungua Mafi nyie
Mimi ni mapaja ya mamayoKwa nini wewe nyumbu?
Najua mambo ya maana sio upuuzi wenuWe chawa wake si inatakiwa uwe unajua
Sasa kama jana siyo leo. Kwann unataka lichukuliwe la kawaida wakati halijawahi kutokea ???Kwani Jana ni Leo?
Niko kwenye payroll ya sera nzuri za Uchumi za Samia,ndio maana nashoboka.Sasa mbona unashoboka nao nilijua upo payroll ya buku 7 Lumumba
Unajibu upuuzi ? Basi nawe ni mpuuzi au?Najua mambo ya maana sio upuuzi wenu
Sijibu upuuzi Wala uzushi.Unajibu upuuzi ? Basi nawe ni mpuuzi au?
Pole ndugu omba tu ulaji usitoweke,ili mambo yaende mengine kuwa mpole tu..Chadomo ndio mtapata tabu sidhani kama ni CCM.
Nipo jf kabla hujazaliwa na nitakuwepo sana so long as ni mzima.Pole ndugu omba tu ulaji usitoweke,ili mambo yaende mengine kuwa mpole tu..
Iko shwari, YesHUWEZI KUTIA WATU HOFU..HAKUNA CHA TOMASO WALA TOMASI..
NCHI IPO SHWARI KABISA..
EBU SIKU MOJA MTOKE HUMU JF MUANDAMANE TUONE
Ila unajibu UCHAWA?Sijibu upuuzi Wala uzushi.
NdioIla unajibu UCHAWA?