Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

Dodoma Kumejaa Sana
Hutapata Nafasi Iwapo Umeshindwa Dar Es Salaam Kwa Siku Mbili
Utaweza Dodoma Siku Moja
 
Dah, binafsi nitamkumbuka sana huyu mwamba, anamazuri mengi kulko mabaya yake, R.I.p magufuli.
 
Hv mbona mitandaon hakuna hata picha ya uso wake jamani?
Mwendo Ameumaliza
Ingekuwa Amri Yangu JPM Angebaki Tu Bongo
Lakini Kazi Ya Mungu Haina Makosa

Amefika Dodoma Muda Huu Anakwenda Kulala Chamwino!!
Ukiwa Na Mtoto Umempikia Uji, Unampa Halafu Hataki Kunywa Unamzaba Kofi
Anaubugia Uji Vizuri 😅😄😃😂😁😆🤣😃😄😄
By JPM
 
J
Jana hakukuwa na watu wengi mkuu kwanini hukuenda?
 
J

Jana hakukuwa na watu wengi mkuu kwanini hukuenda?
Yaani Jana Angeweza
Muda Huu Dodoma Watu Wengi
Mwili Bado Haujaanza Kupelekwa Ikulu
Barabara Zimefurika Airport Imezingirwa Na Wananchi
 
Kama mnampenda kufeni mmfate huko
 
To each and his/her own....

Usisahau kuchukua tahadhari.
 
Jamani mmeona asiyependwa alivyo na nyomi Mungu kawavua nguo wanasiasa ugomvi na mpasuko ni huko juu kwenu sisi tunataka shule barabara,na wanyonge tutizamwe kama kipenzi chetu alivyokuwa anatupa kujiamini umbwa wote mlomchukia Mzee Leo mmevuliwa nguo sio kwa nyomi ya Dodoma na Dar...
 
Hapo Dodoma kupata chumba Lodge, Hotel ni mbinde hasa kwa unayeingia usiku!

Nyomi ni zaidi ya Dar!
 
Umeongea vizuri ukaja kuharibu kuwatusi wenzako mnaotofautiana mtazamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…