Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Kuna uwezekano yule mzee akafa tena mara ya pili, yani hata mwezi haujaisha mambo yamekuwa mengi hivi.
 
Kwani baba yako akiwa mwizi na mama yako pia ni mwizi?
 
Huwezi kutumia Siasa katika kutoa majibu yanayohitaji ujuzi wa Kitaalamu. Sasa hivi kanywea kama piritoni uwezo huo hana tena. Tusubiri wakati wanajadiri ripoti hiyo halafu tuone mchango wake hapo Bungeni ndio mtajua huyu ni nani hasa.
 
Unamuonea tu mama wa watu alishasema hakuwa na misuli hiyo.
 
Trump alipokuwa ana shinikizwa kujiuzulu Mike Pence alikuwa akaimu nafasi yake.Kila mtu atabeba makosa yake.Makosa ya Jiwe ambaye alikuwa haambiliki hayamuhusu mama.Imeandikwa katika biblia,''roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa.Baba hatauchukua mzigo wa mwanaye na mwana hatauchukua mzigo wa babaye!'',Ezekiel 18:20
 
Kumekuchaaaa kumekuchaaaa
 
Mbona irrelevant comparison
Magufuli alikuwa mwizi na jambazi na msaidizi wake kwa mujibu wako alikuwa Samia hivyo unataka kutuaminisha kuwa Samia naye ni mwizi na jambazi. Halikadhalika ndiyo tunahoji kama baba yako ni mwizi kwa hiyo msaidizi wake ambaye ndiyo mama yako ni mwizi pia?
 
Ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya tano itakumbukwa kwa madduddu.
 
Kwa awamu ya 5 kuwatuhumu wengine sioni sababu kwani serikali ile ilikuwa ni one man show
Ndio maana hata kutajwa ilikuwa ni serikali ya raisi maugufuli na sio selikali ya chama cha ccm.
Tena ilipaswa kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sio serikali ya Makufuru au ccm.
 
Kwa sababu makamu wa Rais ni mshauri tu hawezi kuzuia, kuteua, kutengua au kuidhinisha chochote.
Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?

Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…