Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kuna uwezekano yule mzee akafa tena mara ya pili, yani hata mwezi haujaisha mambo yamekuwa mengi hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti shujaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2960]Nyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tu
Kwani baba yako akiwa mwizi na mama yako pia ni mwizi?Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye ile video anarusha rusha pyumbu last year kwenye ukumbi wa fisiemu tafadhali aiweke.
Huwezi kutumia Siasa katika kutoa majibu yanayohitaji ujuzi wa Kitaalamu. Sasa hivi kanywea kama piritoni uwezo huo hana tena. Tusubiri wakati wanajadiri ripoti hiyo halafu tuone mchango wake hapo Bungeni ndio mtajua huyu ni nani hasa.Humphrey Polepole mtu anayetajwa kama Gwiji la hesabu za Fedha miongoni mwa wanaccm waliosalia kwa sasa anaombwa kujitokeza tena kama alivyofanya huko nyuma alivyopangua hoja za CAG wa zamani Profesa Assad ili kusawazisha upepo mbaya unaovuma
View attachment 1747421
Bashiru mavi yanagonga chupi na kurudi ndaniNa bashiru Ally naye tumsikie
Noma Sana.Samia wakati madudu yanafanyika alikuwa wapi?
Hakuna hajaHumphrey Polepole mtu anayetajwa kama Gwiji la hesabu za Fedha miongoni mwa wanaccm waliosalia kwa sasa anaombwa kujitokeza tena kama alivyofanya huko nyuma alivyopangua hoja za CAG wa zamani Profesa Assad ili kusawazisha upepo mbaya unaovuma
View attachment 1747421
Mbona irrelevant comparisonKwani baba yako akiwa mwizi na mama yako pia ni mwizi?
Hao mahusiano yao huwezi kuyafananisha na ya mke na mume.Hawa walikuwa kikatiba.Kwani baba yako akiwa mwizi na mama yako pia ni mwizi?
Trump alipokuwa ana shinikizwa kujiuzulu Mike Pence alikuwa akaimu nafasi yake.Kila mtu atabeba makosa yake.Makosa ya Jiwe ambaye alikuwa haambiliki hayamuhusu mama.Imeandikwa katika biblia,''roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa.Baba hatauchukua mzigo wa mwanaye na mwana hatauchukua mzigo wa babaye!'',Ezekiel 18:20Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Uliziona hizo barua au unaleta story za mtaaniAlipeleka barua mara 2 ya kujiuzulu lakini aliambulia vitisho.
Magufuli alikuwa mwizi na jambazi na msaidizi wake kwa mujibu wako alikuwa Samia hivyo unataka kutuaminisha kuwa Samia naye ni mwizi na jambazi. Halikadhalika ndiyo tunahoji kama baba yako ni mwizi kwa hiyo msaidizi wake ambaye ndiyo mama yako ni mwizi pia?Mbona irrelevant comparison
Ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya tano itakumbukwa kwa madduddu.Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.
Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea tulipopata uhuru mpaka leo hakuna awamu ambayo haikufanya madudu iwe madogo madogo au makubwa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilifanya mazuri na mabaya pia kwahiyo hili ni jambo la kawaida kwa tawala zote zilizopita kuanzia mwaka 1961 mpk 2020.
Kinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.
Tunafaham kwamb kuna mamb mengi ya kimaendeleo na mazuri lkn watu kadhaa sijui kwa maslahi au faida ya nani wameamua kumchafua.
Na kwa vile mtu akishafariki hawezi kujitetea kwa shutuma zote zinazoelekezwa kwake iwe za kweli au za uongo, sasa sisi tulio hai tutaendelea kumtetea ili kufuta kbs uchafu unaotengenezwa kwa ajili yake.
Najua hata na yeye alikuwa binadamu kwa hiyo kukosea ni jambo la kawaida lkn asibebeshwe makosa na matatizo mengine ambayo hakuyafanya kwa masilahi ya kundi la watu fulani.
Najua kwa sasa wanaomchafua ambao baadhi yao wapo ndani ya CCM na wanaona fahari sana hayati Magufuli kuchafuliwa ili ionekane kwamba yeye na Serikali yake hawajafanya chochote lkn wakumbuke kuwa huyo wanaemsema ameshakwenda zake, sasa kazi kubwa imebaki kwao walio hai.
Mwaka 2025 unakuja wamejipangaje kupangua hoja za wapinzani wa CCM na serikali kwa ujumla kuhusu ufisadi huo unaoongelewa sasa hivi?
Tena ilipaswa kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sio serikali ya Makufuru au ccm.Kwa awamu ya 5 kuwatuhumu wengine sioni sababu kwani serikali ile ilikuwa ni one man show
Ndio maana hata kutajwa ilikuwa ni serikali ya raisi maugufuli na sio selikali ya chama cha ccm.
Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?
Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
Kwanini hakujiuzulu kuliko kuwa kivuli?Anakuwa msafi tangu pale JPM aliposema HAPANGIWI.....
ALishataka kujiuzulu zaidi ya mara moja.. Hujui hilo?Kwanini hakujiuzulu kuliko kuwa kivuli?