Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Kwa hiyo raisi apate wakati mgumu kwa sababu ya kumuumbua Meko na viongozi wengine walafi?Come on..Sisi wananchi tulio wengi tunamsapoti mother!!!!

Majizi nyie,mnanuka ufisadi kila kona, mtoto wa mkulima anaishi kwa mlo mmoja kwa siku nyie mnafisadi mamilioni ya pesa hamna hata aibuSisi bado ni CCM hatariii gani unaosema hapa tunazungumza walichokifanya waliokuwepo madarakani ya kuiba ma pesa bila Huruma. Hatuna shida na serikali ya Mama Samia.
Usihofu; hakuna anayechafuliwa. Mengi yanayoongelewa ni kutokana na ripoti ya CAG.Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.
Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea tulipopata uhuru mpaka leo hakuna awamu ambayo haikufanya madudu iwe madogo madogo au makubwa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilifanya mazuri na mabaya pia kwahiyo hili ni jambo la kawaida kwa tawala zote zilizopita kuanzia mwaka 1961 mpk 2020.
Kinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.
Tunafaham kwamb kuna mamb mengi ya kimaendeleo na mazuri lkn watu kadhaa sijui kwa maslahi au faida ya nani wameamua kumchafua.
Na kwa vile mtu akishafariki hawezi kujitetea kwa shutuma zote zinazoelekezwa kwake iwe za kweli au za uongo, sasa sisi tulio hai tutaendelea kumtetea ili kufuta kbs uchafu unaotengenezwa kwa ajili yake.
Najua hata na yeye alikuwa binadamu kwa hiyo kukosea ni jambo la kawaida lkn asibebeshwe makosa na matatizo mengine ambayo hakuyafanya kwa masilahi ya kundi la watu fulani.
Najua kwa sasa wanaomchafua ambao baadhi yao wapo ndani ya CCM na wanaona fahari sana hayati Magufuli kuchafuliwa ili ionekane kwamba yeye na Serikali yake hawajafanya chochote lkn wakumbuke kuwa huyo wanaemsema ameshakwenda zake, sasa kazi kubwa imebaki kwao walio hai.
Mwaka 2025 unakuja wamejipangaje kupangua hoja za wapinzani wa CCM na serikali kwa ujumla kuhusu ufisadi huo unaoongelewa sasa hivi?
Wanamuonea kwa vile wanajua hili swala hata likifika mbele ya kamati za bunge au mahakamani, mtuhumiwa ambae ni marehemu hatokuwepo kujiteteaKabisa nashangaa kuona lawama anatupiwa mtu mmoja, wakati hata yeye alikua anahangaika sana kuyaondoa haya matatizo..
Alikosea kubeba mzigo wa TANZANIA peke akeKinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.
Ikiwa raisi anapaswa kuwajibika kwa ufisadi, wizi au uchafu wowote unaofanyika chini ya uongozi wake ni kwann mwaka 2008, mzee Lowasa alijiuzulu badala ya Kikwete? Pia mzee Mwinyi aliwahi kujiuzulu kwa kashfa iliyotokea chini ya uongozi wa mwalimu Nyerere?Makamu qa Rais hana Say kwaio lawama zinaendelea kwenda kwa Mwendazake
ccm wengi wamekubali kucheza mchezo wa mafisadi na tayari wameingia kingi vibaya.Kama hawawezi japo kujitoa mhanga kupambana mitandaoni kuna anguko linakuja si kutoka vyama vya upinzani maana vyama ni dhaifu bali ni ccm kukatika mara mbili. Nyerere alishatabili na lazima utokee.Kukatika kwa ccm kutakuja kwa njia ya ukabila. watu wanasahangilia kabila la wasukuma kushambuliwa sababu ni la Magufuli hawa sasa wamejikunyata wanatafutatana na mkumbuke ni 1/3 ya nchi bila kujumlisha wajomba wanyamwezi.Endeleeeni kushangilia ya kenya yatapiga hodiKumbuka raisi Samia alikuwa makamu wa raisi ktk serikali hiyo inayosemekana kuwa ilifanya ufisadi mkubwa, waziri mkuu pia na bila kuwasahau baadhi ya mawaziri ambao pia wapo ktk serikali hii mpya ya mama Samia.
Kwa shutuma hizi zitaendelea na hao niliowataja hapo hawatojiuzulu nyazifa zao serikalini, basi 2025 CCM ijiandae kwa anguko kubwa, japo wengi hawalioni hili.
Hatari kwa chama kilichopo madarakan na viongozi wake waliopo serikalini, hasa wale waliokuwa ktk serikali ya awamu ya tano na hii ya sitaKwani wewe hatari gani unayozungumzia? Hata kama CCM itatoka madarakani hiyo ndio hatari?
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Kwanini basi Samia hakujiuzulu?Kwani yeye ndio alikuwa rais? Rais wako alikuwa anashaurika? Si alisema kwamba hapangiwi jambo?
Alitaka? Kwanini basi hakufanya hivyo kabisa?ilikuwa ni serikali ya one-man show.Alitaka kujiuzulu mara nyingi sababu ya kutokubaliana na meko.
Samia ili kulinda heshima yake angejiuzuluMama samia asingeweza kufanya lolote vinginevyo wangemtundulisuu mapema.
Harafu mtoa mada usikaze ubongo mjinga wewe ,inamaana ulikuwa huoni yanayowakuta watendaji wake wanaoenda kinyume na yeye ....
Mfano cag aliyepita assad.
Huyo magu alijitengenezea bomu mwenyewe wacha limlipukie huko huko aliko.
Kama angekuwa hai angejitetea vipi? Hesabu zina lakujitetea?
Magufuli aliwazodoa sana watu kwa minajili ya kupinga ufisadi, hivyo na yeye akionekana alikuwa anafuga ufisadi ni sawa tu azodolewe.Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.
Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea tulipopata uhuru mpaka leo hakuna awamu ambayo haikufanya madudu iwe madogo madogo au makubwa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilifanya mazuri na mabaya pia kwahiyo hili ni jambo la kawaida kwa tawala zote zilizopita kuanzia mwaka 1961 mpk 2020.
Kinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.
Tunafaham kwamb kuna mamb mengi ya kimaendeleo na mazuri lkn watu kadhaa sijui kwa maslahi au faida ya nani wameamua kumchafua.
Na kwa vile mtu akishafariki hawezi kujitetea kwa shutuma zote zinazoelekezwa kwake iwe za kweli au za uongo, sasa sisi tulio hai tutaendelea kumtetea ili kufuta kbs uchafu unaotengenezwa kwa ajili yake.
Najua hata na yeye alikuwa binadamu kwa hiyo kukosea ni jambo la kawaida lkn asibebeshwe makosa na matatizo mengine ambayo hakuyafanya kwa masilahi ya kundi la watu fulani.
Najua kwa sasa wanaomchafua ambao baadhi yao wapo ndani ya CCM na wanaona fahari sana hayati Magufuli kuchafuliwa ili ionekane kwamba yeye na Serikali yake hawajafanya chochote lkn wakumbuke kuwa huyo wanaemsema ameshakwenda zake, sasa kazi kubwa imebaki kwao walio hai.
Mwaka 2025 unakuja wamejipangaje kupangua hoja za wapinzani wa CCM na serikali kwa ujumla kuhusu ufisadi huo unaoongelewa sasa hivi?
Lawama zinaelekezwa kwake kwasababu moja tu.Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.
Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea tulipopata uhuru mpaka leo hakuna awamu ambayo haikufanya madudu iwe madogo madogo au makubwa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilifanya mazuri na mabaya pia kwahiyo hili ni jambo la kawaida kwa tawala zote zilizopita kuanzia mwaka 1961 mpk 2020.
Kinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.
Tunafaham kwamb kuna mamb mengi ya kimaendeleo na mazuri lkn watu kadhaa sijui kwa maslahi au faida ya nani wameamua kumchafua.
Na kwa vile mtu akishafariki hawezi kujitetea kwa shutuma zote zinazoelekezwa kwake iwe za kweli au za uongo, sasa sisi tulio hai tutaendelea kumtetea ili kufuta kbs uchafu unaotengenezwa kwa ajili yake.
Najua hata na yeye alikuwa binadamu kwa hiyo kukosea ni jambo la kawaida lkn asibebeshwe makosa na matatizo mengine ambayo hakuyafanya kwa masilahi ya kundi la watu fulani.
Najua kwa sasa wanaomchafua ambao baadhi yao wapo ndani ya CCM na wanaona fahari sana hayati Magufuli kuchafuliwa ili ionekane kwamba yeye na Serikali yake hawajafanya chochote lkn wakumbuke kuwa huyo wanaemsema ameshakwenda zake, sasa kazi kubwa imebaki kwao walio hai.
Mwaka 2025 unakuja wamejipangaje kupangua hoja za wapinzani wa CCM na serikali kwa ujumla kuhusu ufisadi huo unaoongelewa sasa hivi?
Kwanini hamkutaka CAG asome madudu yenu kwa undani, 2016-2019,hamkutaka tujue kwamba mnatupiga,mlikataza pia vyombo vya uchunguzi ili vizisiwachunguze mkatengeneza na kikundi cha watu wasiojulikana ambacho hadi leo hamjataka wajulikaneHabari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.
Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea tulipopata uhuru mpaka leo hakuna awamu ambayo haikufanya madudu iwe madogo madogo au makubwa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilifanya mazuri na mabaya pia kwahiyo hili ni jambo la kawaida kwa tawala zote zilizopita kuanzia mwaka 1961 mpk 2020.
Kinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.
Tunafaham kwamb kuna mamb mengi ya kimaendeleo na mazuri lkn watu kadhaa sijui kwa maslahi au faida ya nani wameamua kumchafua.
Na kwa vile mtu akishafariki hawezi kujitetea kwa shutuma zote zinazoelekezwa kwake iwe za kweli au za uongo, sasa sisi tulio hai tutaendelea kumtetea ili kufuta kbs uchafu unaotengenezwa kwa ajili yake.
Najua hata na yeye alikuwa binadamu kwa hiyo kukosea ni jambo la kawaida lkn asibebeshwe makosa na matatizo mengine ambayo hakuyafanya kwa masilahi ya kundi la watu fulani.
Najua kwa sasa wanaomchafua ambao baadhi yao wapo ndani ya CCM na wanaona fahari sana hayati Magufuli kuchafuliwa ili ionekane kwamba yeye na Serikali yake hawajafanya chochote lkn wakumbuke kuwa huyo wanaemsema ameshakwenda zake, sasa kazi kubwa imebaki kwao walio hai.
Mwaka 2025 unakuja wamejipangaje kupangua hoja za wapinzani wa CCM na serikali kwa ujumla kuhusu ufisadi huo unaoongelewa sasa hivi?
Pumba kivipi kijana.. kwamb hakuna ufisadi uliyofanyika? Kwamba hakuna viongozi wengine nje ya hayati Magufuli waliohusika na ufisadi huo? Na kama wapo kwann lawama abebeshwe marehemu tu?Kama na wewe ni great thinker, basi Taifa hili bado lina safari ndefu. Muda huu uliotumia kuandika pumba hizi ni Heri ungelimsaidia mkeo kuchambua mchele.
Nashukuru sana kwa mchango wako mkubwaUsihofu; hakuna anayechafuliwa. Mengi yanayoongelewa ni kutokana na ripoti ya CAG.
Ofisi, shughuli na ukaguzi wa CAG uko mwa mujibu wa sheria na taratibu; na ripoti za ukaguzi huo hazipaswi kufichwa bali kuwekwa wazi kwani zina manufaa kwa ajili ya Serikali kujipima, kurekebisha na kuchukua hatua stahiki.
Afterall ni pesa za walipa kodi.
Haiwezekani mambo yakaachwa yaende kienyeji.
Kama vile yanavyoongelewa mazuri vivyo hivyo na mabaya yataongelewa.
(Always remember that there are two sides of a Coin).