Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

ccm wengi wamekubali kucheza mchezo wa mafisadi na tayari wameingia kingi vibaya.Kama hawawezi japo kujitoa mhanga kupambana mitandaoni kuna anguko linakuja si kutoka vyama vya upinzani maana vyama ni dhaifu bali ni ccm kukatika mara mbili. Nyerere alishatabili na lazima utokee.Kukatika kwa ccm kutakuja kwa njia ya ukabila. watu wanasahangilia kabila la wasukuma kushambuliwa sababu ni la Magufuli hawa sasa wamejikunyata wanatafutatana na mkumbuke ni 1/3 ya nchi bila kujumlisha wajomba wanyamwezi.Endeleeeni kushangilia ya kenya yatapiga hodi
Wewe umeona mbali mkubwa, japo wengi hawatokuelewa wakiwemo CCM wenyew lkn mimi na wenye akili kadhaa tumekuelewa
 
Makamu wa rais asiyeshirikishwa na akabaki madarakani bila kujiuzulu,anafaa kuwa rais?
Wakati shujaa anawananga makocha waliomtangulia, tuliuliza inakuwaje kama vile yeye hakuwa sehemu ya timu hiyo ili hali alikuwa mchezaji wao kwa kipindi cha miaka 20.

Kashfa kubwa kubwa zilipokuwa zinajadiriwa yeye alikuwa kimya kabisa kama vile haimuhusu. Mkasema alikuwa anafanya vile kwasababu kama angethubutu kufungua kinywa chake basi hii nafasi ya kuwa kocha mkuu wa timu asingeipata.

Sasa nawauliza nyie mnaomlaumu Mama yetu kuwa wakati uchafu huu unafanyika yeye alikuwa wapi na kwanini hakushauri au kama ushauri wake ulipuuzwa basi angejiuzuru.

Naomba mrejee majibu yenu mliyokuwa mnatujibu tulipohoji uhalali wa shujaa kuwatuhumu makocha waliomtangulia.

Tena mnyamaze kimya mwacheni mama asafishe nyumba yetu.
 
Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.

Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea tulipopata uhuru mpaka leo hakuna awamu ambayo haikufanya madudu iwe madogo madogo au makubwa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilifanya mazuri na mabaya pia kwahiyo hili ni jambo la kawaida kwa tawala zote zilizopita kuanzia mwaka 1961 mpk 2020.

Kinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.

Tunafaham kwamb kuna mamb mengi ya kimaendeleo na mazuri lkn watu kadhaa sijui kwa maslahi au faida ya nani wameamua kumchafua.

Na kwa vile mtu akishafariki hawezi kujitetea kwa shutuma zote zinazoelekezwa kwake iwe za kweli au za uongo, sasa sisi tulio hai tutaendelea kumtetea ili kufuta kbs uchafu unaotengenezwa kwa ajili yake.

Najua hata na yeye alikuwa binadamu kwa hiyo kukosea ni jambo la kawaida lkn asibebeshwe makosa na matatizo mengine ambayo hakuyafanya kwa masilahi ya kundi la watu fulani.

Najua kwa sasa wanaomchafua ambao baadhi yao wapo ndani ya CCM na wanaona fahari sana hayati Magufuli kuchafuliwa ili ionekane kwamba yeye na Serikali yake hawajafanya chochote lkn wakumbuke kuwa huyo wanaemsema ameshakwenda zake, sasa kazi kubwa imebaki kwao walio hai.

Mwaka 2025 unakuja wamejipangaje kupangua hoja za wapinzani wa CCM na serikali kwa ujumla kuhusu ufisadi huo unaoongelewa sasa hivi?
Mimi naona tafauti kidooogo. Ufisadi huu ni NOTWITHSTANDING Magu, siyo BECAUSE of him. Alishawahi kusema mara alfu kuwa ufisadi hauna chama wala hauna dini. Specifically, alisema hata CCM kuna mafisadi.

Kwa sasa tunachokiona ni uwazi zaidi kutangazwa mambo kwa kujiamini na kunogesha mada, lakini 90% yangetangazwa tu hata kama Marehemu angekuwepo na angewatumbua hivohivo. It proves that he was a lone wolf, a solitary fighter kazungukwa enemies au neutrals. Kama ni kulindana iweje kangilugola amtumbue hazarani, Mramba na Yona?

Mengine yawezekana ni nguvu mpya tu ya uandishi, mathalani Stieglers Gorge eti ni feasibility study ya1970, TANESCO ikiwa DARESCO, Desk Officer akiwa Form 2. Hii haiwezi kuwa kweli hata ukiiangalia harakaharaka. Au hiyo ya TBC eti hawakutoa risiti, issue siyo risiti ni matumizi. Au hii ya DPP eti kakosa ledger allocation azitumieje hela za mafisadi.

Tusisahau pia kuwa hii ni vita, habari nyingi hapa zinabebwa na magazeti ya Kenya. Hawajatusamehe na hawatotusamehe hadi tufungue Bologonja kuna mahotell ya Aga Khan, au tuwagee kupanda Mlima Kilimanjaro njia ya Tsavo. Unganisha power ya magazeti hayo na kundi kubwa la wasaliti wetu unawakuta wanasoma kila habari kwa mtazamo wao, ukweli uko palepale.
 
Kama angekuwa hai angejitetea vipi? Hesabu zina lakujitetea?
kila mwehu anaekuja kumtetea anakuja naupupu naporojo tuu hakuna fact yoyote inaweza kubishana hesabu alizotoa CAG.

hasara ya zaid ya billion 150 kwenya ATCL pekeake, ukubwa wa billion 150 nihela inayoweza kujenga stendi 3 kubwa kama z stendi ya mbezi nachenchi ikabaki
 
Kwanini basi Samia hakujiuzulu?

JPM alikuwa kwenye baraza la mawaziri ,na wao ndio washauri pia wa rais(JK enzi hizo) ,kwanini hakujiuzulu mpaka akatununulie meli bovu,escrow ikapigwa,richmond wakachukua yao?
 
Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.

Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea tulipopata uhuru mpaka leo hakuna awamu ambayo haikufanya madudu iwe madogo madogo au makubwa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilifanya mazuri na mabaya pia kwahiyo hili ni jambo la kawaida kwa tawala zote zilizopita kuanzia mwaka 1961 mpk 2020.

Kinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.

Tunafaham kwamb kuna mamb mengi ya kimaendeleo na mazuri lkn watu kadhaa sijui kwa maslahi au faida ya nani wameamua kumchafua.

Na kwa vile mtu akishafariki hawezi kujitetea kwa shutuma zote zinazoelekezwa kwake iwe za kweli au za uongo, sasa sisi tulio hai tutaendelea kumtetea ili kufuta kbs uchafu unaotengenezwa kwa ajili yake.

Najua hata na yeye alikuwa binadamu kwa hiyo kukosea ni jambo la kawaida lkn asibebeshwe makosa na matatizo mengine ambayo hakuyafanya kwa masilahi ya kundi la watu fulani.

Najua kwa sasa wanaomchafua ambao baadhi yao wapo ndani ya CCM na wanaona fahari sana hayati Magufuli kuchafuliwa ili ionekane kwamba yeye na Serikali yake hawajafanya chochote lkn wakumbuke kuwa huyo wanaemsema ameshakwenda zake, sasa kazi kubwa imebaki kwao walio hai.

Mwaka 2025 unakuja wamejipangaje kupangua hoja za wapinzani wa CCM na serikali kwa ujumla kuhusu ufisadi huo unaoongelewa sasa hivi?
Hatari ya nini.
CCM kushindwa uchaguzi mkuu 2025 ni hatari? Mbona sisi tulivumilia tu.
 
Anajibebesha yeye mwenyewe kwa kauli zake. Alisema ndani ya utawala wake haitasikika rushwa wala ufujaji wa fedha. Kumbe jamaa ni liongo tu.
 
Kwa hiyo hiyo report ya CAG ni ya uongo? Jamaa hakuwa msafi kama alivyodhaniwa na kujinadi
 
Ohoooo !!!
Mama ni Mama hapo ana 10 tena mpaka 2030
Nani km Mama walikuwepo nina Golder Meir, Iron Lady Magreth Thatcher, Bandaranaike
Makosa ya Baba Mwendazake msimchanganyie, hata Zitto ka appreciate kwa hatua anazochukua kwani hakukubaliana na Baba
Ngoja tuone gia za angani za Lissu na Mbowe
 
Haya madudu aliyoyataja CAG ni zao la kuzuia uhuru wa habari kwa kufungia Magazeti ya kiuchunguzi. Ndio kipindi kilipozuka sheria za Ukweli kuuita uchochezi. Haya sasa, hapa Mchochezi ni nani?
Jasusi zetu za kiuchumi/Economic intelligence department, ni LEGEVU, Tuna sheria dhaifu dhidi ya MAJIZI YA PESA ZA UMMA.
 
Kumbuka raisi Samia alikuwa makamu wa raisi ktk serikali hiyo inayosemekana kuwa ilifanya ufisadi mkubwa, waziri mkuu pia na bila kuwasahau baadhi ya mawaziri ambao pia wapo ktk serikali hii mpya ya mama Samia.

Kwa shutuma hizi zitaendelea na hao niliowataja hapo hawatojiuzulu nyazifa zao serikalini, basi 2025 CCM ijiandae kwa anguko kubwa, japo wengi hawalioni hili.
Hapana hao wengine hawahusiki maana kila kitu tuliambiwa anafanya yeye. Hata kidrifti tu kikijengwa tuliambiwa kafanya yeye, ndiye aliyetoa fedha. Na haya yote yalisemwa mbele yake na hakukanusha. Tuliambiwa hata Mungu anapaswa kumshukuru Jiwe. Kila kilichofanyika tuliambiwa ni yeye kafanya. Kila hela iliyotoka tukidhani ni hela ya serikali tuliambiwa ametoa yeye. Yeye mwenyewe alisema "Serikali yangu" imefanya 1, 2, 3. Hao wengine usiwaingize kwenye ubadhirifu wa Jiwe.

Kumbuka ile kauli yake kwa wakurugenzi kwamba "Nikulipe mshahara, nikupe gari, nyumba halafu eti umtangaze mpinzani kashinda.... hiiiiiiiiiiiiiii, hapo umeshindwa kazi".

Kwa ujumla kila kitu tuliambiwa ni yeye, hakuna mwingine. Ni serikali yake.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Kabisa nashangaa kuona lawama anatupiwa mtu mmoja, wakati hata yeye alikua anahangaika sana kuyaondoa haya matatizo..
Anatupiwa mtu mmoja kwa sababu ya style yake ya uongozi. Alikua ni one man show. Yeye ndio bunge, mahakama na pia kiongozi wa Serikali. Au umesahau pia alitamani kuwa IGP?
 
Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, Makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?

Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Wengine hawahusiki. Kila kitu tuliambiwa kafanya yeye, fedha katoa yeye, yeye alikuwa kila kitu. Na yote haya alisifiwa mbele yake hadharani kwamba ndiye yote katika yote.

Tuliambiwa mbele yake kwamba kila fedha inayotolewa katoa yeye. Sasa wengine unawaingizaje kwenye huo uchafu? Kama hukusikia haya ya kwamba kila kitu ni yeye basi wewe siyo mtanzania.
 
Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?

Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?

Mwendazake mwenyewe alisema ni serikali yake. Pia kila fedha iliyotoka tuliambiwa katoa yeye, na kila kilichofanyika nchini kila kona ya nchi tuliambiwa kimefanywa na yeye. Hivi lengo lilikuwa ni nini? Tena haya masifa yalisemwa mbele zake. Kwa hiyo na ninyi wapiga debe wake mmechelewa. Mngemwambia mapema madhara ya kubebeshwa kila kitu kwamba amefanya yeye.
 
Toka Cag atoe taarifa napata wageni wengi wakuwaagua wanakuja na yale magari makubwa meusi na vioo vyake vyeusi
 
Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.

Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea tulipopata uhuru mpaka leo hakuna awamu ambayo haikufanya madudu iwe madogo madogo au makubwa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilifanya mazuri na mabaya pia kwahiyo hili ni jambo la kawaida kwa tawala zote zilizopita kuanzia mwaka 1961 mpk 2020.

Kinachosikitisha ni kuona kila ufisadi au kila jambo baya lililofanyika, au lililofanywa na kiongozi au mtu yoyote aliekuwa katika serikali ya awamu ya tano lawama zote anabebeshwa hayati Magufuli.

Tunafaham kwamb kuna mamb mengi ya kimaendeleo na mazuri lkn watu kadhaa sijui kwa maslahi au faida ya nani wameamua kumchafua.

Na kwa vile mtu akishafariki hawezi kujitetea kwa shutuma zote zinazoelekezwa kwake iwe za kweli au za uongo, sasa sisi tulio hai tutaendelea kumtetea ili kufuta kbs uchafu unaotengenezwa kwa ajili yake.

Najua hata na yeye alikuwa binadamu kwa hiyo kukosea ni jambo la kawaida lkn asibebeshwe makosa na matatizo mengine ambayo hakuyafanya kwa masilahi ya kundi la watu fulani.

Najua kwa sasa wanaomchafua ambao baadhi yao wapo ndani ya CCM na wanaona fahari sana hayati Magufuli kuchafuliwa ili ionekane kwamba yeye na Serikali yake hawajafanya chochote lkn wakumbuke kuwa huyo wanaemsema ameshakwenda zake, sasa kazi kubwa imebaki kwao walio hai.

Mwaka 2025 unakuja wamejipangaje kupangua hoja za wapinzani wa CCM na serikali kwa ujumla kuhusu ufisadi huo unaoongelewa sasa hivi?
Alijisifu sana kwamba ametokomeza ufisadi.Pia mnapojidai kafanya makubwa msisahau maufisadi yake pia.
 
Kumbuka raisi Samia alikuwa makamu wa raisi ktk serikali hiyo inayosemekana kuwa ilifanya ufisadi mkubwa, waziri mkuu pia na bila kuwasahau baadhi ya mawaziri ambao pia wapo ktk serikali hii mpya ya mama Samia.

Kwa shutuma hizi zitaendelea na hao niliowataja hapo hawatojiuzulu nyazifa zao serikalini, basi 2025 CCM ijiandae kwa anguko kubwa, japo wengi hawalioni hili.
Hata Magufuli alikuwa Waziri kwenye serikali ya Mkapa na Kikwete lakini alipopata Urais kazi ya kwanza ilikuwa kuponda utendaji wa Watangulizi wake. Hadi wapambe wake kama wewe mkafikia kusema ni bora kuliko Baba wa Taifa.
 
Hii inaitwa mkuki kwa nguruwe mtani ila kwa binadamu mchungu...
 
Back
Top Bottom