Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Hakina maana yoyote kwa sasa, hayati alikiokoa kilivyokuwa kinaenda kuzikwa tena bila sanda 2015.

Hata uchaguzi wa 2020 kura zilipatikana kwa jina la JPM sio makamu (ushahidi tizama mabango yote makubwa na madogo yana sura ya hayati pekee). Watu walichagua JPM sio CCM ijapokuwa baadhi watapinga lakini katika uhalisia ukienda huko Ndanda, Newala, Tunduru, Mbalizi, Wanging'ombe, Katavi, Chunya, Longindo, Manyara, Kikuletwa, Misenyi, Manyovu, Urambo, Kishamapanda, Iramba, Bahi, Kisorya, nk walikuwa wanatafuta sura na jina la JPM kupiga kura sio vinginevyo.

The one term presidency trend will prevail as long as the vengeance attitude among the potential aspirants within the ruling circle are still vaguely spinning and teh situation may worsen if the left and right factions perisist bitterly barking at each other; another character assassination is at the verge to surface the bigwigs' power struggle.
 
Kwani serikali Ile siilikuwa inaitwa ya Magufuli Wala hata haikuwa ya ccm ilikuwa ya Magufuli sasa Samia anajiuzulu kwa serikali ya Magufuli?
 
Well said mkuu
 
Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?

Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?

hongera baba sema uwaambie ukweli
 
mfano makufuli alikuwa dereva wa roli mama samiha alikuwa msaidizi wa dereva mzigo waliokuwa wameubeba wanaupeleka rwanda mzigo umeuzwa njiani. je atakaehukumiwa ni dereva tu msaidizi ataachwa je kama tajiri kaamua kuwafukuza kazi kwa wizi huo atamfukuza dereva pekee au wote. kama riport ya cag inasema makufuli kaleta hasara hiyo basi nayeye mama awajibike
 
Acha kuropoka! Shirika la ndege ni muhimu kwa ajili ya kutangaza na kuvutia utalii hata kama linaleta hasara! Faida ipo indirectly katika sekta ya utalii.Sasa atupe report ya kutokutekelezwa kwa mradi wa Nyerere zaidi ya miaka 50 umelisababishia taifa hasara kiasi gani.
Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi? Na hasara iliyopatikana katika sekta ya utalii miaka yote kwa kukosekana ndege!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Umesema vizuri kila utawala ulifanya madudu yake sasa mbona haya ya mh Jiwe yakitajwa mnaumia sana?

Wewe unasema alikuwa mwanadamu wa kawaida anayefanya makosa lakini mwenyewe hakujiona kama mtu anayeweza kukosea. Na zaidi alijifanya mtaalam wa kila kitu hata hakusikia la mtu.
 
Watalii wanaobebwa na ATCL wanatokea nchi gani? Mbona ndege zipo humu humu ndani.
 
sio lazima utalii utangazwe kupitia shirika landege nawala haikua ndomalengo mama ya kununua ndege kwa hela cash tena katika makampuni tofauti. zanzibar inafanya vizuri kiutalii miaka namiaka kabla ata uwepo wahizo ndege. niupumbavu wahali ya juu mno kuwaza safar zandege kwenda mwanza nachato itatutangazia utalii

CAG amefanya majukum yake madudu yote kayaweka wazi. wew nahuyo aliekuaminisha majukum ya CAG nikupiga hesbu zahasara iliopatikana miaka 50 iliopita nyote vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…