Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Tulipokuwa tukisema one man show state hukuelewa maana yake? Sasa Tamisemi alihamishiwa ofisi ya Rais kutoka ofisi ya waziri Mkuu, ulitaka Majaliwa afanyeje? Ndege Kanumba yeye bila kuhusisha bunge wala kutangaza tenda, mama Samia afanyeje? Vyombo vya habari na wanasiasa ambao wangepiga kelele kumuonyesha ufisadi ulipo vyote vimenyamazishwa mama Samia angefanyaje? Pesa anatembea nazo kwenye mabegi Majaliwa angefanyaje? Bunge limegeuzwa la CCM tu, litasimamia je serikali ya CCM? Aliyataka mwenyewe, abebe msalaba wake huko aliko!
 
Aema hivi, kwa kuwa speaker ndugai keshakiri kwamba mwendazake alishauriwa vibaya, na mshauri wake mkubwa ni waziri mkuu, basi wa kujiuzulu ni PM.

Pia baada ya kuona madudu yote kwenye wizara na taasisi nyingine alipaswa kuwapiga chini wote waliohusika kwenye ubadhirifu huu.
Alipaswa kuanza na mawaziri wapya kabisa. Sio hawa waliokuwa wakijipendekeza kwa jiwe.
 
Hv unajua maana ya uwajibikaji unajua maana ya presidency au unaropoka kama mtoto wa darasa la kwanza.....
kama kweli kuna ufisadi huo......
mama hawezi kukwepa kuwajibika
 
Muda mwingine kama mtu anakosa cha kufanya ni bora atulie, kuliko kuanzisha mada isiyo na mashiko wakati muhusika hayupo na alikuwa ana run the show pekee!
Hampendi ukweli,tatizo hilo
 
Mama wa watu asivotaka stress kelele zikiwa nyingi atajiuzulu kweli
 

Kuna sheria ya kikatiba ya kuwalinda hawa kwa hizi hoja zako? Au kuwasaidia Bunge likisema linapiga kura ya kutokuwa ba imani.
 
hivi mara paaaaap mwendazake anaibua kumbe hakudedii itakuwaje??!!atarudi kuwa prezdaa au makamu
 

Kuna sheria ya Kikatiba ya kuwalinda hawa kwa hizi hoja zako? Au kuwasaidia Bunge likamua Δ·upiga kura ya kutokuwa na imani.
 
sukuma cartel wapo Hoi mama anafagia mauchafu yooote ya jiwe 😁😁😁
 
hivi mara paaaaap mwendazake anaibua kumbe hakudedii itakuwaje??!!atarudi kuwa prezdaa au makamu
Sheria iko wazi na Katiba inaelezea vyema:

MAKAMU WA RAIS NI MSAIDIZI TU WA RAIS ILA HANA MAAMUZI YA MOJA KWA MOJA KWA MOJA NDANI YA SERIKALI.
 
Huyu ni kama hakwwpo ofisini.
Unaona mambo alivyo asili badili?
Ile ilikuwa serikali ya Magufuli. Hii ni jamuhuri ya muungano wa Tanzania na salamu yake ipo
 
KWELI
 
Sheria iko wazi na Katiba inaelezea vyema:

MAKAMU WA RAIS NI MSAIDIZI TU WA RAIS ILA HANA MAAMUZI YA MOJA KWA MOJA KWA MOJA NDANI YA SERIKALI.
Kwa hiyo wewe unashangilia kuwa huyu mama msafi? Hata kama hana maamuzi basi yeye ni advisor. Angejiuzulu kama alikuwa anaona uozo huu. Hapo wapinzani ndiyo mnapoteza focus; mnabadirishiwa "narrative" ati ni JPM, mnaleta katiba na kuwasaidia. HAAAAA. Hii ni system yote.
 
Silly !!!
This is what we call "Thinking and uttering words at the expense of your DORSAL SPOT".
You guys it's all over !!!
She's there to stay.
What you're currently doing is just fooling and pleasing yourselves as days go by.
You've been completelly and unexpectedly cought in supprisse by the current situation.
The only remedy is to accept the facts and learn to live with them.
 
Humphrey Polepole mtu anayetajwa kama Gwiji la hesabu za Fedha miongoni mwa wanaccm waliosalia kwa sasa anaombwa kujitokeza tena kama alivyofanya huko nyuma alivyopangua hoja za CAG wa zamani Profesa Assad ili kusawazisha upepo mbaya unaovuma

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…