Tulipokuwa tukisema one man show state hukuelewa maana yake? Sasa Tamisemi alihamishiwa ofisi ya Rais kutoka ofisi ya waziri Mkuu, ulitaka Majaliwa afanyeje? Ndege Kanumba yeye bila kuhusisha bunge wala kutangaza tenda, mama Samia afanyeje? Vyombo vya habari na wanasiasa ambao wangepiga kelele kumuonyesha ufisadi ulipo vyote vimenyamazishwa mama Samia angefanyaje? Pesa anatembea nazo kwenye mabegi Majaliwa angefanyaje? Bunge limegeuzwa la CCM tu, litasimamia je serikali ya CCM? Aliyataka mwenyewe, abebe msalaba wake huko aliko!