MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 886
Mtu alishasema yeye jiwe, tangu lini jiwe likashaurika? muache Mama atuongoze ni zam yake, hutaki hama nchi.Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Nawaambia Magufuli akija tena atawafanya hakunaTunamsubiri kwa hamu kubwa sana!
Kwa Katiba ipi? Vyama vipi vya siasa? Taasisi zipi imara? Na wananchi wepi wanaojitambua kiasi Cha kushinikiza waliopo madarakani ambao ni zao lile la ufedhuli na ufisadi wa kutisha??Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Hausiki hata CHEMBE msitafute Kwa kukimbilia!Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Boya sana huyu jamaa. Hii press conference naikumbuka.Mzee wa vieteeee..unaijua vieteee wewwee..halafu inawashwa AC masaa yote
...hayati anahusika makamu wake anahusika Waziri mkuu na mawaziri ambao wizara zao zimeguswa wanahusika pia ilipaswa hawa wote wajiuzuru nyazifa zao maana wamesababishia Nchi hasara kubwa wakati mda wote walikuwa wanatamba majukwaani kwamba wamezibiti ufisadi na kujisifu kwa serikali yao kununua ndege na kujenga SGR...chakushangaza lawama anatupiwa hayati wakati hawa ndio walikuwa washauli wake na waziri mkuu ndie msimamizi wa shughuri za serikaliWakulaumiwa ni wale wote waliohusika na ufisadi huu na sio hayati Magufuli tu ndo atupiwe lawama zote
Ni vizuri mlivyotangulia hapo kwenye kaburi lake tunakuja hapo na viboko tuna jambo lenu mtusubiri hapo na mjiandae kulia zaidi.Tutaenda kumlilia magufuli kwenye kaburi lake kwa haya mnayoyafanya.
"Mimi sipangiwi wala kushauriwa"Tatizo unahemka,hufikiri
Kwani report imetolewa na upizanziNyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tu
Jiwe alipoamua kuikanyaga katiba ndipo hayo yote yalipo pata kasi. Njia iliyoonekana inawafaa kwake ni kutunga sheria ya kuwapa kinga wanaokumbatia uharifu - kinga kwa rais, spika na Jaji mkuu. Mimi nasema ANASTAHILI LAWAMA NA LAWAMA HIZI ZIMFUATE HUKO ALIKO BILA KUPINDA PINDA. Sasa unaminya uhuru wa wananchi kuongea, kutoa maoni, unafungia magazeti ya uchunguzi unaacha TANZANITE NA UHURU unategemea matokeo gani? Wajuzi wa kuibua hoja bungeni unawadhulumu haki yao ya kuchaguliwa, wananchi unawanyima haki yao ya kuchagua kiongozi wanayemtaka unakusudia kufanya nini? We acha kutetea upuuzi! SPADE NI SPADE NA SPOON NI SPOON.Kuna sheria ya kikatiba ya kuwalinda hawa kwa hizi hoja zako? Au kuwasaidia Bunge likisema linapiga kura ya kutokuwa ba imani.
Samia ndo CAG?Nyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha tu mkuu. Jamaa hawana aibu kabisaUnaijua VIETE wewe ? sisi tunapiga flyover tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi wewe ni monde arabe?"NAAAM....!
Miradi yake mingine inaleta foleni kubwa kabisa kuwahi kutokea, haina maana ni hasara? Mbona ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote hasahasa ya SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa kule ziwa Nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme tununue majenerata kwa wahindi tupate kodi, Gaweni Migodi yote kwa wawekezaji uchumi ukue, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga kwa watu binafsi tupate faida Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina Bagamoyo kwa mkataba wa miaka 100. Rudisheni Ada mashuleni walimu walipwe vizuri tukuze uchumi, Wapeni Matajiri misamaha ya kodi waongeze mzunguko wa pesa, Ruhusuni Makinikia na gesi kwenda nje wawekezaji waongezeke zaidi tupate pesa, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani yakauziwe nje huko, Charaza Bakora Machinga mjini waache kusumbua watu, Mwaga wali wa Mama Ntilie wasituchafulie jiji, Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani umepitwa na wakati, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga nao wana haki kama wengine, ruhusuni Chanjo ya Corona wasije wakatutenga, Msitumie nguvu kukabiliana na majangiri wa tembo tutafukuza watalii, Uhuru wa mateja kwa wingi mtaani nao ni ndugu zetu, Madawa ya kulevya sio yote yanalevya mengine yanalewesha tu kama bia n.k. Pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi sab ufisadi hauta isha hata hivyo, Kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Samia wakati madudu yanafanyika alikuwa wapi?