Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini


Sikuzungumzia kushitakiwa. Kura ya kutokuwa na imani inayo pigwa na Bunge.
 
Hivi kuna awamu yeyote ambayo ripoti ya CAG ilikua safi na haikukuta madudu sehemu yeyote ile?

Nauliza tu ili niweke rekodi sawa.
 


Lakini really Mwendazake alikuwa hashauriki, japo apparently inaonekana alikuwa na washauri.

Tumuache kwanza huyu Mama na tumuhukumu kwa hii awamu yake ya 6 iliyochipuka kutoka katika awamu ya 5.
 

Mleta mada wewe ni mpambe wa PM? Uko katika kupambana neutralize mambo?

Kadhia hizi PM hana mna ya kujivua uwajibikaji.

Huyu akwende tu.
 
... magufuli kafanya mengi mazuri japo mabaya pia yapo..... nikionacho mimi lile kundi la wanamtandao wa ccm wanataka kurudi ndani ya Chama Kwa gia ya kumchafua magufuli ili jambo watafanikiwa ila Nchi itarudi mikononi mwa kashifa kama za esco Richmond epa na kagoda mambo ya daudi bilali yatajirudia....tutashuhudia twiga akipanda ndege kwenda warabuni nk
 
Tumieni nguvu kuboresha CDM hizi ngonjera na vichekesho haviwasaidii!!!?
 
Watu wanamtetea huyu mama as if hakuwa kwenye utawala watz ni ma-snitch wa kiwango cha 5G
 
Ile haikuwa serikali mkuu bali ilikuwa one man show.
 
....ni Kweli katiba ilikanyagwa je Bunge letu lilitimiza wajibu wake wa kuisimamia serikali? Kama Bunge nalo halikutimiza wajibu wake mpaka haya yakatokea spika anatakiwa kuwajibishwa Kwa kushindwa kutumia mamlaka yake mpaka Nchi inapata hasara ya mabilion huku Maisha ya wananchi yakizidi kuwa magumu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…