Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?

Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Aliyemtengua CAG aliyepita alikuwa mama Samia?
Mnataka kumuonea mama wa watu bure kwa kuwa ndiye aliyekuwa makamo wake na tulishawahi kusikia huko nyuma mama alitaka kujiuzulu, basi tu ndiyo mipango ya Mungu ya kuwa yeye ndiye atakaye kuwa raisi.
Mzee Magu alikuwa anachagua ushauri.
 
Jamaa ana hasira kama alikuwa hasikilizi redio na kuangalia tv,,,
 
Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?

Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
Hawa watu wanachuki tu na kisirani kwa magu sababu ya wivu wa kijinga.

Waziri mkuu pia ambae ndio mtendaji mkuu anabaki vipi kwenye hayo madudu, wote waondoke tuanzeupya.
 
Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?

Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Acha upuuzi.
Makamu wa Rais ni mtendaji ?
Pia jiwe alikuwa na msaidizi yoyote kwa akili zako, anayemsikiliza zaidi ya mtoto wa dada Dotto ?

Huyu mgogo ndo anatakiwa kufurumushwa...bunge lilikuwa rubberstamp..
Yeye waliitwa China na wakapigwa cha juu.. no wonder sasa kageuka wakati ule aliunga mkono hoja....
 
Msitake kumsafisha Mtu wenu kwa hizi propaganda nyepesi! Nani hajui kwamba alikua Mungu wenu na yesu wa Lugola? Nani hajui kwamba alikua hapangiwi? Kama unaona hapa tuna chuki sana, nenda jamuhuri ya malaika, ukaendeleze upendo, huko!
You really fit to be a comedian.
 
Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?

Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Mnahangaika sana nyie watoto wa bygone! Ukweli ni kwamba alikuwa fisadi of his own kind na ndio maana Mungu amemtanguliza mbinguni.
 
... magufuli kafanya mengi mazuri japo mabaya pia yapo..... nikionacho mimi lile kundi la wanamtandao wa ccm wanataka kurudi ndani ya Chama Kwa gia ya kumchafua magufuli ili jambo watafanikiwa ila Nchi itarudi mikononi mwa kashifa kama za esco Richmond epa na kagoda mambo ya daudi bilali yatajirudia....tutashuhudia twiga akipanda ndege kwenda warabuni nk
Wapumbavu tu..... Halafu ukitaka jua kuna watu wanamobilize huu upuuzi tazama ni watu wa mtandaoni na sio huku uraiani.

Kuzikwa tu kwa magufuri na maombolezo yake na hata ile shock ya taarifa ya msiba wake ni ishara tosha ya namna alikuwa ni nani kwa wananchi.....

Magufuri amezikwa na raia wengi wa kipato cha chini na wasio na vyeo wala nyadhifa. Wanasema vizuri havidumu, sishangai mzee magufuri kutumikia muda mfupi na kuaga dunia ghafla.

COMMON SENSE IS NOT COMMON ANYMORE.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?

Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Mungu ameamua kumuua ili asilete madhara makubwa
 
Hawa watu wanachuki tu na kisirani kwa magu sababu ya wivu wa kijinga.

Waziri mkuu pia ambae ndio mtendaji mkuu anabaki vipi kwenye hayo madudu, wote waondoke tuanzeupya.
Hadi serikali ya mtaa, pesa ikipotea, ni Magu tu. Wengine wote wasafi. Hapo ndo' utajua they have their own agenda.
 
Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?

Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
Je,kama alitoa ushauri lakini hakusikilizwa?
Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?

Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
 
Kwa awamu ya 5 kuwatuhumu wengine sioni sababu kwani serikali ile ilikuwa ni one man show
Ndio maana hata kutajwa ilikuwa ni serikali ya raisi maugufuli na sio selikali ya chama cha ccm.
 
Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?

Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
Anakuwa msafi tangu pale JPM aliposema HAPANGIWI.....
 
Acha upuuzi.
Makamu wa Rais ni mtendaji ?
Pia jiwe alikuwa na msaidizi yoyote kwa akili zako, anayemsikiliza zaidi ya mtoto wa dada Dotto ?

Huyu mgogo ndo anatakiwa kufurumushwa...bunge lilikuwa rubberstamp..
Yeye waliitwa China na wakapigwa cha juu.. no wonder sasa kageuka wakati ule aliunga mkono hoja....
Unapiga ramli badala ya kujibu hoja
 
Aliyemtengua CAG aliyepita alikuwa mama Samia?
Mnataka kumuonea mama wa watu bure kwa kuwa ndiye aliyekuwa makamo wake na tulishawahi kusikia huko nyuma mama alitaka kujiuzulu, basi tu ndiyo mipango ya Mungu ya kuwa yeye ndiye atakaye kuwa raisi.
Mzee Magu alikuwa anachagua ushauri.
Tunakosea sana kutumia hearsay badala ya akili.
 
Back
Top Bottom