Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Barubaru, ni zile futari za kiserikali je?

tende na haluwa je serikali inagawa bure?

mamilioni wanayopewa BAKWATA kuhusu mfungo je?

Ni lini serikali au wizara yoote ile imeandaa futari? ni lini Serikali ya Jmtz ikagawa tende na haluwa? labda kwa kuwa tumo ndani ya ramadhwani nibainishie lini na nani alipewa na Serikali? Na Mamilioni gani wanayopewa BAKWATA kuhusu mfungo ambayo waislam na wananchi wengine awayajui?

Kinachojulikana na kimo hata katika Bajeti yenu kuu ni utekelezaji wa wa MOU ya kanisa na Serikali iliyofungwa mwaka 1992 ambapo kila Mwaka makanisa yanachota 60 Bil kila mwaka na kuanzia mwaka 2010 wanapewa 91 Bil ( (60 Bil x 18 )+ 91 Bil x 4) utapata idadi makanisa yaliyochota toka katika kodi za watanzania wote.
 

Hapa ndipo hata mimi ninapokushangaa!!,
Je yesu unaemtaja hapa ndio yule Mungu kama unavyofundishwa kanisani au yule aliyetajwa katika Bible kuwa ni mtume wa Mungu na aliyetumwa kwa ajili ya Waisrael tu na alikuja kutimiliza Tourati?
Yesu mtume wa Mungu.

Yohana 6:28-29.[SUP] 28[/SUP]Wakamwuliza, ``Tufanye nini ili tuonekane kuwa tunatenda kazi ya Mungu?'' [SUP]29[/SUP]Yesu akawajibu, ``Kazi anayotaka Mungu muifanye ni hii: mumwamini yeye aliyenituma

Yohana 17:3 [SUP]3[/SUP]Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma



Mungu Mmoja tu.

Soma marko 12:29 [SUP]29[/SUP]Yesu akamjibu, ``Iliyo kuu ni hii, `Sikiliza Israeli, Bwana Mungu wetu ndiye Bwana pekee.




Yesu akamjibu, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mwenyezi Mungu peke yake". (Marko 10:18)

".. anayenipokea mimi, hanipokei mimi bali anampokea Yule aliyenituma". (Marko 9:37)


"Mimi nimewaambieni ukweli niliousikia kwa Mungu, ninyi mwataka kuniua". (Yohana 8:40)

"Nakwenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu". (Yohana20 :17)
Ametumwa kwa waisrael tu.

Yakobo 1:1 [SUP]1[/SUP]Kutoka kwa Yakobo, mtumishi wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo. Kwa makabila kumi na mawili yaliyotawanyika ulimwenguni. Salamu:

Mathayo 10: 5-6. [SUP]5[/SUP]Yesu aliwatuma hawa kumi na wawili, akawaagiza, ``Msiende kwa watu wa mataifa wala msiingie mji wo wote wa Wasamaria. [SUP]6[/SUP]Bali waendeeni kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.



1. Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Matthew 19:28

mpate kula na kunywa mezani pangu katika ufalme wangu; na kuketi katika viti vya enzi, huku
mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Luke 22:30
Yakobo, mtumwa waMungu, na wa
Bwana Yesu Kristo, kwa kabila kumi na mbili waliotawanyika; salamu.
James 1:1

Na sasa ninasimama hapa nihukumiwe kwa ajili ya tumaini la ahadi
baba zetu waliyopewa na Mungu,
ambayo
kabila zetu kumi na mbili wanataraji kuifikia, wakimwabudu Mungu kwa bidii mchana na usiku. Nami ninashitakiwa na Wayahudi kwa ajili ya tumaini hilo, Ee Mfalme.

Acts 26:6-7

Makabila mengine hatustahili kufundishwa Neno la Mungu
Matendo 11:19
[SUP]19[/SUP]Wale waamini waliotawanyika kutoka Yerusalemu wakati wa mateso yaliyotokana na kifo cha Stefano, walisafiri hadi Foinike na Kipro na Antiokia. Wakawa wakihubiri Habari Njema kwa Wayahudi peke yake

Bwana yesu ametukana sana na kutulinganisha na Mbwa.
Mathayo 15:24 Akajibu, ``Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli wal iopotea.''.

Bwana Yesu akasema kuwalinganisha na Nguruwe.
Mathayo 7:6

[SUP]6[/SUP]``Msiwape mbwa vitu vitakatifu; na msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe wasije wakazikanyaga kanyaga na halafu wawageukie na kuwashambulia.''



Sheria ya kufuatwa na waisraeli wote ni Torati.

Kumbukumbu 4:44-45


Yesu kaja kutimiza Torati.





Soma mathayo 5:17-19 [SUP]17[/SUP]``Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike. [SUP]19[/SUP]Kwa hiyo ye yote atakayelegeza hata mojawapo ya amri ndogo kuliko amri zote na akawafundisha wengine kufanya hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika Ufalme wa mbinguni. Sikuja kuzifuta bali kuzitimiza. [SUP]18[/SUP]Kwa maana ninawaambia hakika Lakini atakayetii amri hizi na kuwafundisha wengine kuzitii a taitwa mkuu katika Ufalme wa mbinguni





Luka 24:44 [SUP]44[/SUP]Akawaambia, ``Haya ndiyo mambo niliyowaambia nilipokuwa pamoja nanyi; kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika she ria ya Musa, katika Maandiko ya manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa



 

Kumbe hujui???....loh ao viongozi waliokazana pendekeza waachane na znz kwani znz ndo nini ndani ya tz hadi hatuwaachii tunawang'ang'ania tu!
 

Labda tuangalie nn mtu amekatazwa...mkuu hajakatazwa mtu kula ila tafuta eneo la kujistiri ndio ule. Kwani mbona marikiti wapo watu wanauza vyakula kuna alie katazwa?? ..nunua nenda kwako kale.
 

Kwani wafikir huko unguja anayachoma nani?...wenyewe wasutuumize vichwa
 

Maneno mazuri sana. Wakristo na Waislam wote wanatakiwa kuwa na mawazo kama yako. Kila mtu afate maandiko yake na siku ya mwisho Mungu ndio atatoa majibu nani alikua sahihi. Nafikiri kila dini inaamini ipo siku ya malipo. Ukitaka kuikosoa dini ya mwenzio basi usome maandiko yake na kuielewa vizuri sio kusoma juu juu na kumkosoa mwenzio.
 
Waialam na wakristo wana haki ya kula mchana nje kama waislam walivyo na haki ya kufuturu nje kama sheria zinafuatwa tanzania. Alie chapwa anaweza kwenda maakamani kuishitaki serekali kwa hili

Safi, kama kweli yupo huyo aliechapwa basi kuna vyombo vya sheria. Na kama kuna mwenye uchungu sana na hili nashauri ajitolee kumtafutia hata wakili wa kujitegemea ili haki ipatikane mahakamani.
 
Shetani ni familia yako kukulea katika maadili ya kijinga.
Huku Pemba hufiki hata kuingia guest sababu utadaiwa kitambulisho cha ndoa, tukikufuma njian chochoron tu basi imekula kwako.
Hatuwez kuharibu vizazi vijavyo halafu tukaja kulalamika mbelen

Mbona ma ustadhi wanaongoza kubaka vitoto vya madrasa?na mashoga wengi mbona ni wapemba?
 
Mbona ma ustadhi wanaongoza kubaka vitoto vya madrasa?na mashoga wengi mbona ni wapemba?

Hio ni tabia ya mtu binafsi na malezi yake haina uhusiano na mafunzo ya dini. Nafikiri unahafahamu kinachoendelea Roma pia mpaka Papa amekiri tatizo lipo.
 

Ni ukweli uliowazi kuwa kitendo km hiko akifanya mkristo yeyote ni dhambi ndo maana linapigiwa kelele lkn kwa kila muislamu hiyo ni suna na mchezo wa kawaida wa kila siku
 
Labda viongozi wa juu wangekuwa wakristo wangewasikiliza kilio chenu lkn hao viongozi wala urojo na kina Vasco dagama msitegemee kukemea au kulisemea..........Islam=failure
 
Ni ukweli uliowazi kuwa kitendo km hiko akifanya mkristo yeyote ni dhambi ndo maana linapigiwa kelele lkn kwa kila muislamu hiyo ni suna na mchezo wa kawaida wa kila siku

Unatetea maovu, hicho si kitendo kimoja, jisomee:
Anja Niedringhaus/AP
Kirsten Sandberg, chairwoman of the UN human rights committee on the rights of the child, talked during a press conference at the United Nations headquarters in Geneva on Wednesday.


VATICAN CITY (AP) — The Vatican ‘‘systematically’’ adopted policies that allowed priests to rape and molest tens of thousands of children over decades, a UN human rights committee said Wednesday, urging it to open its files on pedophiles and bishops who concealed their crimes.
In a devastating report hailed by victims, the UN committee severely criticized the Holy See for its attitudes toward homosexuality, contraception and abortion and said it should change its own canon law to ensure children’s rights and their access to health care are guaranteed. The Vatican promptly objected.

Soma zaidi: UN blasts Vatican on sex abuse - World - The Boston Globe
 

kama kweli umefunga na kufunga kwako ni kwa imani, kwanini ushindwe kujizuia eti sababu mwingine anakula au kuuza chakula?

swala la pili kama waislamu wa huku bara wanaweza, nyie wa pemba mnakipi cha tofauti cha kuwafanya mshindwe?

nikuelimishe kidogo ndugu, hao wakristu wanaolipwa kwa "mgongo" wa sadaka wanalipwa baada ya kufanya kazi kwakuwa hiyo ndio kazi yao siku hadi siku.

hiyo biashara utafanya uwauzie hao asilimia inayobakia baada ya 99.99% na pia tambua kwamba sio waislamu wote wanaofunga kama unavyotaka kuniaminisha ndio maana kunaneno mnalolitumia kuita wengne "Kobe".
 
Ni ukweli uliowazi kuwa kitendo km hiko akifanya mkristo yeyote ni dhambi ndo maana linapigiwa kelele lkn kwa kila muislamu hiyo ni suna na mchezo wa kawaida wa kila siku

hahhahhhhahahahaaaaa
 
Labda tuangalie nn mtu amekatazwa...mkuu hajakatazwa mtu kula ila tafuta eneo la kujistiri ndio ule. Kwani mbona marikiti wapo watu wanauza vyakula kuna alie katazwa?? ..nunua nenda kwako kale.

ndugu, ni kila mtu ataweza kununua na kwenda kwakwe kula? wangapi wanakwao? na vijana wanaolala mabarazani wakalie wapi? je? wafanyabiashara nao walioondoka kwao kwenda tafuta na wao warudi kwao wakale?
mbona Bara tunakula na hakuna shida? ni nini cha tofauti kwa walio huko?
 
Mi ninafunga usiku tu mchana ninakula kinachotakiwa Ni kutokula ndani ya massa 12.naunga mkono vunja jungu.kidumu chama cha mapinduzi
 

Mbona.... baya langu lipi hapo na hayo ni maneno kutoka kwenye Koran yakisema siwezi Dadavua kitu... pole kama maneno hayo hukupenda yawekwe wazi... ila kama upo sawa utatia akili
 

Wajua ya kwamba KUHESHIMU ina maana tofauti na KUVUMILIA.Unaweza ukawa una HESHIMA lakini ukawa si MVUMILIVU.Tatizo dogo tu unalipuka,hiyo ndiyo maana yangu hasa.

Kama dini na wanadini basi TUVUMILIANE zile tofauti za dini zetu na tuheshimiane sababu sisi sote ni wanadamu na muumba wetu ni mmoja.Hiyo ndiyo maana yangu halisi.
 
Wapigwe tu, Zanzibar ni nchi ya kiislamu mkiristo ambaye hawezi kustahamili na kula kwa kujificha arudi kwao.,
 

anajifanya kusahau hata tanganyika mbona mashehe walitembeza kichapo kwa changudoa na hao wakiristo huko zenji sio waza wakuja wakiristo walozaliwa zenji wanajitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…