Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Tatizo upeo tu, wale watu wanatakiwa kuwa wanapewa safari za boti bure kuja huku bara kujifunza watu wanavyoishi.

Kukaa kwao sehemu moja muda mrefu kumewafanya kuwa kama wanakijiji wasiojua nini kinaendelea kijiji cha pili.

Wanawazuia wengine wasile kisa wao wamefunga, sasa badala ya kufunga kuendane na unyenyekevu, wao wanaleta ubabe, hiyo inakuwa funga ya sampuli gani?

Wanajidai kufunga huku wanawaza kula muda wote ndio sababu yao kupiga marufuku wengine wasile, kama wangekuwa wanafunga kweli wasingekuwa na muda wa kufikiria wengine wanafanya kitu gani.

Unamletea kisirani anayekula, kwani wewe nani alikulazimisha ushinde na njaa tena ikiwa umekula usiku kucha? hii kitu kumbe inaonesha hao wafungaji hawafungi kwa moyo, ni hizo sheria zao huko ndio zinawalazimisha kufunga.

Jambo la kiimani halitakiwi kusukumwa na kiboko, hiyo inakuwa sio imani tena, ni amri ya ulimwengu ambayo inakuwa lazima muifuate mtake au msitake.

Huwezi kumlazimisha mtu kwenda mbinguni kwa kiboko, atakuwa tu anakufurahisha machoni kwa kushinda na njaa, kumbe moyoni anatamani kupiga msosi, hiyo funga ya hao jamaa simply naona ni maigizo matupu.
 
Hizo nchi za kiislamu Watu wanawajua Waislamu walivyo ndio maana hawali hadharani siku za Ramadhani kwa sababu wanajua nini kitafuata.

Hapo Zanzibar sio nchi ya kiislamu ndio maana Watu wanaona wale kwa uhuru lakini kinachotokea kila mwaka ni ushahidi.

Wewe uliwahi kusikia mtu kapigwq kisa hajafunga Kwarezma?

Taarifa ya huko Nigeria vipi hukuisikia?
Huwa wanawavua koti la uislamu wanaofanya hayo mambo lakini changamoto haiishi. Bahati mbaya pia ni wao kutokubali kukosolewa na kuelimishwa,karne ya 21 wanataka watu tuishi kama karne ya 8 kwenye Islamic caliphate.
 
Kwema Wakuu!

Funga ni yako na dini yako. Na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini.
Huyo mungu unayemuamini usidhani kila mtu anamuamini kama wewe.

Waislamu ni moja ya Watu wasio na uvumilivu katika kuishi na jamii zingine hasa wakiwa wengi. Ni wabinafsi Sana. Wanapenda attention na kujiona wanahaki kuliko wengine. Jambo ambalo ni tafsiri halisi ya ubinafsi.

Waislamu huwa waungwana pale wanapokuwa wachache. Ukiona muislamu ni muungwana mara nyingi jua ni dhaifu, yaani wapo wachache.

Wakari nipo Advance, Waislam hawakuwa wengi walikuwa kama robo tuu ya Advance wote. Shule haikuwa ya dini lakini wao wanaleta mambo ya Dini. Wao kila kitu wanaona kama wanaonewa.

Ishara nyingine ya kuwa uislamu ni ubinafsi ni pale ambapo hawataki Quran yao ikosolewe. Wao wanadhani wanavyoamini Quran iko PERFECT basi kila mtu anaamini hivyo. Kitendo cha kutotaka kukosolewa ni ishara kuu ya ubinafsi. Hata Mungu muumbaji mwenyewe kama hataki kukosolewa naye ataingia katika kundi la wabinafsi.

Ni kama mwanaume aliyeoa ambaye hali nyama basi atataka nyumba yake wasile nyama. Huo si wendawazimu na ubinafsi uliopitiliza.

Kwa nini Watu wasile hadharani?
Huo mwezi wa Ramadhani ni mtukufu kwa Waislamu na sio kwa Watu wote.
Yaani Watu wasile kisa kuna Watu fulani wapo kwenye mfungo? Ni vioja na Viroja.

Huwezi ita dini ya HAKI wakati kuna ubinafsi unaoendelea katika dini hiyo. Haki ni pamoja na kuheshimu imani na mitazamo ya Watu wengine.

Fikiria mwezi wa Ramadhani alafu kwenye nchi ambazo Waislamu ni wachache waambiwe hakuna Watu kufunga, hiyo inakuja akilini? Yaani kisa ninyi msiowaislamu ambao ni wengi hamfungi basi mnataka waliowaislam wasifunge kama ninyi. Huo ni wendawazimu.

Dini ni yenu na familia zenu. Sio dini na imani ya Watu wote.

Ati sio uungwana mtu kula mbele ya mtu aliyefunga. Hizo akili niza wapi? Sidhani hata Quran imeandika vitu vya hovyo namna hiyo.

Elimu ya Haki na kujitambua ni muhimu.
Kama mtu anaweza kumpiga mtu kisa anakula siku ya mfungo wa ramadhan atashindwa vipi kumuua kisa Dini?

Hao vijana waliofanya huo uhalifu washughulikiwe mapema, waache kuchafua amani ya nchi na kuleta malumbano na vita vya kidini. Pia wasiwachafue Waislamu wema ambao kila siku wanahitaji kuonyesha uislamu ni haki na Amani.

Ijumaa Kareem

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mbona wa Tanganyika wanaishi vizuri na wenye imani tofauti?
 
Uislamu ni ngumu kua compatible na jamii nyingine kwa amani.

Waislamu hujiona wao ndio wenye haki kuliko jamii nyingine. Waislamu hujiona wananyanyasika kuliko jamii nyingine.

Waislamu hawana jambo dogo la kutumia tu akili. Kumbuka mtoto aliwahi kukojolea quran mbagala walitaka kumuua bila kuwaza kua huyu ni mtoto na reasoning yake bado ndogo, wao walitaka kumuua.

Waislamu hudharau tamaduni za jamii nyingine hivyo kusababisha migogoro isiyoisha, mfano, wao tu ndio wanataka wawe wanachinja, wengine wakichinja ni kosa. Kwamba tamaduni za jamii nyingine ni za hovyo ila utamaduni wa kiarabu ndio sahihi.

Kosa lingine la uislamu ni kwamba utamaduni wa kiarabu ama wa mashariki ya kati uko embeded kwenye uislamu, hivyo ni ngumu kutofautisha kati ya uislamu na uarabu. Sasa wao wakienda mahala wanataka walazimishe utamaduni wa kiarabu kwa tamaduni za watu wengine.

Ukishaona dini ambayo wenyewe hawaelewani kwa sababu ya dini basi ujue hiyo dini ni Magumashi. Iran haielewani na Saudi Arabia kwa sabau ya kidini. Hawa washia hawa wasuni. Yaani tofauti zimeingia hadi kwenye siasa.

Alkaida haelewani na talibani, Janjaweed haelewani na mujahideen, Isis haelewani na Alkaida, alshababu haelewani na alikaida, talibani haelewani na alshababu wakati wote wanamtetea mungu mmoja. Na hawaelewani kwa hatua ya kuuana, wakikutana damu inamwagika, wanachinjana.

Hii dini ni tatizo.
 
Mpaka inaulizwa hilo swali huoni Logic yake?
Huwezi uliza swali la rangi nyeupe ni nyeupe wakati kila kitu kiko wazi.
Utauliza rangi ya maziwa ni nyeupe?

Au huwezi weka mjadala kuwa simba ni mnyama ilhali ukweli upo wazi.

Utaweka mjadala kuwa je Popo ni mnyama au sio mnyama

Hiyo ni Logic
Loud and clear, kuna shida kwenye hii imani inapo deal na wasio amini.
 
waislamu popote walipo duniani ni watu wa chokochokondio maana hata ulaya wanawakaribisha ulaya kwawema ila waki wa out number watataka kuisilimisha ulaya yani hii dini ni keroduniani ndio maana india nachina hawakubali hii dini ishamiri wanajua nibomu labaadae. Ni incubation YA MAGAIDI POPOTE DUNIANI.
 
Hizo nchi za kiislamu Watu wanawajua Waislamu walivyo ndio maana hawali hadharani siku za Ramadhani kwa sababu wanajua nini kitafuata.

Hapo Zanzibar sio nchi ya kiislamu ndio maana Watu wanaona wale kwa uhuru lakini kinachotokea kila mwaka ni ushahidi.

Wewe uliwahi kusikia mtu kapigwq kisa hajafunga Kwarezma?

Taarifa ya huko Nigeria vipi hukuisikia?

Umeshikwa na mihemko tuh na islamophobia,Kwanza huyo anaepigwa hapo kaambiwa kabisa kuwa hapo SI bara,hajatajwa mkristo hapo, besides wapo waislam wengi vile vile ambao hawafungi na wanakula mchana mwezi wa Ramadhan,wewe una uhakika Gani kuwa huyo anaepigwa hapo ni mkristo?Kitu KILICHOPO hapo ni uzanzibar na ubara na sio uislam,Kwa sababu kama waislam hata bara tupo na tunaishi na makafiri Kwa kuvumiliana hata wakila mbele yetu,na funga ni ibada ya mja na mola wake,funga Wala haiharibiki Kwa mfungaji kutamani chakula au maji,so hicho kilichofanyika has got nothing to do with Islam.
 
Iwekwe Wazi, na iwe kisheria.
Unataka Iwekwe wazi vipi mkuu wakati ilikuwa hivyo tangu zamani kabla ya kuiunganisha na Tanganyika..

Kwahyo sisi ndo tunatakiwa kuwa wapolee..

Screenshot_20240329_095338_Chrome.jpg

So kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni nchi hiyo
Screenshot_20240329_101801_Adobe Acrobat.jpg
 
Back
Top Bottom