Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mimi sina neno....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unabisha tu ila dini lenu ni kero popote duniani.Umeshikwa na mihemko tuh na islamophobia,Kwanza huyo anaepigwa hapo kaambiwa kabisa kuwa hapo SI bara,hajatajwa mkristo hapo, besides wapo waislam wengi vile vile ambao hawafungi na wanakula mchana mwezi wa Ramadhan,wewe una uhakika Gani kuwa huyo anaepigwa hapo ni mkristo?Kitu KILICHOPO hapo ni uzanzibar na ubara na sio uislam,Kwa sababu kama waislam hata bara tupo na tunaishi na makafiri Kwa kuvumiliana hata wakila mbele yetu,na funga ni ibada ya mja na mola wake,funga Wala haiharibiki Kwa mfungaji kutamani chakula au maji,so hicho kilichofanyika has got nothing to do with Islam.
Usiseme hivoKitendo Cha Rais Mwingi kuwashukuru waisalam pekeee juu ya Msiba wa Baba yake.
Hapo ndipo nikasema, kumbe Wakristo Hatuna maana Zanzibar.
Dini zote generally sio..?Hizi dini sometimes upuuzi tu
Hata wenzao Wakristo hawana nguvu Tanganyika. Point yako inakuwa invalid.Hawana nguvu. Hilo ndio jibu.
Zanzibar sasa rasmi ni nchi ya kiislamu hamna namna mmeikabidhi kwa wajomba wa kiarabu.
Umeshikwa na mihemko tuh na islamophobia,Kwanza huyo anaepigwa hapo kaambiwa kabisa kuwa hapo SI bara,hajatajwa mkristo hapo, besides wapo waislam wengi vile vile ambao hawafungi na wanakula mchana mwezi wa Ramadhan,wewe una uhakika Gani kuwa huyo anaepigwa hapo ni mkristo?Kitu KILICHOPO hapo ni uzanzibar na ubara na sio uislam,Kwa sababu kama waislam hata bara tupo na tunaishi na makafiri Kwa kuvumiliana hata wakila mbele yetu,na funga ni ibada ya mja na mola wake,funga Wala haiharibiki Kwa mfungaji kutamani chakula au maji,so hicho kilichofanyika has got nothing to do with Islam.
But why,kwani uislam NDIYO umetangaza dunian kuwa Sodomy ni Haki ya binadamu na Dini ikatoa Ruksa ya wafuasi wake wanaume Kwa wanaume na wanawake Kwa wanawake wafunge ndoa?DUNIA BILA UISLAM INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI!
UISLAM NI UGAIDI
UISLAM NI UHAINI
UISLAM NI USHENZI
Faida za muunganoKwema Wakuu!
Funga ni yako na dini yako na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini. Huyo mungu unayemuamini usidhani kila mtu anamuamini kama wewe.
Waislamu ni moja ya Watu wasio na uvumilivu katika kuishi na jamii zingine hasa wakiwa wengi. Ni wabinafsi Sana. Wanapenda attention na kujiona wanahaki kuliko wengine. Jambo ambalo ni tafsiri halisi ya ubinafsi.
Waislamu huwa waungwana pale wanapokuwa wachache. Ukiona muislamu ni muungwana mara nyingi jua ni dhaifu, yaani wapo wachache.
Wakari nipo Advance, Waislam hawakuwa wengi walikuwa kama robo tuu ya Advance wote. Shule haikuwa ya dini lakini wao wanaleta mambo ya Dini. Wao kila kitu wanaona kama wanaonewa.
Ishara nyingine ya kuwa uislamu ni ubinafsi ni pale ambapo hawataki Quran yao ikosolewe. Wao wanadhani wanavyoamini Quran iko PERFECT basi kila mtu anaamini hivyo. Kitendo cha kutotaka kukosolewa ni ishara kuu ya ubinafsi. Hata Mungu muumbaji mwenyewe kama hataki kukosolewa naye ataingia katika kundi la wabinafsi.
Ni kama mwanaume aliyeoa ambaye hali nyama basi atataka nyumba yake wasile nyama. Huo si wendawazimu na ubinafsi uliopitiliza.
Kwa nini Watu wasile hadharani?
Huo mwezi wa Ramadhani ni mtukufu kwa Waislamu na sio kwa Watu wote. Yaani watu wasile kisa kuna Watu fulani wapo kwenye mfungo? Ni vioja na Viroja.
Huwezi ita dini ya HAKI wakati kuna ubinafsi unaoendelea katika dini hiyo. Haki ni pamoja na kuheshimu imani na mitazamo ya Watu wengine.
Fikiria mwezi wa Ramadhani alafu kwenye nchi ambazo Waislamu ni wachache waambiwe hakuna Watu kufunga, hiyo inakuja akilini? Yaani kisa ninyi msiowaislamu ambao ni wengi hamfungi basi mnataka waliowaislam wasifunge kama ninyi. Huo ni wendawazimu.
Dini ni yenu na familia zenu. Sio dini na imani ya Watu wote.
Ati sio uungwana mtu kula mbele ya mtu aliyefunga. Hizo akili niza wapi? Sidhani hata Quran imeandika vitu vya hovyo namna hiyo.
Elimu ya Haki na kujitambua ni muhimu. Kama mtu anaweza kumpiga mtu kisa anakula siku ya mfungo wa ramadhan atashindwa vipi kumuua kisa Dini?
Hao vijana waliofanya huo uhalifu washughulikiwe mapema, waache kuchafua amani ya nchi na kuleta malumbano na vita vya kidini. Pia wasiwachafue Waislamu wema ambao kila siku wanahitaji kuonyesha uislamu ni haki na Amani.
Ijumaa Kareem.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Hata wenzao Wakristo hawana nguvu Tanganyika. Point yako inakuwa invalid.
Hizi dini sometimes upuuzi tu
Wewe ni mdini wa Kikristo kama hawa Wanzazibari walivyo wadini wa Wakiislamu naona mmekutana.Wenzao akina nani?
Wakristo wawe na nguvu au wasiwe na nguvu huwezi sikia wakifanya uhalifu wa namna hiyo.
Nguzo kuu ya ukristo ni upendo na msamaha, na kutojihesabia Haki. Huo muda wa kumpiga mtu kisa ukristo itatoka wapi
Funga ni yako, Dini ni yako na Mungu ni wako.Kwema Wakuu!
Funga ni yako na dini yako na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini. Huyo mungu unayemuamini usidhani kila mtu anamuamini kama wewe.
Waislamu ni moja ya Watu wasio na uvumilivu katika kuishi na jamii zingine hasa wakiwa wengi. Ni wabinafsi Sana. Wanapenda attention na kujiona wanahaki kuliko wengine. Jambo ambalo ni tafsiri halisi ya ubinafsi.
Waislamu huwa waungwana pale wanapokuwa wachache. Ukiona muislamu ni muungwana mara nyingi jua ni dhaifu, yaani wapo wachache.
Wakari nipo Advance, Waislam hawakuwa wengi walikuwa kama robo tuu ya Advance wote. Shule haikuwa ya dini lakini wao wanaleta mambo ya Dini. Wao kila kitu wanaona kama wanaonewa.
Ishara nyingine ya kuwa uislamu ni ubinafsi ni pale ambapo hawataki Quran yao ikosolewe. Wao wanadhani wanavyoamini Quran iko PERFECT basi kila mtu anaamini hivyo. Kitendo cha kutotaka kukosolewa ni ishara kuu ya ubinafsi. Hata Mungu muumbaji mwenyewe kama hataki kukosolewa naye ataingia katika kundi la wabinafsi.
Ni kama mwanaume aliyeoa ambaye hali nyama basi atataka nyumba yake wasile nyama. Huo si wendawazimu na ubinafsi uliopitiliza.
Kwa nini Watu wasile hadharani?
Huo mwezi wa Ramadhani ni mtukufu kwa Waislamu na sio kwa Watu wote. Yaani watu wasile kisa kuna Watu fulani wapo kwenye mfungo? Ni vioja na Viroja.
Huwezi ita dini ya HAKI wakati kuna ubinafsi unaoendelea katika dini hiyo. Haki ni pamoja na kuheshimu imani na mitazamo ya Watu wengine.
Fikiria mwezi wa Ramadhani alafu kwenye nchi ambazo Waislamu ni wachache waambiwe hakuna Watu kufunga, hiyo inakuja akilini? Yaani kisa ninyi msiowaislamu ambao ni wengi hamfungi basi mnataka waliowaislam wasifunge kama ninyi. Huo ni wendawazimu.
Dini ni yenu na familia zenu. Sio dini na imani ya Watu wote.
Ati sio uungwana mtu kula mbele ya mtu aliyefunga. Hizo akili niza wapi? Sidhani hata Quran imeandika vitu vya hovyo namna hiyo.
Elimu ya Haki na kujitambua ni muhimu. Kama mtu anaweza kumpiga mtu kisa anakula siku ya mfungo wa ramadhan atashindwa vipi kumuua kisa Dini?
Hao vijana waliofanya huo uhalifu washughulikiwe mapema, waache kuchafua amani ya nchi na kuleta malumbano na vita vya kidini. Pia wasiwachafue Waislamu wema ambao kila siku wanahitaji kuonyesha uislamu ni haki na Amani.
Ijumaa Kareem.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Unataka Iwekwe wazi vipi mkuu wakati ilikuwa hivyo tangu zamani kabla ya kuiunganisha na Tanganyika..
Kwahyo sisi ndo tunatakiwa kuwa wapolee..
View attachment 2947931
So kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni nchi hiyo
View attachment 2947932
Wewe ni mdini wa Kikristo kama hawa Wanzazibari walivyo wadini wa Wakiislamu naona mmekutana.