Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Umeshikwa na mihemko tuh na islamophobia,Kwanza huyo anaepigwa hapo kaambiwa kabisa kuwa hapo SI bara,hajatajwa mkristo hapo, besides wapo waislam wengi vile vile ambao hawafungi na wanakula mchana mwezi wa Ramadhan,wewe una uhakika Gani kuwa huyo anaepigwa hapo ni mkristo?Kitu KILICHOPO hapo ni uzanzibar na ubara na sio uislam,Kwa sababu kama waislam hata bara tupo na tunaishi na makafiri Kwa kuvumiliana hata wakila mbele yetu,na funga ni ibada ya mja na mola wake,funga Wala haiharibiki Kwa mfungaji kutamani chakula au maji,so hicho kilichofanyika has got nothing to do with Islam.
unabisha tu ila dini lenu ni kero popote duniani.
 
Ndio maana popote penye uislam mwingi kuna taharuki wakati wowote. Reasoning ni kitu muhimu sana, wenzetu hawana hiyo kitu.

Huwa sipendi kuongelea imani za watu, ila katika hili wenzetu wanakosa reasoning. Umefunga wewe kwa imani yako, imani sio sheria, kwa nini nikila kwako iwe dhambi, its your faith eti!!
 
Umeshikwa na mihemko tuh na islamophobia,Kwanza huyo anaepigwa hapo kaambiwa kabisa kuwa hapo SI bara,hajatajwa mkristo hapo, besides wapo waislam wengi vile vile ambao hawafungi na wanakula mchana mwezi wa Ramadhan,wewe una uhakika Gani kuwa huyo anaepigwa hapo ni mkristo?Kitu KILICHOPO hapo ni uzanzibar na ubara na sio uislam,Kwa sababu kama waislam hata bara tupo na tunaishi na makafiri Kwa kuvumiliana hata wakila mbele yetu,na funga ni ibada ya mja na mola wake,funga Wala haiharibiki Kwa mfungaji kutamani chakula au maji,so hicho kilichofanyika has got nothing to do with Islam.

Nimetaja ukristo kwa sababu wote mpo kwenye mfungo. Na sio kwamba aliyepigwa ni mkristo.

Hiyo hoja ya ubara na Uzanzibari inakufa kwa sababu matukio yote ya kihalifu na kibaguzi hutokea nyakati za Mfungo wa Ramadhani. Na hii sio mara ya kwanza wala ya pili.

Swali lakô la huku Bara nimeshakujibu kuwa huku uislamu hauna nguvu na mnajua Hilo
 
DUNIA BILA UISLAM INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI!

UISLAM NI UGAIDI
UISLAM NI UHAINI
UISLAM NI USHENZI
But why,kwani uislam NDIYO umetangaza dunian kuwa Sodomy ni Haki ya binadamu na Dini ikatoa Ruksa ya wafuasi wake wanaume Kwa wanaume na wanawake Kwa wanawake wafunge ndoa?

If uislam ni Ugaidi,Kuna Ugaidi Mkubwa kama wa Slave trade ambapo ukristo ULITUMIA hadi kanisa and missionaries kama Agents of colonialism and slavery?

Unaweza vipi uislam kuwa ugaidi ili Hali pillar yake kubwa ni Amani,Islam means peace,then tell me about other religions e.g Christianity,what does the word Christianity means to you?Kwa sababu ishara ya kwanza ukiskia kristo ni kuona mzungu katandikwa msalabani pale anamwaga damu for the sake of humanity,je siyo violence hiyo?
 
Kwema Wakuu!

Funga ni yako na dini yako na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini. Huyo mungu unayemuamini usidhani kila mtu anamuamini kama wewe.

Waislamu ni moja ya Watu wasio na uvumilivu katika kuishi na jamii zingine hasa wakiwa wengi. Ni wabinafsi Sana. Wanapenda attention na kujiona wanahaki kuliko wengine. Jambo ambalo ni tafsiri halisi ya ubinafsi.

Waislamu huwa waungwana pale wanapokuwa wachache. Ukiona muislamu ni muungwana mara nyingi jua ni dhaifu, yaani wapo wachache.

Wakari nipo Advance, Waislam hawakuwa wengi walikuwa kama robo tuu ya Advance wote. Shule haikuwa ya dini lakini wao wanaleta mambo ya Dini. Wao kila kitu wanaona kama wanaonewa.

Ishara nyingine ya kuwa uislamu ni ubinafsi ni pale ambapo hawataki Quran yao ikosolewe. Wao wanadhani wanavyoamini Quran iko PERFECT basi kila mtu anaamini hivyo. Kitendo cha kutotaka kukosolewa ni ishara kuu ya ubinafsi. Hata Mungu muumbaji mwenyewe kama hataki kukosolewa naye ataingia katika kundi la wabinafsi.

Ni kama mwanaume aliyeoa ambaye hali nyama basi atataka nyumba yake wasile nyama. Huo si wendawazimu na ubinafsi uliopitiliza.

Kwa nini Watu wasile hadharani?
Huo mwezi wa Ramadhani ni mtukufu kwa Waislamu na sio kwa Watu wote. Yaani watu wasile kisa kuna Watu fulani wapo kwenye mfungo? Ni vioja na Viroja.

Huwezi ita dini ya HAKI wakati kuna ubinafsi unaoendelea katika dini hiyo. Haki ni pamoja na kuheshimu imani na mitazamo ya Watu wengine.

Fikiria mwezi wa Ramadhani alafu kwenye nchi ambazo Waislamu ni wachache waambiwe hakuna Watu kufunga, hiyo inakuja akilini? Yaani kisa ninyi msiowaislamu ambao ni wengi hamfungi basi mnataka waliowaislam wasifunge kama ninyi. Huo ni wendawazimu.

Dini ni yenu na familia zenu. Sio dini na imani ya Watu wote.

Ati sio uungwana mtu kula mbele ya mtu aliyefunga. Hizo akili niza wapi? Sidhani hata Quran imeandika vitu vya hovyo namna hiyo.

Elimu ya Haki na kujitambua ni muhimu. Kama mtu anaweza kumpiga mtu kisa anakula siku ya mfungo wa ramadhan atashindwa vipi kumuua kisa Dini?

Hao vijana waliofanya huo uhalifu washughulikiwe mapema, waache kuchafua amani ya nchi na kuleta malumbano na vita vya kidini. Pia wasiwachafue Waislamu wema ambao kila siku wanahitaji kuonyesha uislamu ni haki na Amani.

Ijumaa Kareem.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Faida za muungano
 
UISLAM ni Dini ya kihuni.

Haiwezekan muumini huna uvumilivu kiasi kwamba, Kula kwangu, kukufanye wewe utende Dhambi.

Ulaya Marekan wanaipiga vita Dini hii sababu imekaa Kaa kimchongo mnoo
 
Hata wenzao Wakristo hawana nguvu Tanganyika. Point yako inakuwa invalid.

Wenzao akina nani?
Wakristo wawe na nguvu au wasiwe na nguvu huwezi sikia wakifanya uhalifu wa namna hiyo.

Nguzo kuu ya ukristo ni upendo na msamaha, na kutojihesabia Haki. Huo muda wa kumpiga mtu kisa ukristo itatoka wapi
 
Wewe ni mdini wa Kikristo kama hawa Wanzazibari walivyo wadini wa Wakiislamu naona mmekutana.
 
Kwema Wakuu!

Funga ni yako na dini yako na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini. Huyo mungu unayemuamini usidhani kila mtu anamuamini kama wewe.

Waislamu ni moja ya Watu wasio na uvumilivu katika kuishi na jamii zingine hasa wakiwa wengi. Ni wabinafsi Sana. Wanapenda attention na kujiona wanahaki kuliko wengine. Jambo ambalo ni tafsiri halisi ya ubinafsi.

Waislamu huwa waungwana pale wanapokuwa wachache. Ukiona muislamu ni muungwana mara nyingi jua ni dhaifu, yaani wapo wachache.

Wakari nipo Advance, Waislam hawakuwa wengi walikuwa kama robo tuu ya Advance wote. Shule haikuwa ya dini lakini wao wanaleta mambo ya Dini. Wao kila kitu wanaona kama wanaonewa.

Ishara nyingine ya kuwa uislamu ni ubinafsi ni pale ambapo hawataki Quran yao ikosolewe. Wao wanadhani wanavyoamini Quran iko PERFECT basi kila mtu anaamini hivyo. Kitendo cha kutotaka kukosolewa ni ishara kuu ya ubinafsi. Hata Mungu muumbaji mwenyewe kama hataki kukosolewa naye ataingia katika kundi la wabinafsi.

Ni kama mwanaume aliyeoa ambaye hali nyama basi atataka nyumba yake wasile nyama. Huo si wendawazimu na ubinafsi uliopitiliza.

Kwa nini Watu wasile hadharani?
Huo mwezi wa Ramadhani ni mtukufu kwa Waislamu na sio kwa Watu wote. Yaani watu wasile kisa kuna Watu fulani wapo kwenye mfungo? Ni vioja na Viroja.

Huwezi ita dini ya HAKI wakati kuna ubinafsi unaoendelea katika dini hiyo. Haki ni pamoja na kuheshimu imani na mitazamo ya Watu wengine.

Fikiria mwezi wa Ramadhani alafu kwenye nchi ambazo Waislamu ni wachache waambiwe hakuna Watu kufunga, hiyo inakuja akilini? Yaani kisa ninyi msiowaislamu ambao ni wengi hamfungi basi mnataka waliowaislam wasifunge kama ninyi. Huo ni wendawazimu.

Dini ni yenu na familia zenu. Sio dini na imani ya Watu wote.

Ati sio uungwana mtu kula mbele ya mtu aliyefunga. Hizo akili niza wapi? Sidhani hata Quran imeandika vitu vya hovyo namna hiyo.

Elimu ya Haki na kujitambua ni muhimu. Kama mtu anaweza kumpiga mtu kisa anakula siku ya mfungo wa ramadhan atashindwa vipi kumuua kisa Dini?

Hao vijana waliofanya huo uhalifu washughulikiwe mapema, waache kuchafua amani ya nchi na kuleta malumbano na vita vya kidini. Pia wasiwachafue Waislamu wema ambao kila siku wanahitaji kuonyesha uislamu ni haki na Amani.

Ijumaa Kareem.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Funga ni yako, Dini ni yako na Mungu ni wako.

Umeiweka vizuri na kiungwana sana. Japo kama dini inavyowadanganya eti wasiwe wavumilivu inapotajwa dini yao ya MNYAAZI basi jiandae kushambuliwa
 
Unataka Iwekwe wazi vipi mkuu wakati ilikuwa hivyo tangu zamani kabla ya kuiunganisha na Tanganyika..

Kwahyo sisi ndo tunatakiwa kuwa wapolee..

View attachment 2947931
So kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ni nchi hiyo
View attachment 2947932

Kwa hiyo kumbe ni halali kuwatandika viboko hao walaji huko Zanzibar?
Na kama ni halali inathibitisha kuwa uislamu haupaswi kupewa nguvu kwa sababu utaathiri uhuru wa Watu Wengine wasiowaislam
 
Back
Top Bottom