Sawa punga wa mudii, maana kila anayekaa UAE ni beki tatu au kwa vile umezoea dada zako wanaosha makalio ya waarabu unadhani kila aliyekaa huko anafanya shughuli hizo ehKuishi UAE kama 'bekitatu' huwezi kujua lolote.
Siyo nchini Mali, ni nchi ya Afrika ya Kati (CAR)Kwamba eti ni kosa kwa mkristo ambaye hahusiki na Imani ya mtu mwingine aliyeamua kubadilisha muda wa kula. Eboo!
Kumchapa viboko mtu mzima kwasabb za kidini ni ugaidi wa kidini. Ugaidi wa kidini ni mbaya sana. Utatuletea shida. Siku wakristo wakiamua kulipa kisasi itakuwa kama Mali ambako Seleka na Antibaraka waliibuka kwasabb za kijinga kama hizi.
Na wapemba warudi kwao usisahau hiloWatu wa Bara ondokeni kwenye nchi ya watu , rudini kwenu
Tatizo tumeolewa huku Zanzibar...nikimbie ndoa kisa mwezi wa Ramadhani?Watu wa Bara ondokeni kwenye nchi ya watu , rudini kwenu
Kwanini Mkuu?Watu wa Bara ondokeni kwenye nchi ya watu , rudini kwenu
Sema mnajibu kwa aibu sana yanimbona mnakuza mambo pumbavu nyinyi...
kwani mambo hayo zanzibar yameanza leo?
heb tafuta maelezo ya Mizengo Pinda kipindi akiwa waziri mkuu aliulizwa na mbunge wakiwa bungeni kuhusu suala la watu kula mchana zanzibar.
unajua alijib nini? na yule ni mkatoliki safi. acheni kupotosha watu, ukienda kwa wenye chongo na wewe ziba jicho lako. ukienda Roma ishi kama waroma.
Mnaanziaga bekitatu kisha mnahamishiwa kwenye madangulo, bado tu haitoshi kujua lolote.Sawa punga wa mudii, maana kila anayekaa UAE ni beki tatu au kwa vile umezoea dada zako wanaosha makalio ya waarabu unadhani kila aliyekaa huko anafanya shughuli hizo eh
Naunga hoja kwa%Mbona haijatokea gharika Tanganyika ambako wenye macho mekundu wanauliwa, au maalibino kukatwa viungo vya mwili na watu kuchunywa ngozi!!!????
Au katiba ya TZ inaruhusu haya? Na mbona hauyashangai haya na badala yake unakuja kushangaa watu wanaopigwa bakora ZNZ kwa kosa LA kula mchana wa mwezi wa Ramadhani!!??? Acha unafiki name kumbuka hicho kitabu chako unachokifuata kinasema ukitaka kutoa kibenza kwenye jicho la mwenzako basi anzia kutoa boriti kwenye jicho lako
Lakini sikushangai sana maana mfumo kristo ndivyo ulivyokulea kulifanya kubwa lolote lile ambalo waislamu watalifanya name kuliona dogo lolote lile ambalo wakristo watalifanya hata kama ni mapdri kulawiti watoto
Acha bangi zakoHivi polisi kazi yao ni nini?
Au ni ruhusu kupiga watu???
Nasikia hata facebook wameiblock kitaifaLeo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga.
Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa Zanzibar na uhasama unakua kila kukicha, serikali ipo kwenye mfungo mtukufu, Wakristo hawa Wazanzibar hawana msaada, nani awaokoe vijana wa kikikristu ambao hawajao wanaotegemea kwa mama lishe na migahawani kupata mlo wao nao wafunge?