Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika


Hii mada imekaa kigombanishi gombanishi. Hivi mtu unajisikiaje
Kutunga uongo? Au kuandika mada ili watu wafarakane? Hivi kweli ndo ulivyofunzwa na wazazi wako na walimu wako wa dini?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na anayetoa adhabu kwa mwenye kibri ni mwanadamu, sio Mungu! Ha ha haaa, dini ya allah yenye kutegemea hukumu itolewe na mwanadamu!

mungu huyu inaelekea ni dhaifu sana anayetegemea kupiganiwa na binadamu badala ya yeye kumpigania binadamu hata kama atanikaribisha kwake nitakataa kwenda.Inaelekea hana hata nguvu za kunifungulia mlango kutokana na udhaifu alionao.Kama binadamu wenyewe tunafundishwa kuwa ni dhaifu sasa huyu mungu ambae ana mtegemea bidamu dhaifu ampiganie yeye ni mdhaifu kiasi gani?.
 
Jason Bourne,hivi kuna tatizo gani zanzibar ikiwa nchi ya kiislamu.

uislam sio nchi ni imani:
kuamini uwepo wa mw/mungu.
Uwepo wa malaika.
Uwepo vitabu vya mw/mungu.
Uwepo wa mitume nk,
wako waislam ulaya na marekani wanaishi kwa amani na wanafanya ibada zao bila bughudha yoyote kuliko hata waislam wa iraq,syria,iran na nchi nyingine zinazojiita za kiislam.jambo la muhimu ni uhuru wa kuabudu ndugu yangu,na mw/mungu hatohukumu watu kwa makundi bali mmoja mmoja.
Inna lladhina aamanu wa amilu swalihatu,falahum ajirun ghairu mamnun,famayukadhbu kabaadu bi diin,alaysa llahu biahkamil hakimiin?wale wenye kuamini na kutenda vitendo vizuri mw/mungu atawapa ujira usiokwisha,lakini wanaokwenda kinyume cha hayo mungu si ni mbora wa mahakimu?kwa nini uhukumu wewe?kama wewe ni muumin basi fanya vitendo vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe wakiristo Zanzibar wapo hata kabla ya Tanganyika na hawajalazimishwa kufunga waulizeni akina Charles Hilarry kinachogomba hapa ni kula hadharani jambo ambalo limekatazwa usitake kuleta fitna sisizo maana

usiwe mjinga,wapi imekatazwa kula hadharani?hebu tutajie hiyo aya!munapandikizwa ujinga tu bila kujitambua.
 
wewe kama bado umelala wenzako wameamka,unalotakiwa kujua ni kuwa Zanzibar ni nchi yenye bunge lake,serikali yake na mipaka kamili na Kikwete akienda Zanzibar haina tofauti kama akienda Kenya

Elimu ya madrassa ni "nzuri" sana.
 
What goes around comes around?

Hii mitusi yote hapa ndani kwaajili ya nani hasa, come ooon guys calm down please

BACK TANGANYIKA

Tusi hapa liko wapi? Eti waislam wenzangu, mtume mohamad hakumposa bi aisha akiwa na umri wa miaka SITA? (Je hili ni tusi?). Je hakumwingilia akiwa na miaka TISA? (Je tusi liko wapi hapa?).
 
Tusi hapa liko wapi? Eti waislam wenzangu, mtume mohamad hakumposa bi aisha akiwa na umri wa miaka SITA? (Je hili ni tusi?). Je hakumwingilia akiwa na miaka TISA? (Je tusi liko wapi hapa?).

Hapa hapana tusi na hatamimi nashangaa MTU anaita tusi eti kusema Yesu mungu mkuu na mtetezi wetu alitahiriwa baada ya siku name????

Pia nashangaa MTU anaita tusi eti kusema Yesu alilaaniwa kwa ajili ya dhambi zetu.

Na mwisho nashangaa MTU anaita tusi eti kusema mungu yesu alipigwa mawe na baadae kutundikwa msalabani na watu ambao yeye kawaumba????
 

Kwani mungu huyu anatofauti gani na yule mungu alieumba mbingu na nchi halafu binaadamu walioumbwa na huyu mungu wakamkamata mungu wao wakampiga mawe na baadae kumsulubu msalabani na kumtoa roho msalabani!!!!

Wakati imeandikwa amelaaniwa kila aliekufa kwa kutundikwa msalabani!!!
 

Hebu kidogo jaribu kuushirikisha ubongo wako; Leo hii pale mtaani kwenu ametokea babu wa miaka 45 ameoa mtoto wa miaka 9. Huyu babu anaomba apewe uongozi. Hivi kwa mwenye akili timamu unaweza kumpata hata ujumbe wa nyumba kumi kumi kweli! Kwanza utamchukuliaje akili zake. Ni mtu timamu kweli?
 
Tumuombe Mungu kipindi cha mfungo kikifika name atuchukue wrote tukafungie mbinguni kuepuka majaribu ya kidunia. Kati ya vitu muhimu katika kufunga ni kutimiza azma yako ya kufunga Vila kuingilua mfumo wa maisha ya wengine au kuukwamisha. Kwa nini kushinikizana na kuadhibiana kwa mambo ya hiari? Vipi kwa wenzetu ambao wamejiajiri kwenye huduma ya kuuza vyakula ili halo wao wamefunga? Waache kutoa huduma hiyo? Kisa amefunga! Halafu ayaendesheje maisha yake? Huoni kuwa mtoa huduma huyu 'makafiri' ndiyo nguzo ya maisha yake hapa? Acheni tabia ya kujidhani eti sisi no bira zaidi sababu ya imani yetu. Tuelewe kuwa imani ni swala LA mahusiano Kati ya Mungu na mwanadamu, ni swala LA kiroho.
Sisi Kama wanadam tuna maisha yet ya kuishi huku tukiimarisha upendo, na kuheshimiana na kuvumiliana.
Kinyume na hapo hakuna dunia ya wanadam, Bali in zizi lenye mchanyiko was nyoka, panya, paka, nguruwe, chui, mbuzi n.k
 

Nafikiri unahitaji kujiongeza zaidi na kufikiria nje ya Box. Jaalia mtu ameingia kanisani na amevaa kimini chake, jiulize je wewe muumini mwingine uliekwenda pale kanisani kwa nia ya Ibada inakuhusu nini. Labda kwa kukusaidia waulize wachungaji kwanini mnazuia watu wasiingie kanisani wakti wa ibada wakiwa wamevaa vimini? Pasi na shaka utapata jibu sahihi na hilo hilo liangalie kwa upande mwingine.

Pole sana lakin fanya uchunguzi na pasi na shaka utafaidika na kujua mengi kwayo.
 
Mbona uulizi kwanini makanisa mengi sana huko Tanzania Bara yanazuia kwa nguvu zote waumini kuingia na vimini wakti wa ibada? Je hujui kwa nini?


makanisa yanazuia watu kuvaa vimini barabarani? mbona unachanganya mambo mkuu? au hao waliochapwa waliingia na msosi masjid?
 

Hivi kwa nini wafuasi wa gaidi wanashbikia ugaidi? Kweli shatani ana nguvu!
 

Utaratibu wao wamejiwekea na zanzibar nchi ya kislamu
 

na kabla ya hapo alikuwa na miaka 25 "akaoa" mama wa miaka 40!
 
usiwe mjinga,wapi imekatazwa kula hadharani?hebu tutajie hiyo aya!munapandikizwa ujinga tu bila kujitambua.

Suala la kujua hapa KUWA ZANZIBAR NI NCHI NA KILA NCHI KAMILI INAKUWA NA MILA, DESTURI NA SIRKA ZA RAIA WA NCHI HIYO. Na hata siku moja katiba ya nchi iliyo huru haiwezi kwenda kinyume na mila , desturi na sirka za watu wa nchi ile.

La msingi hapo ni kujua Znz ni nchi huru na wananchi wake wana mila desturi na sirka zao nazo ndio hizo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…