Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,324
Kuheshimiana na kuvumiliana kwa dini zetu ni muhimu sana , kaka yangu huwezi kuheshumu bila kuvumilia ile hali ya utofauti wa dini hizi.
Tetty,
Kuvumiliana na Kuhishimiana HATA SIKU MOJA HAKUWEZI KWENDA SAMBAMBA. Haya ni maneno mawili tofauti.
Kumbuka huwezi mtu unayemuheshimu ukamtukana ukitaraji akuvumilie kila unapomtusi.Ni laazima uamue moja ima umuhishimu au umvumilie LAKIN SIKU ZOTE PALIPO NA HISHMA HAKUNA KUVUMILIANA.
Watu wanatakiwa KUHISHIMIANA na SIO KUVUMILIANA na ndio hicho kilichosababishwa Muumba kuumba Pepo na Moto.
Labda tudadavulie ni dini gani inayosisitiza KUHISHIMIANA NA KUVUMILIANA KWA WAKTI MMOJA?